Urusi: Ndege tatu za kijeshi zalipuliwa zikiwa uwanjani

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,444
Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow.

=========

Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a helicopter were damaged at the Chkalovsky airbase in Moscow Oblast on 18 September.

A group of the Investigative Committee of Russia is investigating a sabotage operation which resulted in two aircraft and a helicopter being damaged on 18 September 2023.

The incident caused major hysteria in the top military command: government planes, the so-called ‘judgement day planes’ and special aircraft (reconnaissance aircraft) are stationed at this airbase."

Details: According to Ukrainian intelligence, unknown individuals planted explosives at a thoroughly guarded airbase and blew up an AN-148 and an IL-20 aircraft (both belong to the 354 special purpose air regiment), as well as a MI-28H helicopter which was actively involved in shooting down drones above Moscow Oblast before.

pravda.com.ua
 
Ametupia zawadi za suti na viatu alivopelekewa na Kim

Screenshot_20230920-130530_Quora.jpg
 
labda ni imetokea Moscow vijijini huko lakini kauli yetu ni ile ile wakishambulia Moscow tutajibu kwa nuclear

Labda umekuwa mis infromed moscow imeshambuliwa kwa drones couple of times na hawajarusha nuclear yoyote, na hawatokaa warushe

Atomic missiles si toy and that sio movie ni real war
 
dogo ulikuwa wapi wakati US anatafuta ndege yake F35 ilipotea kwenye Air space yake sa ndege yake hakuiona angeona za Mrusi na Mchina 😂

Mrusi vita kisha shinda dogo we huoni US kapeleka kilio UN 😂
 
Yaani hali imekua ya hatari sana maana humo jeshini Urusi kuna wanajeshi wanahujumu moja kwa moja, ndege za kijeshi zilizokua chini ya ulinzi mkali zimetegeshewa mabomu na kulipuliwa uwanjani Moscow.

=========

Defence Intelligence of Ukraine has reported that two Russian aircraft and a helicopter were damaged at the Chkalovsky airbase in Moscow Oblast on 18 September.

A group of the Investigative Committee of Russia is investigating a sabotage operation which resulted in two aircraft and a helicopter being damaged on 18 September 2023.

The incident caused major hysteria in the top military command: government planes, the so-called ‘judgement day planes’ and special aircraft (reconnaissance aircraft) are stationed at this airbase."

Details: According to Ukrainian intelligence, unknown individuals planted explosives at a thoroughly guarded airbase and blew up an AN-148 and an IL-20 aircraft (both belong to the 354 special purpose air regiment), as well as a MI-28H helicopter which was actively involved in shooting down drones above Moscow Oblast before.

pravda.com.ua
Mbona kingereza unakimidu sana unakosaje busara za kutambua kwamba habari hizi zimebumbwa kutoka kwa make believe to source/site yako namely: com.au. Waukraine waongo balaa kwa stori zao za kitunga tu - wanajifanya wana uwezo mkubwa wa kikomdoo na hujuma kuliko za SAS. Inaelekea Ukraine na some NATO troops tangu wapate klpigo cha mbwa mwizi walipo jitia kuanzisha a massive counter offensive dhidi ya jeshi la Urusi huko kusini mashariki mwa Ukraine na Crimea hawajajifunza kitu ina elekea bado wana kiu ya kuteketezwa kabisa na Urusi uwezo huo wanao sana na Merikani wala haiwezi kufanya lolote kujiiingiza kichea kichwa/kupigana ana kwa ana na Urusi kwenye mgogoro huu USA atawatumia mamuluki tu na kushikiza Zelensky kulazimisha raia wake wengi kujiunga na jeshi kwa wingi hata kama uwezo hawana.

ll
 
Sasa wewe badala ya kuleta uthibitisho unaleta maneno matupu. Mwenzio ameleta source ya habari yake, vumilia hata kama hupendezwi na hizi taarifa. Wa Russia siyo malaika wanapigwa na tunaona.
 
Mbona kingereza unakimidu sana unakosaje busara za kutambua kwamba habari hizi zimebumbwa kutoka kwa make believe to source/site yako namely: com.au. Waukraine waongo balaa kwa stori zao za kitunga tu - wanajifanya wana uwezo mkubwa wa kikomdoo na hujuma kuliko za SAS. Inaelekea Ukraine na some NATO troops tangu wapate klpigo cha mbwa mwizi walipo jitia kuanzisha a massive counter offensive dhidi ya jeshi la Urusi huko kusini mashariki mwa Ukraine na Crimea hawajajifunza kitu ina elekea bado wana kiu ya kuteketezwa kabisa na Urusi uwezo huo wanao sana na Merikani wala haiwezi kufanya lolote kujiiingiza kichea kichwa/kupigana ana kwa ana na Urusi kwenye mgogoro huu USA atawatumia mamuluki tu na kushikiza Zelensky kulazimisha raia wake wengi kujiunga na jeshi kwa wingi hata kama uwezo hawana.

ll

Hehehe sheikh na hizi insha zako, nani huzisoma, ila ndio hivyo ndege zimelipuliwa na wanajeshi wa Urusi zikiwa uwanjani, haya hii nyingine huku njoo ukaandike insha Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine
 
Back
Top Bottom