Nani mkali kati ya Shaggy na Sean Paul

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
17,458
21,176
Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall .

Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba Pop .

Bila ubishi wowote hawa jamaa wana nyimbo nyingi zisizochuja tangu miaka hiyo mpaka leo .

Shaggy alianza kufanya muziki mapema zaidi kuliko Sean Paul. Shaggy alijipatia umaarufu katika miaka ya 1990 na albamu yake ya "Pure Pleasure" iliyotoka mwaka wa 1993, wakati Sean Paul alianza kujulikana zaidi katika miaka ya 2000 na albamu yake ya "Dutty Rock" iliyotoka mwaka wa 2002.

Je kati ya hawa wawili nani ni mkali zaidi kuliko mwingine?

images (2).jpeg
images (3).jpeg
 
View attachment 2777922View attachment 2777923
Nyimbo zingine za ziada

Sean Paul - Got 2 love u, Gimme the light, Ever Blazin nk

Shaggy - It wasn't me , Bombastic ,Why me lord nk
 
Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall .

Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba Pop .

Bila ubishi wowote hawa jamaa wana nyimbo nyingi zisizochuja tangu miaka hiyo mpaka leo .

Je kati ya hawa wawili nani ni mkali zaidi kuliko mwingine?

View attachment 2777922View attachment 2777923
wote ni fire. Nina ngoma zao wote
 
Orville Richard(shaggy) alibamba sana kiasi mpaka anakuja Sean tyr mwamba alikuwa kashamaliza kipindi chake hivyo kumshindanisha Sean na Shaggy nahisi sio sawa kwani walihit ktk vipindi tofauti na kila mtu alitukamata kwa kipindi chake

Kasikilize in The Summertime la mr.bombastic
 
Shaggy na Sean Paul hawa wote ni wana muziki kutokea Jamaica ambao wanaimba dancehall .

Shaggy huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba reggae kwa upande wa Sean yeye huwa anachanganya dancehall muda mwingine anaimba Pop .

Bila ubishi wowote hawa jamaa wana nyimbo nyingi zisizochuja tangu miaka hiyo mpaka leo .

Shaggy alianza kufanya muziki mapema zaidi kuliko Sean Paul. Shaggy alijipatia umaarufu katika miaka ya 1990 na albamu yake ya "Pure Pleasure" iliyotoka mwaka wa 1993, wakati Sean Paul alianza kujulikana zaidi katika miaka ya 2000 na albamu yake ya "Dutty Rock" iliyotoka mwaka wa 2002.

Je kati ya hawa wawili nani ni mkali zaidi kuliko mwingine?

View attachment 2777922View attachment 2777923
Sean Paul kamuacha Shaggy mbali sana. It's not even fair kuwafananisha.
 
Joe Makini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom