Plot4Sale Beach Plot Nunge Bagamoyo Mjini

Quality_First

Member
Jun 12, 2021
32
15
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.

FF53D082-9D0B-43A4-8E18-C6CED1DCB9B4.jpeg

B3799885-C9E5-4DF9-8C06-56D69EF5DDF2.jpeg
 
Attachments

  • IMG_1572.MOV
    20.8 MB
Beach plot inauzwa Nunge Beach Bagamoyo Mjini. Nunge Beach ni maeneo ya ilipokuwa Paradise Hotel and Resort. Ni eneo linalofaa kujenga Hotel za kitalii. Size ya kiwanja ni 11 acres. Bei ni $2M. Serious customers wawasiliane nami kupitia 0687320462.

E119F96D-AF79-4239-85C6-8788E41610DD.jpeg

A9257EF7-41E4-4019-8CE6-38B0CB6A11D7.jpeg
 
Ni vile tu umasikin ila hio hela na hilo eneo vinarandana kabisa ni kama 400m/heka ufukweni tutafuteni hela wakuu au tupoe vikindu.
Miongoni mwa ndoto zangu ni kumiliki nyumba yenye bahari on the back yard
 
Ni vile tu umasikin ila hio hela na hilo eneo vinarandana kabisa ni kama 400m/heka ufukweni tutafuteni hela wakuu au tupoe vikindu.
Miongoni mwa ndoto zangu ni kumiliki yenye bahari on the back yard
Nyie watu bana shilling 4.5bn kwa aridhi ilioko bagamoyo 65km kutoka mjini kati kwahiyo pesa ata Chicago beach USA unaipata hiyo aridhi.........watanzania hatajui value ya pesa tunatamka tu bei
 
Danganyika Tanzagiza
 
Sio kubwa kwa kigezo gani? Au kwa kuliganisha na sehemu gani?
Ndugu yangu kila mahali hapa nchini serikali kupitia wizara ya ardhi yameshathaminisha ardhi interms of cash per square meter so tafuta hizo sheet za wizara na tazama bei za makadirio ya beach plots bagamoyo mjini then thank me later
 
Nyie watu bana shilling 4.5bn kwa aridhi ilioko bagamoyo 65km kutoka mjini kati kwahiyo pesa ata Chicago beach USA unaipata hiyo aridhi.........watanzania hatajui value ya pesa tunatamka tu b
Nyie watu bana shilling 4.5bn kwa aridhi ilioko bagamoyo 65km kutoka mjini kati kwahiyo pesa ata Chicago beach USA unaipata hiyo aridhi.........watanzania hatajui value ya pesa tunatamka tu bei
Shukran kwa maoni yako mkuu mulwanaka . Ila Wenye kujua thamani watakuja tu mkuu. Infact wapo kadhaa waliokuwa tayari kutoa $1.5M ila offer zao zilikataliwa.
Sio kubwa kwa kigezo gani? Au kwa kuliganisha na sehemu gani?
View attachment 1867172
Ni bei Reasonable tu.
 
Hapo ni parefu sana, bei sio rafiki kwa wadau wa JF. Kiujumla kwa wadau wa JF sioni mtu wa kujaribu hata kuitamani. Wengi humu ni walalahoi waliochangamka tu.
 
Shukran kwa maoni yako mkuu mulwanaka . Ila Wenye kujua thamani watakuja tu mkuu. Infact wapo kadhaa waliokuwa tayari kutoa $1.5M ila offer zao zilikataliwa.

Ni bei Reasonable tu.
Nafikiri umepotea njia hao waliotoka hizo ofa zilizokataliwa hawako huko its beta ungewafuata huko huko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom