Shinyanga Mjini ni kelele tu za bodaboda zilizotobolewa exhaust

luangalila

JF-Expert Member
Jan 12, 2014
6,325
6,871
Yani imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu.

Ukiaa kidogo maraa paaaaaaa! Ukigeuka tu kidogo tena mara puuuu puuuuu, yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya maamuzi kushindwa kulikemea tabia hii Chafuuu ambayo sasa imekuwa ni sugu haopa Shinyanga.

Na naaamini hata uongozi wa manispaa wanasikia hizi kero za bodaboda ila ni kutokujali tu na kuliona sio jambao la umuhimu.
 
Yann imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu ! ukiaa kidogo maraa PAAAAAAAAAAH!! ukigeuka tu kidogo tena mara PUUU PUU PUUU yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya maamuzi kushindwa kulikemea tabia hii Chafuuu ambayo sasa imekuwa ni sugu haopa Shinyanga.

Yaani hali kama hiyo niliikuta pia Bahati. Mamlaka husika epusheni wananchi na haya makelele.
 
Yann imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu ! ukiaa kidogo maraa PAAAAAAAAAAH!! ukigeuka tu kidogo tena mara PUUU PUU PUUU yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya maamuzi kushindwa kulikemea tabia hii Chafuuu ambayo sasa imekuwa ni sugu haopa Shinyanga.

Na naaamini hata uongozi wa manispaa wanasikia hizi kero za bodaboda ila ni kutokujali tu na kuliona sio jambao la umuhimu.
Umewahi kufiga chuga? Pale ni kiwanda cha hinzo banga jombaa.
 
Yann imekuwa kero kwa baadhi ya wananchi tunao ishi katika huu mji, yaani bodaboda zinatobolewa exoz yaan ni vijana kushindana kupiga vibuyu tu ! ukiaa kidogo maraa PAAAAAAAAAAH!! ukigeuka tu kidogo tena mara PUUU PUU PUUU yaan kiukweli imekuwa ni kero na binafsi nashindwa kuelewa vyombo vyetu vya maamuzi kushindwa kulikemea tabia hii Chafuuu ambayo sasa imekuwa ni sugu haopa Shinyanga.

Na naaamini hata uongozi wa manispaa wanasikia hizi kero za bodaboda ila ni kutokujali tu na kuliona sio jambao la umuhimu.
Kwa kina Ngosha hapo
 
Hili jambo limelalamikiwa sana Manyara, Morogoro na sasa Shinyanga
 
Boda boda ni vichaa waliosahaulika hapa nchini,kwanza Wana mob sykologi ya ajabu mmoja akivaa kata k basi ni wote,mwingine akivaa kishandu basi ni wote,wenye kula nchi wamelalia bomu,ngoja tuone.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom