Kizazi cha sasa cha Rhumba nani mkali kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Nani mkali wa Rhumba DRC?

  • Total voters
    46

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili

Fally Ipupa kasikilize
Mayday
Marie PM
Associe
Flye
Liputa
Tsho
Sl
Na nyinginezo

Ferre Gola kasikilize
100 kilos
Kamasutra
Jugement
Maboko Pamba
Poison d'avril
Court Circuit
Vita Imana (Remix)
Na nyinginezo

Haya twende na muziki mzuri
 
Maria PM hata ipigwe nikiwa usingizini nitaamka nicheze, so yeah Fally Ipupa ana kura yangu.
Sasa hivi akija tena Tz siwezi kukosa.
Ushaisikiliza Mayday vizuri? Hebu kasikilize halafu uje unambie tena
 
Hapo nyimbo zote za rhumba za fally zinalipwa kwa wimbo mmoja tu wa ferre, kinshasa.

Ferre ni mkali wa rhumba zaidi ila fally ni mkali wa aina zingine za mziki yaani anachanganya miondoko.
ila wakiimba wote ni balaaa
 
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili

Fally Ipupa kasikilize
Mayday
Marie PM
Associe
Flye
Liputa
Tsho
Sl
Na nyinginezo

Ferre Gola kasikilize
100 kilos
Kamasutra
Jugement
Maboko Pamba
Poison d'avril
Court Circuit
Vita Imana (Remix)
Na nyinginezo

Haya twende na muziki mzuri
Zitaimbwa nyimbo zote ila hakuna RUMBA itakayoifunika MAYDAY ya Fally amini nakuchana mkali.

Hii ndo list ya nyimbo 100 nazoziskiliza sana kwa siku moja hadi tano ni MAYDAY🔥🔥🔥🔥🔥
 
Attachments

  • Screenshot_20231018-132147_Samsung Music.jpg
    Screenshot_20231018-132147_Samsung Music.jpg
    163.4 KB · Views: 18
  • Screenshot_20231018-132155_Samsung Music.jpg
    Screenshot_20231018-132155_Samsung Music.jpg
    214.7 KB · Views: 13
Kwenye muziki wa kisasa wa Rhumba hasa kutoka DRC Kuna wanamuziki wawili wanaoshindana kwa ukaribu sana. Je nani kati Yao ni mkali kwa mtazamo wako kati ya Fally Ipupa na Ferre Gola?

Hapa nitataja baadhi ya nyimbo zao ambazo ukiweza kuzisikiliza zinaweza kukupa mwanga wa kuamua kwenye hili

Fally Ipupa kasikilize
Mayday
Marie PM
Associe
Flye
Liputa
Tsho
Sl
Na nyinginezo

Ferre Gola kasikilize
100 kilos
Kamasutra
Jugement
Maboko Pamba
Poison d'avril
Court Circuit
Vita Imana (Remix)
Na nyinginezo

Haya twende na muziki mzuri
ilo goma la FerrieG la 100 kilos ni moto aise halafu ndio umekamata V8 ya waziri dar to dodoma unaeweza kanyaga mafuta for 5hrs halafu ukajishangaa mwenyewe imekuaje nipo Dom time hii
 
Back
Top Bottom