Mong'oo wa Arusha ambaye ni mtoto wa Askofu Mkuu wa kanisa la Baptisti Tanzania, Arnold Manase amechukua fomu ya kuweka nia kuwania Ubunge Jimbo la Arusha mjini kwa tiketi ya CCM.
Kama kuna Nchi ambayo dunia nzima Siasa zake si tu kwamba ni tamu kuzisikia na kuzitizama bali pia ni ' Komedi ' tosha kutokana na 'Vituko' vyake basi ni za nchini Tanzania. Katika hali isiyokuwa ya Kawaida kabisa Watia nia ya Ubunge Jimbo la Iringa Mjini kutoka CCM, CHADEMA na ACT wameamua...
Mimi si mzawa wa Bukoba ila nazijua vizuri siasa za Bukoba. Kwa sasa hivi CCM haina mtu wa kumtikisa mgombea ubunge wa CHADEMA Ndg. Chief Kalumuna.
Nasema ukweli kabisa bila kuficha, Chief anatakiwa apambanishwe na vichwa vyenye nguvu ya ushawishi kama King James otherwise wanaCCM tujiandae...
Kwa mara ya kwanza ubunge CCM Njombe Mjini wapata watia nia wengi na mchanganyiko toka kada mbalimbali. Sasa wafikia 23. Kazi na uchapakazi wa Magufuli amewavutia watu wengi kuingia kwenye siasa za CCM.
Yupo Mwalongo mbunge mstaafu
Mwalimu Dr. L. Mwalongo
Mr. Mchami diwani CCM mstaafu
Mr...
Serikali ya Awamu ya 5 inajitahidi sana kufanya miradi mikubwa ya kimkakati ndani ya muda mfupi kwa gharama kubwa.
Miradi hii inatosha sana kuiuza Serikali na CCM kwa wananchi kama wawakilishi wake wangekuwa wanamsaidia vizuri Rais kuitangaza na kuifafanua kwa wananchi
Miongoni mwa miradi...
Huyu kamanda ndiye alikuwa Meya wa Manispaa ya Bukoba, uko uzi humu JF ulioonyesha kwamba Bashiru Ally akishirikiana na Waziri wa fedha walishindwa kumshwawishi huyu kamanda kujiuza.
Aliyekuwa Mbunge wa jimbo la Arusha Mjini (Chadema),Godbless Lema ametangaza nia ya kugombea nafasi ya ubunge ndani ya chama hicho baada ya kuchukua fomu makao makuu ya chama hicho na kuahidi ushindi was kishindo.
Akikabidhi fomu hiyo kwa mke wa Lema,Neema Lema baada ya Lema kuwa safarini...
Gari namba MT 0128 Mali ya Jeshi la Magereza ,ikiwa na Wafungwa inatumika kupandisha Bendera za CCM katika nguzo za barabarani hapa Dodoma Mjini Leo 7.07.2020. Jeshi la Magereza limegeuzwa nguvu kazi ya CCM
Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amesema anatengua nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini na kwamba ataendelea kuwatumikia wana Mbeya.
Chalamila amesema baada ya kumsikiliza Rais Magufuli jana kwa tahadhari aliyotoa kwa wateule wanaoomba ruhusa, alimwelewa vizuri na...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba mtumie fursa hii kutufahamisha makada waliotia nia haya majimbo
1. LINDI MJINI
2.MTWARA MJINI.
Hili jimbo nasikia ndo linagombaniwa sana na makada weng kutoka chama tawala, nasikia hadi DED wa Newala kaomba kuachia ngazi...
Watia nia ubunge kigoma mjini mpaka sasa kupitia ACT-WAZALENDO ni Abdul Nondo, Baba Levo. Bado najiuliza Zitto Kabwe atahama jimbo tena au atagombea nao kura za maoni, au hatagombea mwaka huu?
Ndugu yangu alikuja huko akiwa amepangiwa kazi miezi ya hivi karibuni, ajabu tangu Alhamisi hapatikani wala hajamtafuta ndugu yetu yoyote. Nawaomba mlio Mtwara hasa walimu mnisaidie tujue ndugu yetu amekutwa na nini. Naomba mni-PM au mnijulishe kupitia Uzi huu. Shule anayofundisha ni ya sekondari.
Katika hali isiyoeleweka kama ni figisu za mchungaji Msigwa ama la, Mwalimu Andrew Palagio aliyetia nia kugombea ubunge Iringa mjini kwa tiketi ya Chadema amesimamishwa kazi.
Andrew ni mwalimu katika shule ya St Dominic Savio katika manispaa ya Iringa.
Ngoja tuone.
Maendeleo hayana vyama!
Katibu mkuu wa CCM Taifa Dkt. Bashiru Ally anatakiwa kuwa makini katika harakati za kumteua mwakilishi wa CCM katika uchaguzi wa Oktoba mwaka 2020. Anatakiwa kuhakikisha na kumleta Mgombea ambaye atawafaa Wananchi wa babati na siyo mtu anayempenda yeye au anayependwa na chama au wajube wa...
Hii ndio taarifa inayozunguka Mbeya Mjini kwa sasa , watu waliofanya siasa peke yao na kuzunguka nchi nzima kwa miaka mitano bado wanaogopa vikao vya ndani vya Chadema , " chama kilichokufa "
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Madee amesema ingawa hajajiandaa kisaikolojia kugombea Ubunge lakini marafiki zake wanamshawishi agombee. Madee amesema yeye ameishi sana jimbo la Kongwa linaloongozwa na Ndugai.
Naye Dogo janja amesema yuko tayari kuwatumikia Wananchi na kumpongeza Rais...
Wakuu, Habari zenu nyote.
Nimehamishiwa Moro kikazi, bado sijaripoti na vile JF ni jumuiya ya watu wengi naomba kupata msaada wa kufahamu maeneo mazuri na salama ya kuishi kwa mkoa wa Morogoro.
Nina familia hivyo nahitaji maeneo ya mazingira salama kwa vile mda mwingi majukumu yangu...
Heshima kwenu wote.
Sisi wakazi wa kata ya Pongwe jijini Tanga yapata siku 10 sasa hatupati maji kabisa hasa katika maeneo ya Pongwe kusini (Sanawari) maji hayatoki hata tone moja.Hatujapata taarifa yeyote kuhusu tatizo la maji kama hapo nyuma ilivyokuwa na matengenezo nk
Tumeenda kwenye ofisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.