Ndugu zangu,Mimi Ni kijana natafuta pikipiki ya hesabu ambapo nitakuwa naitumia kufanyia biashara ya boda boda na kumlipa mwenye Mali kutokana na makubaliano ya kiasi tutakachokubaliana...naomba ndugu zangu nisaidiwe kwa Hilo nitafanya kazi kwa uaminifu mkubwa mnoo na nitahakikisha naleta hesabu...
Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
Planet Open School ni taasisi inayochojihusisha na utoaji wa elimu kwa wale wanaojiendeleza kielimu.
Taasisi hii inahitaji mwalimu wa biology na chemistry mwenye uwezo wa kufundisha kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita.
Mwalimu atakuwa na vipindi vitatu kila week kwa kila somo. Baada ya...
Nimefurahishwa sana na kitendo cha Rais wetu mpendwa cha kutangaza bayana azma yake ya kukalia kiti cha urais kwa muhula mwingine.
Binafsi nafikiri amefanya kitu cha msingi kwa kuwakatisha tamaa wale wenye uchu wa madaraka ili wapate kuendelea na shughuli zao za kawaida.
Bila shaka sasa watu...
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
Leo nilikuwa na route za sehemu mbalimbali hapa down town yaani Dar es Salaam, nimeona majengo mengi yakijengwa chini ya kiwango na mamlaka husika zipo zinawaangalia tu, mfano kuna jengo moja pale Magomeni Mikumi yaani limelala kama kinadondoka na kuna jengo lingine liko kama unaenda Coca-Cola...
Hebu tuwe serious na maisha nyie Wana ccm hivi mnaona sahihi haya MAKATO ya MIAMALA? Imagine nikitaka kufanya transaction ya milioni moja ni 40,000/= hii ni nauli ya Msamvu mpaka Nyegezi stand au stand ya Nato.
Pamoja na mambo mengine yote siasa ni majadiliano, au mgogoro wa hoja baina ya watu, vyama katika kutafuta kutwa madaraka au mamlaka.
Mtazamo wa mwanafilosofia aitwae Aristotle kuhusu siasa anamfananisha mwanasiasa na fundi kwamba mwanasiasa ni mtu alie na elimu wezeshi (practical knowledge) na...
Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia.
Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi.
Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
Aunty yuko kwenye 50’s lakini bado mzuri na anavutia. Anasema wakati akiwa form five walifanya shule ili organise fundraising dinner. Ilikua na fashion show. Baada ya kupita na mavazi tofauti mezani pale katika miondoko ya catwalk, mgeni wa heshima alimpenda. Mgeni wa heshima alikuwa Waziri...
Kuna Kila dalili kuwa kuna mgomo tanesco kuhusiana na kufungiwa umeme maeneo ya mjini Kwa Tsh 27,000.
Kila ukienda tanesco popote nchini wanakupatia fomu Bure kazi inaanzia wapi.
1. Hakuna surveyor
2. Ukifanyiwa surveyor hawakupstii control number ya kulipia
3. Ulifanikiwa kulipia unaambiwa...
Maelfu ya maafisa wa polisi wametawanywa kote mjini Paris kukabiliana na waandamanaji wanaopinga kuanzishwa pasi maalumu ya afya kwa wale waliochanjwa dhidi ya virusi vya corona.
Zaidi ya polisi 3,000 na maafisa wa usalama wameuzunguka mji mkuu wa Ufaransa Paris Jumamosi wakati maelfu ya...
Kiwanja kinauzwa kipo Dodoma katikati ya mji maeneo ya majengo kina ukubwa wa 35 kwa 17, kina offer.
Bei ni 230mil mwenye kuhitaji tafadhari tuwasiliane kwa namba 0622723082, naamini hutojuta kukinunua kama una mipango ya kuwekeza katikati ya mji.
Karibuni
OFISA Mifugo Manispaa ya Shinyanga, Velan Mwalukwa, ametiwa mbaroni kwa kumtolea lugha chafu Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, na Ajira.
Mwalukwa, ametiwa Mbaroni jana wakati wa mkutano wa Mbunge Katambi, Kata ya...
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka selo alikohifadhiwa , alikamatwa kwa maagizo ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga ambaye bado ana akili za Mwendazake za kuficha taarifa za CORONA , ilikuwa asafirishwe usiku huu kupelekwa Shinyanga kuhojiwa kwa andishi lake kuhusu corona Shinyanga.
Pia soma > Kiongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.