CCM MBEYA MJINI Na maandalizi ya RAIS wa MABUNGE duniani

Eee lelo

Senior Member
Jan 18, 2021
130
85
Chama Cha mapinduzi chini ya mwenyekiti Ccm wilaya kipo kufanya maandalizi kabambe ya Kumpokea MBUNGE wao kipenzi Daktari.Tulia Ackson ambaye hapo jana amechaguliwa kwa kishindo kuwa RAIS wa umoja wa MABUNGE Duniani (IPU),wana Mbeya na msio Wana Mbeya mnakaribishwa Sana kuungana nasi,tarehe ya itatangazwa rasmi.wakati huu endelea kufua nguo na kung'arisha vitatu vyako kwaajili ya maookezi ya dada wa DUNIA,MBUNGE Mbeya MJINI,SPIKA wa BUNGE la JMT
IMG_20231029_115558_0.jpg
 
Back
Top Bottom