Soko kuu la kingalu Morogoro mjini wanazindua vizimba vya nje leo

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
 
Ule ni ujinga uliopitiliza.vizimba vimejengwa eneo la parking za magari.Ingekuwa akili kama wangevipeleka kule Bus stand ya Mafiga ambako akuna watu na stend imedorola
 
Sasa kule watu hawaendi mkuu
 
Hapo ndo unajua akili za viongozi wetu ziko kwenye Makalio hata yawe madogo kama Msando
 
Mbona hatuoni picha?
Soko kuu la kingalu la mjini morogoro kumejaa watu muda huu vizimba vya wamachinga vinaweza vikazinduliwa leo. Vimepewa majina ya mitaa ya viongozi Samia Suluhu mpango majaliwa abood mkuu wa mkoa nk pamenoga Sana walio hapa tufahamishane.
 
Vizimba vya nje, Why sio vya ndani ? au kama Nje pazuri kwanini na wa ndani wasije nje ?

Hii ndio naita Easy Answers to Complicated Problems
 
Back
Top Bottom