mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. Mtafiti77

    JamiiForums Tanzania OPPO F15 halisi na mpya unaipata kwa bei gani hapo mjini kwenu?

    Ndugu Mashabiki wa OPPO nipo katika savey ya simu tajwa. Ninalinganisha bei nipate uelewa. Je, kwa sasa simu hizi zikiwa mpyaa, OG zinacheza shilingi ngapi hapo mjini kwenu? Wale mliopo jirani na maduka makubwa tafadhali ninaomba msaada kufahamu. Shukrani
  2. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwanini soko kuu lililoungua Mbeya Mjini hadi leo halijajengwa?

    Wakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa? Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Xinjiang machoni mwangu: Mandhari ya kuvutia ya milima ya Tian Shan mjini Xinjiang yaniacha kinywa wazi

    Katika safari yangu ya mkoa unaojiendesha wa Xinjiang Uygur, nimebahatika kutembelea kwenye vivutio kadhaa, ila cha kwanza ambacho nina hamu sana ya kukielezea na ambacho kiliniwacha kinywa wazi kwa kushangaa ni mlima maarufu sana wa Tianshan. Ilituchukua takriban mwendo wa saa mbili hivi hadi...
  4. Slowly

    JamiiForums Tanzania WCB Wasafi kiwanda Bora cha mziki mjini

    Watanzania tumejaaliwa majungu chuki na wivu , hzo ndizo zawadi Bora kabisa tulizoachiwa, na Kwa kweli tupo vizur na tunazitendea haki,.....thus why Sisi ni moja kati ya nchi kumi zenye umaskini wa kutupwa duniani, .... hata hvyo katika sekta ya burdani Tanzania, WCB isifananishwe na utopolo...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante sana Kipa Metacha Mnata kwa 'Kuibatiza' Yanga SC yako Jina jipya na zuri la 'Mindole FC' mjini kwa sasa

    Klabu ya Simba SC ilipokuwa ikicheza Mechi zake huku 'Paka' wakionekana Uwanjani ghafla 'ikabatizwa' Paka FC hivyo sasa tunaenda sawa baada ya Kipa Metacha Mnata wa Yanga SC kuitafutia Yanga SC yake jina jipya la 'Mindole FC' hapa Mjini. Kwa sasa Mtu yoyote tu wa Yanga SC akituita Simba SC...
  6. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mbeya Mjini kuna Vyuo vingi. Je, hivi Vyuo vinawezaje kuwa fursa ya kibiashara?

    Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara. Vyuo hivi hapa CHUO - SEHEMU MUST - Iyunga MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini TIA - Airport ya zamani MZUMBE - Foresti SAUT - Foresti UTUMISHI (tpsc) - soko matola ADEM - Foresti UCC (Tawi la UDSM) - uzunguni CBE – Mjini TEKU -...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Bei za fremu Morogoro Mjini

    Habari zenu, Naomba kujua bei za fremu Morogoro Mjini mitaa ya karibu na soko kuu. asante
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Kanda ya Nyasa, kuanzia Mbeya Mjini

    Ule mkakati kabambe wa kudai Katiba Mpya na Tume huru ya uchaguzi, ukiambatana na usimikwaji wa Chadema Digital nchi nzima sasa umeingia Kanda nzito ya Nyasa, kwa kuanzia Mkoa wa Mbeya. Ikumbukwe kwamba Mbeya ndio Mkoa ambao Chalamila alitokea kabla ya kupigwa laana na Wazee wa Kyela baada ya...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video: CHADEMA wafanya sherehe Mjini Morogoro

    Huu ndio uzuri wa Chama cha siasa kinachosimamia misingi ya haki, huwa mnajiachia tu kwa vile hakuna kulogana wala kinyongo. Hebu jionee mwenyewe.
  10. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

    Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana Mwamba Mwenyewe ameombwa kuongoza kikao hiki na amekubali
  11. RRONDO

    JamiiForums Tanzania Mjini Mipango: Unaweza kuanza hii biashara hata kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest

    Leo nimeenda kukodisha mbao. Yule jamaa nimemuachia 30,000/- kwa mbao 20! Jamaa ana mbao nyingi tu Kwa ajili ya kukodisha. Nimefikiria unaweza kuanza hii biashara hata Kwa mtaji usiozidi bei ya iPhone moja latest. Imagine huyu mtu akipata wateja wawili tu kama mimi anatengeneza 60,000/-...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ahukumiwa kifungo cha mwaka mmoja jela

    Mwenyekiti wa BAWACHA Rorya ambaye jana alihudhuria kongamano la CHADEMA leo amehukumiwa kwenda jela mwaka mmoja. Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Mbowe yuko ziarani mkoani Mara. Taarifa rasmi itawajia punde. Kazi Iendelee!
  13. Napoleone

    JamiiForums Tanzania Ukitaka uishi maisha yenye furaha kwenye mahusiano...

    Kwanza hakikisha unatafta mwenza (well for men only) 1. Mpite miaka zaid ya 10 2. Elimu yake kibongo bongo awe La saba or form4 or six 3. Awe hana kazi inayoeleweka yaan wewe ndio mtaftie mchongo hapo mjini or else asiwe na kazi yoyote ile 4. Hakikisha anakusikiliza wewe kwa lolote yaani wewe...
  14. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mbunge wa Newala mjini, Kapteni Mkuchika?

    Aliwahi kuwa waziri wa utawala bora awamu hii nikasikia amepangiwa kazi maalumu... Sijamuona kwenye uapisho pia sijabahatika kumuona Bungeni yuko wapi Mbunge wangu?
  15. N

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa kupata Waraka wa utumishi wa umma no 2, wa mwaka 2018, unaokataza malipo ya uhamisho

    Wadau ambaye ana waraka huo naomba ashee na sisi hapa jukwaani au kama haupo ulishafutwa tunaomba basi huo waraka ambao umefutwa maana nimeona barua mtumishi kajibiwa hastahili kulipwa uhamisho wake kutokana na maelekezo ya huo waraka
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Ukija mjini kutafuta usipende kuendekeza kujuana na marafiki mliotoka Kijiji kimoja. Itakuwia vigumu kufanikiwa

    Nimegundua jambo hili dogo sana ila lina effects nyingi katika utafutaji mjini hasa Dar es salaam. Kwa mara ya kwanza nachongesha kitanda Dar nilimpa tender classmate wangu wa primary, akanifanyia madudu. Kitanda nilikipata baada ya miezi kama 5 hivi huku ameniwekea chaga feki. Mara ya pili...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Anthony Mavunde akutana na Walimu, Maimamu na Masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma

    Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Mavunde akiongozana na Sheikh wa Mkoa wa Dodoma Alhaj Mustafa Rajabu Shaban leo amekutana na walimu,maimamu na masheikh wa kata wa Jiji la Dodoma na kutoa salamu zake na ujumbe kuelekea sikukuu ya Eid El fitri katika hafla iliyoenda sambamba na...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa muda mrefu

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde ashiriki zoezi la ufunguzi wa barabara zilizokuwa hazipitiki kwa Muda mrefu Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe. Anthony Mavunde leo ameshiriki na viongozi wa Kata ya Chigongwe kukagua zoezi la kufungua barabara yenye urefu wa kilomita 5.2 kutoka eneo la...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Dodoma Mjini, Mavunde akabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma

    Mbunge wa Dodoma Mjini Mhe Mavunde Leo amekabidhi sare kwa kituo cha madereva taksi wa Uwanja wa Ndege Dodoma ikiwa ni sehemu ya kuboresha huduma ya usafirishaji Jijini Dodoma. "Nimekabidhi sare hizo leo kwa madereva taksi 30 zenye thamani ya Tsh 1,500,000 katika eneo la Uwanja wa Ndege kwa...
  20. Elon Mzebuluni

    JamiiForums Tanzania House4Rent Natafuta chumba cha kupanga (double) maeneo ya Paloti, Arusha mjini

    Hello! Habari wandugu kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza. Bajeti yangu 60,000 to 70,000. Asante.
Back
Top Bottom