Wapenda masebene
Bill Clinton toka Congo
Huyu jamaa alikua vizuri sana.
Tutu Calodji kajikata.(yuko vizuri sana)
Alipoondoka Wenge kapotea.
Fille Nyafu kapotea.
Soleir Wanga kapotea
Sabath Obrigado huyu bingwa kapotea
Cele skram kama jina lake anascream tu(simkubali)
Kuna kina chameleoni rapper...
Najua kuna mpishano kidogo wa eras,lakini hawa wote kwa kipindi fulani walishawah kuwa kwenye peak ya Bongo fleva
Kwa mtazamo wako yupi alikuwa mkali zaidi?
Mb Dogg aliwahi kutamba na hits kama
-Latifa
-Si uliniambia
-Mapenzi kitu gani
-Natamani
-Inamaana
kwa upande wa Marlaw
-Rita...
Tanzania sijaona MC mbunifu kama huyu jamaa,baada ya kufatilia video zake nyingi nimegundua hata Anord Kayanda Alikua na style hii.
Huyu jamaa nimemkubali zaidi kwa sababu anapenda rege kama mimi. Ni mkali gani wa rege bongo zaidi ya huyu?
Natumaini wote ni wazima humu jamvini poleni na majukumu pia..! Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza mm ni mpenzi sana wa Ngoma za Hiphop leo na taka tushare pamoja kuhusu Rappers wa kibongo hata huko majuu(ulaya) je ni msanii gani ni best kwa Storytelling song kwa mimi msanii wa kibongo...
Hi there!
Do you remember our history. Here is a story written 27 years ago:
Tanzania Jet Hijacked; 2 Are Reported Killed
Published: February 27, 1982
Hijackers demanding the resignation of President Julius K. Nyerere of Tanzania seized a Tanzanian jetliner with more than 90 passengers...
Ndugu zangu,
Kama wewe ni software & web developer mzuri, na upo Dar, nadhani nina project kwaajili yako.
A quick introduction about the project;-
Project itahusisha utengenezwaji wa high performing website (ambayo ningependa kuiita platform ama portal) kutokana na multifunctionality yake...
Hello brothers n’ sisters!
Aisee niko na perfumes nzuri na OG kwa wale mnaopenda uniquness and elegance. Ziko za kike na kiume zenye scents tofauti katika ujazo wa 50mils na 100mils.
Perfumes hizi ni Originally from South Africa. Harufu ni bomba sana na zinadumu kwa mda mrefu sababu Eau De...
Wanabodi
Natumai mungu ni mwema kwa kila mmoja kwa kupata zawadi ya uhai.
Muhtasari wa habari.
Moja kwa moja kwenye mada. Mnamo tarehe 5/10/2021 nikiwa natoka Arusha kuelekea mwanza na basi la kiazi kitamu ulizuka msuguano mkali kituoni cha polisi Nzega stendi.
Polisi walimshusha dereva...
Hawa watu walipendana Sana wakaamua kuoana. Lakini Kwa Sababu Hakuna aliekuwa tayari kubadilisha Dini yake kutokana Na misimamo mikali waliyo kuwa nayo, waliamua kufunga ndoa ya Serikali...
SIKU WALIYOKUTANA KIMWILI KWA MARA YA KWANZA.
Kati Kati ya tendo la Ndoa yule mwanamke Kwa kuzidiwa...
Nyanja: Utawala Bora/Mahusiano
(siyo tukio halisi)
Mazoea ya kuwa na ulinzi mkali wa Askari wenye sare na bunduki kwenye ziara za viongozi na operesheni za kitaifa kama mitihani ya taifa na uchaguzi mkuu yamezua jambo nchi moja ya Afrika Mashariki iliyogundua mafuta na iliyo katikati ya...
Hii miradi ndio kichaka ambacho mzee alikitumia kupiga mamilioni ya mabilioni, bado tunaomba uchunguzi ufanyike!
Kimkakati, katika hizi wizara aliweka watu wa "nyumbani" watunze siri japo na wao wana vikampuni vyao ndani ya miradi
Waliacha bomba la gesi wakaanzisha miradi ya dili
Mh. Samia...
Kesi ya Ugaidi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake watatu inaendelea kuunguruma kwenye Mahakama ya Uhujumu uchumi , Ambapo mvutano wa kisheria umekuwa mkali hasa baada ya Mapingamizi yaliyowekwa na Mawakili wa Mbowe kuwa ya moto .
Kesi imeahirishwa kwa muda ili kuiruhusu Mahakama kupitia...
Nahodha msaidizi wa Simba, Mohamed Hussein "Tshabalala" jana siku ya Ijumaa amefunga ndoa.
Hongera sana kepteni, niwatakie kila la heri kwenye ndoa yenu!
Hongereni sana kwa hiki kipindi
Waandaaji na Washiriki..
Mi nimekipenda
Tulizoea kuona mashindano ya hivi kwa nchi za nje tu.
...
Maoni;
1. Ile meza ya kuonjea iwe kubwa zaidi
Ili Maybe kila chef judge apate plate yake for tasting kwa nafasi
2. Na serving dishes standard iwe plates kubwa zaidi...
Mzuka wanajamvi!
Unakuta mtu anadhulumu wengine yeye akidhulumiwa anakuwa mkali vitisho hadi vya kuua. Kwanini usipotezee tu.
Yani wewe unajiona una haki kuliko uliowadhulumu?
Na uliowadhulumu wamenyamaza tu wewe kudhulumiwa unakuwa mkali.
Si upotezee tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.