Nani mkali wa kudance kati ya Chino wanaman vs Msami

Duh! Nimetoka kapa,ndo kina Nani hao?
😁 Mchague tu mmoja wao hapo kati ya huyo Chino wanamani vs Msami! hata kama wote wawili huwafahamu, ili tu mtoa mada afarijike.

Kumbuka tu kuanzisha uzi humu jukwaani siyo shughuli nyepesi.

Binafsi kura yangu inaenda kwa Chino wanaman. Huyo jamaa acha kabisa. 😇
 
Msami ni overrated na wakawaida sana kwanza hana style mpya ,yeye anacopy kiufupi sio mbunifu hata kwa mose iyobo hafiki ndio maana mwenzio yupo mbali.
Humjui msami wewe. Yeye yupo nyuma ya dancers wa wasanii kwenye video nyingi sana. Yeye ndio dancing manager, Chino kwanza udance manager kwenye kwaito hizi. Style za kukopi.
Unamjua msami vizuri wewe. Yeye si mwanamuziki yule ni dancer. Ukiona nandy anacheza ni yeye yupo kasimamia pale, ukiona maua sama anacheza.
Chino ndio kaazna na dance zake zinajulikana. Chino ana upepo tu.
 
Mshamba nn huyo Msami nan ambaye hamjui?

Usifuate mkumbo soma nilichoandika hapo kwanza ,nimekuambia mbele ya Mose iyobo ...Mose iyobo ni bingwa wa style na zinabamba kitaa Msami ni mzuri kwa kucopy hana style zinzobamba Mfano chukulia nyimbo ya "Nana" ya diamond kaangalie ile style bado kuna My number one hizo ni style katoa Mose iyobo .

Nipe style ya Msami hana lolote nanq asiyemjua ....Twende kweny tunzo sana!?
 
Chino....huyu mtu nadhani nyota yake ipo vizuri Sijawahi kumfuatilia hata uchezajai wake ila nimejikuta nampenda nikisikia "Chinowanaman Chinowanaman"
Chino anajua ule ukweli ,Msami ni kik hana mafanikio na mwili hauchezi🤣🤣🤣Msami jina lake na yeye wapo tofauti yaani ni dancer ambaye ni local sana na kucopy hana mpya .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom