Mjini Shule kuwa makini

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,305
Bibi mmoja aliyefahamika kama Bi Shida aliingia katika Benki asubuhi moja akiwa na mkoba uliojaa pesa.

Alikuwa anataka kufungua akaunti ya akiba na aliomba kuzungumza na meneja wa benki kwa sababu alikuwa na pesa nyingi.

Baada ya majadiliano marefu (mwishowe, mteja ndiye mwenye haki), mfanyakazi alimpeleka Bibi huyo kwenye ofisi ya meneja.

Meneja wa benki alimuuliza ni kiasi gani angependa kuweka.

Aliweka mkoba wake juu ya meza yake na kumjibu, "Milioni 50"

Meneja alikuwa na hamu ya kutaka kujua na kumuuliza jinsi alivyoweza kupata pesa nyingi hivyo.

Bibi akajibu kwamba alicheza kamari.

Meneja alishangaa na kuuliza, "Kamari ya aina gani?"

Bibi alijibu, "Naweka dau la milioni 5 kuwa korodani zako ni za mraba."

Meneja alianza kucheka na kumwambia Bibi kuwa ilikuwa haiwezekani kushinda kamari kama hiyo.

Bibi huyo hakuonyesha kushangazwa. Alikuwa tu akimtazama meneja na kusema, "Je, ungependa kuchukua dau langu?"

"Bila shaka," alijibu meneja. "Nimekuwekea dau la milioni 5 kwamba korodani zangu si za mraba."

"Sawa" Bibi alijibu, "Lakini kutokana na kiasi cha pesa kilichoweka, ikiwa hautojali ningependa kurudi kesho saa nne asubuhi na wakili wangu kama shahidi."

"Hakuna shida," meneja wa benki alijibu kwa kujiamini.

Usiku meneja alianza kuwa na wasiwasi sana kuhusu dau haliloweka na kisha akaenda kujiangalia kwenye kioo muda mrefu akikagua korodani zake. Akizigeuza huku na kule, kuliangalia tena na tena hadi alipokuwa na hakika kwamba hakuna mtu angeweza kudai kuwa korodani zake ni mraba na kujihakikishia kwamba hakukuwa na njia ambayo angeweza kupoteza pesa yake kesho.

Siku iliyofuata saa nne kamili, Bibi alifika ofisini kwa meneja na wakili wake na kukiri dau la milioni 5 lililotolewa siku moja kabla kuwa korodani za meneja zilikuwa za mraba.

Meneja alithibitisha kwamba dau hilo lilikuwa sawa na lile lililotolewa siku iliyopita.

Kisha Bibi akamwomba meneja kuvua suruali yake ili yeye na wakili wake waone vizuri.

Meneja alifurahi kufanya hivyo. Bibi alikaribia ili aone vizuri na kumuuliza meneja ikiwa angeweza kuzigusa.

"Bila shaka," Meneja alisema, "Kwa kiasi cha pesa ulichoweka, unapaswa kuwa na uhakika wa asilimia 100."

Bibi alifanya hivyo huku anatabasamu kidogo.

Ghafla meneja alimuona wakili akipiga kichwa chake ukutani. Alimuuliza Bibi huyo kwa nini alikuwa akifanya hivyo.

Bibi alijibu, 'Aaah, labda ni kwa sababu nilimuwekea dau la milioni 30 kwamba ikifika saa nne asubuhi leo nitakuwa nashika korodani za meneja wa benki.

Mwisho.

20240128_191506.jpg


Credit - Lil Dee
 
Shida iko wapi kijana? Au ndio uelewa finyu?

Inatokea wapi mjini london,hiyo ya malkia?
Kaka maneno yanayo kuja kwenye keyboard yangu.
๐Ÿ‘‰Yana tokana na kuletewa na huduma ya simu- so last time nili Google kitu hicho.
๐Ÿ‘‰So badala ya kuandika mwambia, yenyewe ika confirm mambia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom