mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Usije na jembe mjini

    Wakati fulani katika kijiji kimoja, mtu mmoja aliwatangazia wanakijiji kwamba angenunua nyani kwa Sh. 10,000. Wanakijiji, waliona kwamba kulikuwa na nyani wengi karibu. Wakatoka mpaka msituni na kuanza kuwakamata.........Mtu huyo alinunua maelfu kwa Sh. 10,000 na usambazaji ulipoanza...
  2. JamiiForums Tanzania SOLD: Bed sofa ya chuma inauzwa, ipo Moshi Mjini

    Bed sofa ya chuma 5kwa6. Bei nafuu kabisa 250,000 rangi hiyo... Mawasiliano. 0672701329....au.....0756294771.... Asanteee.... Wako katika biashara mtandao...
  3. E

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha Mafuriko Morogoro mjini ni tuta la SGR, mamlaka zishughulikie hili

    Natamani ukweli huu uwafikie wafanya maamuzi. Kampuni ya Kituruki ya Yapi imeinua tuta kubwa na refu kwa ajili ya kupitisha reli ya SGR badala ya nguzo. Kisha wakaweka outlet mbili za kupitishia maji. Matokeo yake tuta limekuwa likiyablock maji kutoka milima ya azimio na Lukobe kusambaa kwenye...
  4. JamiiForums Tanzania Kahama na Mwanza Mjini: Naomba kujua wapi panafaa kuwekeza lodge ya kisasa

    Habari wakuu; Naomba kufahamishwa kati ya wilaya Kahama na Mwanza mjini ni wapi pazuri kuwekeza Lodge ya kisasa na biashara ikasonga? Zingatia haya unaposhauri; 1. Upatikanaji wa kiwanja wenye ukubwa wa angalau ukubwa wa mraba 30mx40m 2. Maeneo yapi mwa mji utapata ukubwa huo na bei yake 3...
  5. JamiiForums Tanzania Mjini Shule kuwa makini

    Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa. Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa sababu alikuwa na pesa nyingi. Baada ya majadiliano marefu (mwishowe, mteja ndiye mwenye haki)...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Picha: Tupatie update ya eneo lako husika- El nino 2023/2024

    Wakuu, tujuzane huko ulipo hali ikoje kwa picha na video, na kama kuna sehemu ina changamoto toa taarifa haraka kwa mamlaka husika kuepusha athari kubwa. Bila kusahau, tuchukue tahadhari kipindi hiki chote cha mvua. Mzazi, kama mtoto wako anasoma mbali na miundombinu ni mibovu ni bora...
  7. JamiiForums Tanzania House4Rent Kwa mahitaji ya vyumba na nyumba za kupanga, fremu za biashara Arusha na Moshi mjini

    Habari ndugu wananchi wa mikoa ya ARUSHA NA KILIMANJARO..., Kwa mahitaji ya..., 1.Vyumba (SINGLE SELF , DOUBLE SELF , AU VYA KAWAIDA) , 2. Nyumba NZIMA ZA KUPANGA , 3. Fremu za biashara MOSHI na viunga vyake , 4. MAJENGO mazuri na yanayofaa kwa kuweka 4.1 Ofisi za taasisi, 4.2 GODOWN , 4.3...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Shule za mjini vs shule za vijijini zipi zinapitia changamoto nyingi?

    Wanajamvi kwema Moja kwa moja niende kwa mada. Kuna sehemu nimeona hii mada inasema hivi “Kati ya shule za mjini na shule za vijijini ni wapi wanafunzi wanapitia changamoto nyingi sana” Toa maoni yako na sababu.
  9. JamiiForums Tanzania Kituo kinachofuata ni Mtwara mjini. Wadau wa Mtwara mjini nipeni ruti

    Wakuu kwema? Ziara ya Nachingwea imetamatika sasa naja Mtwara mjìni. Wenyeji wa Mtwara mjini naomba mnipe maelekezo. Sehemu zipi za kuburudika? Na kuhusu wale watu wetu wa jinsia pendwa ni sehemu ( kiwanja gani ? Bar au club) nikienda nitakutana na watoto wenyeji yani wazawa wa hapo hapo...
  10. JamiiForums Tanzania RC Batilda Buriani tatizo la umeme Tabora hulioni?

    Nipo Tabora leo ni siku ya tatu nikifanya kazi maalumu ili kuendelea kulijenga taifa. Kinachonisaidia ni kuwa nina powerbank tatu, toka nimefika Tabora umeme unakatwa asubuhi na kurudi usiku saa nne, na muda Mwingine unaweza kukatwa hata mara sita. Nauliza mkuu wa Mkoa, Batilda Buriani hili...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Mmasai aliniingiza mjini asubuhi ya jana kwenye mvua

    We Mmasai uliyeniadaa na madawa yako ya mitishamba siku ya jana kwenye mvua, nasemaje, sisi ni Pipo, one day tutameet Alianza kwa kunitandika dawa ya mvuto wa biashara, akafuatia dawa ya mvuto wa wanawake, akamalizia dawa ya kulifanya pembe la ndovu liwe na hasira kali kwa muda mrefu. "Rafiki...
  12. JamiiForums Tanzania KERO Barabara za Jimbo la Kibaha Mjini (Pwani) hali ni mbaya, mvua ikinyesha Wananchi wanateseka

    Hivi ndivyo ilivyo maeneo ya mitaa ya Kibaha, Maili Moja Mkoani Pwani, mvua zikinyesha tu basi miundombinu hasa barabara hazipitiki kirahisi kama hivi inavyoonekana. Mbunge wa Jimbo hilo la Kibaha Mjini ni Silvestry Fransis Koka ambaye amekuwepo katika nafasi hiyo kwa muda mrefu lakini suala la...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Walimu wa kike wamerundikana shule za mjini?

    Asilimia kubwa ya Walimu wote shule za vijijini ni wanaume. Kuna shule hazijawahi kuwa na mwalimu wa kike tangu kuanzishwa kwake. Kuna mtindo wa kurundika walimu wa kike shule za mjini kwa kigezo cha mazingira . Mwalimu wa kike akiajiriwa kijijini kidogo tu huyo amehama . Pita shule zilizopo...
  14. JamiiForums Tanzania Dar: Studio za Mjini FM zawaka moto huko Masaki

    Studio za Mjini FM zimeteketea kwa moto asubuhi ya leo Januari 12, 2024 huku chanzo cha moto huo kikiwa bado hakijajulikana. Video inamuonesha Dorah ambaye ni mmoja wa Watangazaji wa Mjini FM akiwa haamini kilichotokea leo Januari 12 2024. Inspekta Kulwa Nzelekela kutoka jeshi ka uokoaji na...
  15. JamiiForums Tanzania Uchawa ukizidi sana ndio madhara yake haya

    Rais wetu mpendwa anatoa wapi hela za kusomesha watu wa nchi hii? Naamini Rais anachukizwa na hizi sifa mnazombebesha kila uchwao. UCHAWA UKIZIDI SANA NI AIBU!
  16. JamiiForums Tanzania Mtaa gani ni hatari kutembea usiku wa manane Arusha mjini? Maana jana nilizunguka Ungalimited usiku mnene na hamna kitu nimefanywa!!

    Mitaa ipi mingine ni hatari? Nimetia timu Arusha Kwa wiki moja from jiji la panyaroad nikaona nikatembee mitaa ya Ungalimited saa saba usiku nione machalii wana jipya gani.... Nikiwa nimetupia nguo nyeusi, buti la jeje na boshori huku Kila saa nikigusa gusa kiuno as if nina paja la kuku kumbe...
  17. JamiiForums Tanzania Nani anazipa jeuri Daladala za Moshi Mjini kutoka Kikavu Chini hadi Longoi?

    Umbali wa kutoka Moshi Mjini hadi Kikavu chini ni Kilomita 11 tu, nauli ya awali ilikuwa ni Shilingi 600 kabla ya ongezeko la hivi karibuni iliyofanya nauli ya eneo hilo kuwa ni Shilingi 700. Pamoja na mabadiliko hayo, Daladala zinazoenda njia hiyo hazijawahi kuwatoza kiasi hicho cha nauli...
  18. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bob Chacha Wangwe atangaza kugombea ubunge Tarime Mjini, asema 'ana soda' kwa ajili ya wajumbe!

    Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" . Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
  19. JamiiForums Tanzania Fremu ya biashara Moshi mjini inapatikana

    Habari wandugu, Nina fremu ya kupangisha moshi mjini. Fremu ni kubwa na ni nzuri kwa biashara ya aina yoyote ile na ipo katikati ya mji wetu huu wa moshi Mji tulivuuu kabisa. Usio na shida yoyote ile zaidi ya fursa za kiuchumi inayochanganyika na fursa za utalii.. FREMU IPO KARIBU NA...
  20. JamiiForums Tanzania Kumbe baadhi ya viduka vya iPhone vilivojaa mjini ni center za ku-push madawa na bangi

    Heri ya mwaka mpya. Hii kitu nilishawahi kuambiwa na mtu flani nikapinga, nikasema maybe huyu jamaa ana chuki na wivu na jitihada za vijana wajasirimali. But baada ya kufikiria zaidi, it made so much sense, but sikuwa na uhakika 100% Sasa kuna siku nilikuwa nimekaa na washkaji tunapiga story...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…