Wakati fulani katika kijiji kimoja, mtu mmoja aliwatangazia wanakijiji kwamba angenunua nyani kwa Sh. 10,000.
Wanakijiji, waliona kwamba kulikuwa na nyani wengi karibu. Wakatoka mpaka msituni na kuanza kuwakamata.........Mtu huyo alinunua maelfu kwa Sh. 10,000 na usambazaji ulipoanza...