INAUZWA Nauza Duka la vinywaji (Container, Crates na mkataba wa eneo) GOBA Njia nne

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,317
7,738
Habari zenu,

Kama title inavyosema, nina duka la vinywaji baridi na moto, ila nimeamua kuuza kutokana na kukosa msimamizi na shughuli zangu zimekuwa zinanibana sana.

Hivyo Ninauza
1. Containter (20FT) Pamoja na
2. Crates za beer (TBL 78, SBL 45)
3. Soda (Coca 40, PEPSI 28)
4. PIKIPIKI TVS
5. Tolori la kusukuma
6. Vinywaji vyenye gharama ya 700,000
7. Mkataba wa eneo (Maana nilikodi eneo nikajenga ofisi kwa container)

Price 11,000,000

Eneo ni Goba njia nne (Lalata street) Ni barabarani kabisa.

Interested, call 0768000893, 0658536683
20230112_162910.jpg
20230112_162645.jpg
20230112_163029.jpg
20230112_162043.jpg
 
Hapo ilitakiwa iwe million 6.5
Container 20ft 4 million
Pikipiki 1.5 million
Vinywaji na hayo na kreti 1 million
Mkuu Vinywaji worth laki 7 Plus Crates za beer na soda combined almost 200 ndio iwe Milion moja? Tuwe serious na biashara za watu.
Container nimenunua new mil 5.2 kabisa nimekata mwenyewe, sio yale ya kununua mtaani ya mil3.
 
Biashara yako ilikuwa nzuri mkuu ila mama Samia alipoondoa mabanda barabaran ndio alikupotezeaa watejaa nakumbukaa mwanzo ulikuwa njiaa nne kbs pale kabla yakuhamia lalata ,,yule dadaa bonge ameshndwa kusisimamia biashara kwel au lalata pale amekufunika yule mpnzan wako wa karibu na barbershop palee maana anakimbizaaa c poaaa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daah wewe unamjua vizur
 
Back
Top Bottom