Nimefika Tabora, nawaambia wanipeleke mjini wanasema ndio hapa tulipo!

Execute

JF-Expert Member
Sep 21, 2022
3,000
7,285
Nini kiliupata huu mkoa? Nimewahi kufika Nzega na Igunga nikajua Tabora mjini patakuwa bora zaidi ya kule nimeshangaa.

Yaani mjini center nyumba ni za kizamani, hakuna kabisa modern buildings. Katikati ya mji nyumba zina mabati yameoza.
 
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo

Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
 
Chato ni Punda ndio daladala Ndugu yangu
 
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo

Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Aisee!

Ulionekana "mshamba" sana.
 
Nililetaga Uzi wangu kuhusu biashara ya spare nahisi mwaka jana,

nilienda kuongea na rafiki yangu akanishauri nifungue vitu vya urembo wa magari, Kwa kweli nilianza kwa ugumu sana nikiwa bado sielewi vitu vingi.

Mkoa wa Tabora ni mkoa mkubwa sana, changamoto Kwanini bado maendeleo ni machache ni sababu ya miundombinu ilikuwa mibovu, kwa sasa kidogo panaanza kufunguka.

Nilileta Uzi wa makontena ya kuhifadhia ndizi bado sikupata muitikio mzuri sana, japo kuna mtu nipo naongea nae kwa sasa ananielekeza baadhi ya mambo.

Ukifika Katavi, Kahama, Geita utaona kuna fursa nyingi sana.

Binafsi nililemaa sana kukaa kariakoo, lakini hivi sasa kila siku akili inapanuka kukutana na watu tofauti tofauti na fursa ni nyingi.

Karibu mkuu.
 
Mi nlifika shinyanga nikawauliza sehem flan nafikaje wakaniambia kapande daladala zile pale , nikiangalia huko wanaponionyesha daladala sion hata moja hatukuelewana karibu dakika 3 nawauliza tu mbona sion wao wananiambia si hizo hapo

Kumbe daladala kwao ni baiskeli mi nilikua naangalia nikiamini ntaona gari
Hata Tabora Urambo ni hivi hivi
 
Back
Top Bottom