mjini

Mjini is a settlement in Kenya's Central Province.

View More On Wikipedia.org
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Zalisha funza, ni bonge la dili hapa mjini

    SOMO UFUGAJI WA FUNZA funza ni nini? Funza hawa ni moja tu kati ya hatua za ukuaji za wadudu walukao, watu wengi hufikili hao funza hubaki kuwa funza mpaka mwisho jambo ambalo si la kweli hawa funza ni larval stage ya ukuaji wa wadudu ambapo wadudu hao wapepelukao hutua na kutaga mayai yao...
  2. Webabu

    JamiiForums Tanzania Colombia kufungua ubalozi wake Palestina mjini Ramallah

    Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah. Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Iringa mjini baadhi ya Adhana za misikiti zimezidi kelele, sauti iwe ya chini isiwe kero

    Matumizi ya Speaker ina mipaka yake. Ukizidisha sauti inakuwa sio adhana bali ni kero kwa wananchi, ambapo sio wote ni waislamu. Dini yetu inasisitiza sana kuchunga haki za majirani na kwenye hili misikiti hawajapewa msamaha. Ifike mahali waendesha hizo misikiti wawe na aibu maana hakuna haja...
  4. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika kilimo cha mboga mboga maeneo ya mjini

    Wakuu nahitaji kulima mboga mboga hasa chinese na tembele kwenye uwanja wangu wenye ukubwa wa nusu eka, nimezunguusha fensi na nimechimba kisima kwa ajili ya maji ya kumwagilia. Nahitaji kuelimishwa jinsi ya kuandaa shamba au kitalu, aina ya mbegu au miche na aina ya mbolea inayofaa. Pia ni...
  5. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania CHADEMA muonyeni kada wenu Steven Ngassa aache ujanjaujanja wa mjini

    Hii ni salamu kwa viongozi wa Chama cha Drmokrasia na Maendeleo (Chadema) mjini Moshi kwamba muonyeni kada wenu na diwani mstaafu wa Kata ya Kiusa, Steven Ngassa aache ujanjaunja wa mjini atafute kazi za kufanya vinginevyo tutamuumbua mchana peupe. Ngassa amekuwa akifanya mambo ambayo...
  6. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Mapenzi kijijini na mjini

    Mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira.... Mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na mjini, ambapo mapenzi hufanyika nyakati zozote tu, hususani mchana, kutokana na upatikanaji rahisi wa...
  7. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Hospitali gani nzuri ya kutahiri watoto wa kiume hapa mjini Dar? Jina la Dokta Tafadhali!

    Pia kuna watu wananishauri eti niwatahiri kienyeji kwamba ndio watakaa vizuri zaidi but it doesn't make sense with me. Mimi nilitahiriwa Muhimbili mwaka 1989 nikiwa nna miaka minne. Watoto wangu nimechelewa sana kuwatahiri. Mmoja miaka 9 (std.4) na mwingine miaka 7( std.2). Nilichelewa...
  8. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kwa dunia ya sasa mke wa kweli yupo kijijini au mjini ?

    Eti wakuu wanawake wa mjini wa kuunga unga kelele nyingi na njaa ya kutisha. Mjini bwana unapiganiwa hatari mwanamme mmoja inagombaniwa na wanawake wa nne maisha ni magumu sana. Ukiwa mtenda mabaya maisha yatakuwa mabaya.
  9. G

    JamiiForums Tanzania Tuliozaliwa na kukulia mjini bila kupajua / kutembelea vijijini kwetu tukutane hapa, una majuto yoyote ?

    Nimezaliwa mjini, nimekulia mjini maisha yote hadi sasa na mimi nimekuwa mzazi sijawahi kukijua wala kutembelea kijiji cha mzee. Kitu nachojua pekee ni kwamba mzee ni wa huko Ruvuma, maeneo ya Tunduru. Kuna kipindi huwa natamani walau ningekuwa naweza kwenda kusalimia na kutalii huko kijijini...
  10. Ziroseventytwo

    JamiiForums Tanzania Mafuriko makubwa mjini Ifakara leo Mei 5

    Hali ni mbaya. Maji ni mengi mji wa Ifakara kwa 80% upo kwenye maji. Hasara ni kubwa haswa kwa wafanya biashara za hardware. Cement na gipsam zimeharibika kwa kiwango kikubwa. Kuna baadhi ya familia zinahitaji msaada. Mtuombee. Pia soma:Serikali: Watu 33 Wamefariki Kutokana na Mafuriko na...
  11. Mbwa dume

    JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli mchungu! Wanawake wa kijijini wana ladha ya asili

    Habari zenu wadau wa jukwaa hili pendwa. Natumaini mko swafi na mnaendelea kuupiga mwingi. Bila kupoteza muda niende kwenye mada Kuna kautafiti binafsi nimekafanya ili kuona tofauti kati ya mbususu pori na hawa madada wa mjini a.k.a. Slay queens. Nilichogundua mabinti wa kijijini (mbususu...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yoweri Museveni awapa makavu wadau wa maendeleo katika mkutano wa IDA mjini Nairobi

    29 April 2024 Nairobi, Kenya Mkutano huo ulioanza tarehe 29 April 2024 na kuhutubiwa na viongozi wa kiafrika wakiwemo rais Samia Suluhu Hassan wa Tanzania, rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda , William S. Ruto wa Kenya. Mkutano huo ulihudhuriwa na wakuu wa nchi 17 na pia maafisa wandamizi...
  13. Kazanazo

    JamiiForums Tanzania Hivi wadada wa mjini mnawezaje

    Unakuta mdada ana mahusiano ya kimapenzi na wanaume zaidi ya kumi na wote anawahudumia na anawapiga vizinga na wanamuamini hivi mnawezaje? Unakuta msela anajiaminisha kabisa kuwa fulan ni manzi yake wakati kwenye ground haipo ivo cjui mnawezaje kuwaaminisha hao wote hadi wakuamini? NB, am boy...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Huu hapa ni Mkutano wa Tundu Lissu Mjini Singida

    Tumeona ni vema kuweka matukio machache ya Mkutano huu uliofanyika Jana Mjini Singida , ambao ulihutubiwa na Tundu Lissu baada ya Maandamano Makubwa ya kupinga Ugumu wa Maisha na sheria mbovu za Uchaguzi . Tunaomba radhi kwa kuchelewesha Uhondo huu , hii ni kwa sababu ya Uwingi wa Habari za...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Unajiita mtoto wa mjini unakula milo mitatu na kuvaa hujui

    Mtoto wa mjini kipaumbele Cha kwanza kuvaa. Huwezi kuwa mtoto wa mjini unaendekeza kula kuliko kuwa nadhifu ,unafeli mchana kweupe.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Trend mpya mjini kwanini Matairi yalitumika yananunua sana

    Wakuu embu tujuzane matairi yaliyotumika hawa wanaonunua wanaenda kufanyia nini? Maana hapa nimepewa ofa nisijeachia mali kwa bei rahisi.
  17. James Hadley Chase

    JamiiForums Tanzania Yajue ya Tanga Mjini na maajabu yake

    1 - Saa 3 usiku hakuna daladala barabarani. 2- Saa 4 usiku huoni watu nje na usiulize kwanini. Jiongeze bro! 3- Ugali wa 1500 unapata mboga 7, usisahau uono (dagaa mchele) buree. 4- Ndio jiji lenye baiskeli za kukodi kama bodaboda na kiti chenye sponji. 5- Disco wanapiga taarabu. 6- Hakuna...
  18. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mavunde Kuwawezesha Kiuchumi Wajane Jimboni Dodoma Mjini

    MBUNGE MAVUNDE KUWAWEZESHA KIUCHUMI WAJANE JIMBONI DODOMA MJINI -Amshukuru Rais Dkt. Samia kwa kurejesha mikopo ya 10% -Aileta Dodoma Taasisi ya Fedha inayokopesha wajane bila riba -Awataka kuepuka mikopo ya kausha damu -Wajane kupewa mafunzo ya ujasiriamali Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Pisi kali za Mjini unalisha na kuivalisha lakini bado inakuona we ni Mshamba tu.

    Nawasashuri tu vijana mnaojitafuta msidhani kwamba ukimpa kila kitu Pisi kali ya mjini ndio inakukubali. Ikikaa pembeni na mashoga zake inakusema we ni Mshamba tu. Sasa unakuwaje mshamba wakati wewe ndio unamlipia Kula, kulala na hadi kuvaa? Tembea uone vichekesho. Fanya mambo yako ewe...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Nahitaji frame ndogo mjini mwanza

    Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
Back
Top Bottom