Tahadhari dhidi ya utapeli mpya mjini

Drax001

JF-Expert Member
Aug 22, 2017
439
221
Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu
Screenshot_20231105-113705.png
50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
 

Attachments

  • Screenshot_20231105-113713.png
    Screenshot_20231105-113713.png
    96.1 KB · Views: 9
Mnakuwa na ushamba mwingi sana. Au mnakosa elimu ya msingi. Kutapeliwa ni kukubali kuwa mpumbavu. Mtu humfahamu, huna namna ya kumpata anakuambia nitumie tsh 50,000 unatuma. We una akili kweli? Wacha waendelee kuwala pesa zenu ninyi vilaza.
Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu View attachment 280451050 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
 
Hivi unawezaje kutapeliwa na mtu anaeandika tangazo kama hili, kweli hushtuki kabisa?
Screenshot_20231105_114903_Chrome.jpg

Imalisha.....

M.kopo......

Uku ukilipa......
 
We uliyetoa ela ni K.enge kabisa eti inch 50 laki 6, inch 55 laki 6 na nusu, inch 75 laki 7 na nusu. Narudia tena wewe ni KENGE hizi bei hata ukisamehewa ushuru bandarini na usilipie shipping kwenye meli bado hazipo. Kweli mafala hawatakaa waishe mjini😆😆
 
Hamna kigeni hapo mukuu.. unatumaje pesa afu ujapokea mzigo wako!! Hata ofisi ujui iko wapi.. Sema utandawazi unafanya matapeli kuwa wengi sana.
 
Pole mkuu ila kama bado unahitaji kukopa TV nicheki DM tufanye namna nikupatie kwa arrangement za mkopo nafuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom