Kwanini hutaki kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

Hali mbaya mno 😂😂😂😂😂
1686169606095.gif
 
Zamani familia zilikuwa na upendo sana mtu unatoka mkoa mmoja unaenda mwingine watu wanakaribishana vizuri tu ..lakin saiv THUBUTU unakuja watu wako busy na kazi zao na pia UMBEA ndio kubwa miaka hii mtu anakuja kukupeleleza zaidi ili akasimulie maisha yako unayoishia mjini..sio wote mjini wamefanikiwa bado watu wengine wanajitafuta sasa wewe hilo hutambui hilo unaenda msema mtu vibaya huko.....ndio maana watu saiv ukiwatafuta mjini fully busy hupati mtu
 
Kwema Wakuu,

Kama kichwa kinavyojieleza, ni sababu gani inayokufanya usitake kuonana na watu wa kijijini kwenu hapa mjini?

Mimi: Kwa sababu mambo yangu hayajakaa sawa. Wewe?
Kwa sababu ya uongo ninaowapiga nikienda kijijini na visuti vyangu na ela ya kusumbua kwa muda nitakaokaa. Sasa tukionana watajua ukweli kuwa nawapiga sound
 
Back
Top Bottom