Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai.
Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia Wananchi na kumpongeza Rais...
Wakuu, Habari zenu nyote.
Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada wa kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro.
Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu...
Heshima kwenu wote.
Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk
Tumeenda kwenye ofisi...
Bora abaki yule yule mwana Hip hop kuliko huyu CCM wamtakaye.
1. CCM itaamua nini kifanyike Mbeya Mjini bila msemaji wao kwani tayari atakuwa spika na yupo chini ya nyayo za mkuu solotep mdomoni.
2. Atakuwa spika kwa uchochoro wa Mwanamke anaweza tazama mh. samia ameweza tazama ummy ameweza...
Ni meya msitaafu wa manispaa ya Bukoba kwa akina Rwetabangula,Rweikiza ,etc
Kusema ukweli jamaa ana ushawishi wa kisiasa hatari, angekuwa mtumishi wa Jehova nafikiri hata shetani angetubu na kuacha ushetani wake.
Ikumbukwe kuwa,Chief Kalumuna mpaka alipofikia hapo ni malezi na taaluma nzuri...
Hili jambo lipo wazi sana. Nadhani hata Joseph Mbilinyi mwenyewe ameanza kugundua. Sidhani kama atakuwa so naive not to realise that fact. Mbeya Mjini wamejifunza mengi sana katika kipindi cha miaka 5 ya Dkt. Magufuli.
Dkt. Tulia ni msomi, energetic, determined, focused na mwenye uwezo wa...
Leo DR Tulia ambaye Ni naibu Spika alikula Chakula Cha mchana kwa mamaNtilie Jijini Mb
eya. Kabla ya kuhitimisha vikao vya bunge alisema atagombea mwaka huu sisi HATUJUI ni Jimbo gani lakini niliwahi kuandika kuwa Sugu ASIMBEZE DR TULIA.... Niwakumbushe kidogo, bado msimamo wangu na analysis...
Wanajamii forum nawasalim,
Naiomba wizara ya Ardhi na Maendeleo Ya Makazi waumulike Manispaa ya Mtwara. Mimi ni mhanga katika ufisadi ambao unaendelea pale ofisi ya ardhi jirani ma BOT. Nilikuwa nahitaji kulipia kiwanja changu. Lakini kila nikipewa control number inasoma jina ambalo silo la...
Kampuni ya Drone Ads inakutangazia wewe unayependa kujenga maeneo jirani na kitovu cha mji, kwamba inauza viwanja 150 vilivyopimwa vilivyopo nyuma ya stendi kuu ya Kibaha, eneo la Pangani kilomita 1.5 toka stend, karibu kabisa na hospital ya wilaya Kibaha. Hivyo huduma zote muhimu zipo...
“Sisi tumekuja bungeni si chini ya mara moja, kwa TUME hii tuliyo nayo. Tuulizeni TULISHINDAJE, tuulizeni tulitumia MBINU zipi?. Ili anayekuja kugombea ajue MBINU na kuacha KULIA kwamba tume hii SIO huru,"
Pia soma > Wilfred Lwakatare arejea CUF baada ya kufutwa uanachama CHADEMA. Kutumika...
Ilikuwa 2012, nilichukua package holiday ya siku tano ilijumlisha hoteli ya nyota tatu, nauli ya ndege na usafiri wa ndani kwa £1,200. Hii ilikuwa inajumlisha chai asubuhi na chakula cha usiku.
Tulikuwa watu 10 kwenye group kwetu. Tulipofika airport Dereks wa tour alishika bango eneo la...
Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/- milioni ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Maoni ya wadau:
Miongoni mwa kauli nzito aliyotoa Rais mstaafu wa awamu ya tatu mzee Benjamin Mkapa ni kuwa enzi za utawala wake vikao vyote vya baraza la usalama la taifa vilifanyikia mjini Dodoma.
Tafsiri yake ni kuwa kikao hiki kilikuwa kinajadili mambo ya siri za usalama wa nchi (Labda ikiwemo upotezaji)...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA).
Mkataba wa...
Naenda kwenye mada moja kwa moja Mkuu kwanza; katika kipindi hichi umeonyesha ukomavu mkubwa sana pamoja yaliyotokea pitia Chama chako .
Ulitangaza kuacha siasa,sawa ila nikushauri huna sababu ya kufanya hivyo tafadhali badilisha mawazo yako .
Nimeona clip zako zimenigusa sana ,Haijalishi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.