Hayati Magufuli ni Carbon iliyopata Mgandamizo mkali ikawa Almasi ambayo itamkata yeyote yule akiishika kwenye makali yake imeanza na Lissu

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,399
3,916
Iko hivi: Tundu Lissu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie

Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote

yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani

Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake
 
Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu

FB_IMG_1691364368651.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumshambulia hayati ni kipenzi cha mioyo ya watanzania wasio mafisadi na vibaraka wao, hapo amejichanganya...
Mashabiki wa Muuaji ni wagonjwa wanaohitaji dawa ya kuambiwa Ukweli.

Lissu ni daktari asiyehofia kugawa dozi ya ukweli. Wagonjwa wakitaka wanywe, wasipotaka waache. Lakini dozi lazima igawiwe ili Taifa lipone.

Kama ni halali kusema madudu ya Mkapa, haiwezi kuwa haramu kusema madudu ya Magufuli. Na wote ni marehemu!
 
Mashabiki wa Muuaji ni wagonjwa wanaohitaji dawa ya kuambiwa Ukweli.

Lissu ni daktari asiyehofia kugawa dozi ya ukweli. Wagonjwa wakitaka wanywe, wasipota waache. Lakini dozi lazima igawiwe ili Taifa lipone.

Kama ni halali kusema madudu ya Mkapa, haiwezi kuwa haramu kusema madudu ya Magufuli. Na wote ni marehemu!
Atausema huo ukweli lkn mwisho wa siku hataambulia uungwaji mkono ambao ndio lengo kuu la mikutano yake...hawezi kushindana na upepo wa hayati akashinda..
 
Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie

Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote

yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani

Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake
Unaandika wazo hili ukiwa Mirembe hospital. Leo umeruhusiwa kutumia simu!
 
Ni wakati muafaka CDM,kuchukua uamuzi wa kumpima akili huyu mwamba,maana risasi 16
siyo mchezo huenda zilimtengua akili sehemu fulani.

Haiwezekani kwa mwanasheria aliyeaminika kushindwa kusoma alama za nyakati
juu ya ni nini aongee jukwaani kwa sasa,ukizingatia tunaelekea uchuguzi 2024.
Nadhani angejikita,kwenye bandari na katiba mpya kwa sasa.
 
Shida ya CDM na Chawa hawataki kuukubali ukweli - Magufuli anaendelea, posthumously, kuwa kipenzi pekee cha Watanzania walio wengi.

Kwenye Uchaguzi Mkuu ujao; tutawapima zaidi wagombea kwa kuangalia wanavyoshabihiana na Magufuli.

Magufuli ni kielelezo cha uchapakazi, Uchamungu, uzalendo, nidhamu na utetezi wa maliasili na rasilimali nyingine za umma.

Magufulites watakuwa very marketable.
 
Unaandika wazo hili ukiwa Mirembe hospital. Leo umeruhusiwa kutumia simu!
Magu ameishaondoka,hapa cha kufanya ni kutumia nafasi iliyopo kupata wafuasi wengi bila kujali wanatokea upande upi.
Ila kuna methali isemayo '' la kuvunda halina ubani''
kuna watu tuliamini upinzani una nafasi ya kufanya kitu,ila kwa mwendo huu
tujiandae kuendelea na malalamiko baada ya chaguzi zijazo.
 
Kwa sababu kaamua makusudi kututoa kwenye mjadala wa DP world basi sisi nasi tutadili nae yeye perpendicular..mjadala wa DP world tutaurudisha kwa kina mwabukusi wazalendo wa kweli..wanaofanya pasipo nyege za kisiasa.
 
anasema yeye ni mwanaharakati.

vyema,ktk harakati hata ukisimama peke yako haina shida,muhimu umesimama na jambo ambalo wewe binafsi unaamini liko sawa.

lakini katika harakati na siasa lazima uchague haki na kuungwa mkono pia.
 
Iko hivi: Tundu Lisu kumgusa Magufuli ni kugusa makali ya ncha ya Almasi utake usitake itakuchana Chana tu
pressure kubwa ambayo dhahabu iliyonayo ukiigusa lazima wewe uumie

Tundu Lisu ni kichaa aliyejificha kwenye mche wa muhindi huku kichwa chake kikiwa nje kimeonekana na watu woote

yaweza kuwa IQ ya Lisu ni ndogo Sana hajui alipo na anapoelekea au yaweza kuwa Cerebrum yake haifanyi kazi vizuri naomba aelimishwe vizuri apate kujua Magufuli ni Nani

Vinela anavyohongwa na kugeuka vuvuzela vinamharibia future yake na watoto wake
Ulafi wa kupindukia wa Magufuli umejulikana asante Tundu Lissu kwa ujasiri mkubwa! Mtu alikuwa analala chumbani na billioni 100?!!! Tulitawaliwa na jitu la hovyo mno!
 
Back
Top Bottom