Wanajeshi wa Israel wapo Gaza mjini kati sasa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,654
48,432
Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati.

=========

Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign to crush the Palestinian militants intensifies. "We are in the heart of Gaza City," Gallant told reporters. "Gaza is the largest terrorist base ever built."

He spoke as memorial ceremonies were held in Israel to mark the grim one-month milestone. Sobs pierced memorial ceremonies and crowds lit candles while mourning the 1,400 dead, including families slain in their homes and young people killed at a music festival, in Israel's worst attack since its 1948 founding.

Israel has vowed to destroy the Islamist militants over their shock attack, launching a campaign in the Gaza Strip that has killed more than 10,300 people, mostly civilians, said the Palestinian territory's Hamas-run health ministry.

Source: Lemonde
 
Waione Alwaz na Faizafoxy kwenye faili.
 
Hawa hamas ni wakutwangwa sana ila na israel nao inabidi waunge mkono kwa asilimia kubwa kuwakemea vikali hamas na kuonesha kuwa hawapo upande wao
 
Israel haizuiliki, hamas huko kwenye mahandaki mbona watatoka tu wenyewe baada ya maji na chakula kuisha.

Tuwaombee na ndugu zetu watanzania walio tekwa na hao magaidi wa hamas watoke salama.
Pamoja na serikali ya Tanzania kuwaunga mkono wapalestina lakini mpaka sasa hamas wamewashikilia watanzania wawili mateka.
 
...#kazi inaendeleaa
FB_IMG_1699422426065.jpg
 
Israel haizuiliki, hamas huko kwenye mahandaki mbona watatoka tu wenyewe baada ya maji na chakula kuisha.

Tuwaombee na ndugu zetu watanzania walio tekwa na hao magaidi wa hamas watoke salama.
Pamoja na serikali ya Tanzania kuwaunga mkono wapalestina lakini mpaka sasa hamas wamewashikilia watanzania wawili mateka.
Kwasababu siyo imani yao. Angalia hapa
 
Baada ya kuizingira Gaza na kuhakikisha hakuna gaidi litakalotoroka, sasa wafaulu kuingia mjini kati.

=========

Defence Minister Yoav Gallant said on Tuesday, November 7, Israeli forces were operating "in the heart of Gaza City" one month after Hamas's bloody October 7 attacks, as the campaign to crush the Palestinian militants intensifies. "We are in the heart of Gaza City," Gallant told reporters. "Gaza is the largest terrorist base ever built."

He spoke as memorial ceremonies were held in Israel to mark the grim one-month milestone. Sobs pierced memorial ceremonies and crowds lit candles while mourning the 1,400 dead, including families slain in their homes and young people killed at a music festival, in Israel's worst attack since its 1948 founding.

Israel has vowed to destroy the Islamist militants over their shock attack, launching a campaign in the Gaza Strip that has killed more than 10,300 people, mostly civilians, said the Palestinian territory's Hamas-run health ministry.

Source: Lemonde

Na wewe unaamini ??
 
gaza patakuwa eneo safiii penye amani ya milelee...#kazi iendelee
View attachment 2807530
Mji ulikuwa safi ila ona magofu sasa.
Hamas wamevamia, wakaua na kuchukua mateka.
Vita imetangazwa, wao wanajificha kwa raia na kujificha kwenye mahandaki.
Kama Hamas angekuwa yupo tayari kupigana angetangaza vita, ukitangaza vita raia wataondoka na utabakiwa na wanajeshi wenyewe.
 
Na wewe unaamini ??
Wameshaingia tayari.
Nakulipia nauli ukaishi Sudan ukaishi na ndugu zako waislamu wa Janjaweed.
 
View: https://www.youtube.com/watch?v=T5NrPOUp2qk
 
Nakulipia nauli ukaishi Sudan. Ukaishi na ndugu zako waarabu wa Janjaweed

Nakulipia nauli ukaishi Sudan ukakutane na ndugu zako waarabu (Janjaweed)
 
Back
Top Bottom