Soko la Joto la body to body limeongezeka vibaya mno, sio suala la one night stand ama show time kwa sasa, ni suala la kupata uhakika wa joto kila siku, na hapa kwa mahesabu ya bajeti watu wameona wawe na mtu moja kuliko kubadili badili (wahasibu na wachumi tunazita economies of scale for bulk...
Mawakili wanaomwakilisha aliyekuwa mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya, Jana walichuana vikali na mawakili wa upande wa Jamhuri wakati wa usikilizwaji wa rufaa ya kupinga Sabaya kuachiliwa huru iliyokatwa na upande wa Jamhuri.
Sabaya na wenzake walihukumiwa kifungo Cha miaka 30 jela na...
Ili kuwepo na ustawi ni lazima nchi ikuze hali ya uchumi wa watu wake. Purchasing power lazima iongezeke. Kinyume na hapo ni stress na madeni.
Leo kuna viwanja vinauzwa kwa mkopo, kuna wafanyabiashara wanakopesha zana za ujenzi kwa riba, kuna magari ya mkopo na hamna kipato cha uhakika...
Wakati Israel ikijiandaa kuivamia Gaza, kulitokea kimbunga kikali sana na mvua kubwa iliyoahirisha mipango ya Israel kuingiza majeshi yake Gaza.
Hali hiyo imeweka presha kubwa kwa serikali ya Netanyahu kwanza kudeal na janga hilo la ndani kabla ya kupeleka majeshi Gaza.
Wakati huohuo Hizbollah...
Mvua iliyoambatana na upepo mkali iliyoanza kunyesha majira ya saa tisa alasiri usiku wa kuamkia leo imeezua paa la jengo la utawala la ofisi za walimu na baadhi ya vyumba vya madarasa katika shule ya msingi Ikonda iliyopo wilaya ya Makete mkoani Njombe
Mwalimu mkuu wa shule hiyo Enelika...
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?
Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili...
Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall .
Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba Pop .
Bila ubishi wowote hawa jamaa wana nyimbo nyingi zisizochuja...
Wataalamu wa mazingira wana mkakati gani au mapendekezo gani kwa serikali na wananchi kwa ujumla kujaribu kupunguza au kuondoa kabisa hii kero ya upepo mkali unaoambatana na vumbi hapa jijini ili paakisi status ya makao makuu ya nchi. Wengine wanasema hii ni balaa ya milele, wengine wanasema...
Nawasalimu Kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania?
Kama kichwa kinavyoeleza. Nani humu ni mkali wa nyuzi zilizokusaidia kimaisha Kati ya hawa?
1. Mshana Jr
2. Pascal Mayalla
3. Robert Heriel Mtibeli
4. Deeppond
5. GENTAMYCINE
Unaweza kuelezea Uzi au Jambo ambalo amekujenga.
Katika utafiti wangu nimegundua kila dini au imani huwa inawatu wenye misimamo mikali iliyopitiliza ( Religious extremists)
Hawa wapo lwenye Ulokole, Usabato, Ukatoriki, Uislam hata Umizimu.
Ila katika kila imani kundi hili huwa linaonekana ni nyonge sana kwa kipato na kiuchumi.
Wengi...
Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow.
=========
Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a...
Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu.
Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya.
Baada ya...
Wote mnaweza kufikiria ni namna gani mtu asiye mkazi au mfanyakazi au mwenye appointment kwenye makazi rasmi ya Malkia wa Uingereza angeweza kupenya bila kuonekana, akafanikiwa kuingia ndani ya jumba hilo, akapiga misele kidogo, akaingia ofisi ya Malkia Elizabeth kufyonza mvinyo maalum wa...
Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie
Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote
yaweza...
Habarini,
Mfano, Utakuta mtu amemaliza chuo kapata kazi yenye mshahara mzuri, kila mwaka anapanda vyeo kazini, anakuwa na akiba ya pesa nyingi benki, huku mshahara ukiendelea kuingia, ghafla mkataba wa kazi ukiisha au akistaafu hata kama ana akiba hata kama ni ya tsh millioni 400, na magari ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.