Tangu nilipwe mshahara wa December 2023, sijalipwa hadi leo, nipeni mbinu za kuishi mjini na mke na watoto wanne

Myebusi Mweusi

JF-Expert Member
Jan 23, 2022
668
1,505
Kufanya maongezi marefu yafupike. Nilipokea mshahara wangu wa December 900,000. Baada ya hapo kampuni imekuwa ikipitia changamoto mbalimbali ikiwa ni pamoja na mkurugenzi kuumwa.

Maradhi ya mkurugenzi yanasababisha hela karibu yote iende kwenye matibabu.

Mshahara wa January sijapewa na wa huu mwezi wa pili sidhani kama nitaambulia chochote, maana boss hali imegoma kukaa sawa.

Walimu na watumishi wa halmashauri naombeni mawazo yenu mliwezaje kukaa na familia miezi mitatu bila kupokea kitu chochote?
 
Uwe unaipeleka familia wakati bosi anapopelekewa familia mle msosi wake pamoja.
 
Back
Top Bottom