1. Mradi wa mwendokasi Dar. Huku mabasi hayafanyiwi maintainance, yanaharibika watu hawajali, kila siku watu zaidi ya laki 1 wanatumia mabasi haya na fedha zinakusanywa na mamlaka husika Ila kila siku mradi uko hovyo!
Vituo vyake vinazidi kuchakaa na mabasi yanazidi kuchakaa.
Haieleweki...
Habari ya Jumapili waungwana!
Nimekuwa nikitafakari saana na ukisoma baadhi ya maandiko ya afya, uchumi na wanasaikolojia wote wanazungumzia LIFE EXPECTANCY YA MWANAUME YAANI kiwango cha muda wa kuishi wanaume ni kidogo duuu!!
Ndipo nikarejea katika uhalisia, babu alishakufa bibi yupo, mwalimu...
Nafikiri sote tunakumbuka vyema kuna mjadala wa Elimu uliibuka mwaka jana na ulianza kabla ya hapo ila nafikiri uliimarika mwaka jana.
Hoja kuu ilikuwa ni Elimu yetu ya sasa haimnufaishi mwanafunzi na hata mzazi au jamii ilomsomesha. Kulikuwa na makongamano kadhaa. Lile la Mlimani City na...
Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii.
Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:-
1.Mkuu wa jeshi la polisi asiteuliwe na raisi pafanyike usaili
2.Kuwa waziri sio lazima uwe mbunge...
Nakumbuka enzi za Pius Msekwa, Sita na hata Makinda kidogo kulikuwa na mjadala mkali na mpambano wa fikra kuhusu qualities za mtu wa kushika Nafasi hii nyeti.
Ila Kwa miaka ya hivi Karibuni kiti Cha spika kimekuwa kama mchakato wa kumpata mwenyekiti wa Kijiji na siyo vijiji vyote.
Spika...
Tumesikia malalamiko memgi juu ya baraza jipya la mawaziri la Rais Samia.
Kuna malalamiko ya kukosekana usawa wa jinsia, mawazir wanawake ni 36% na manaibu ni 20 tu
Kuna malalamiko ya kanda fulani kupendelewa, kama mkoa wa Pwani kuwa na mawaziri (na maanaibu) 5
Kuna malalamiko kuwa walioachwa...
Ye yote anayetafakari kwa kina, aliye na elimu ya vitu na uelewa wa mambo hawezi kuzingatia akilini mwake kwamba mtu wa kwanza alikuwa na rangi gani; au alianza kuishi eneo au bara gani.
Rangi ya mtu; vyovyote inavyoitwa: mweusi au mweupe, si kitu chenye nafasi katika maana yenyewe ya mtu...
Takribani siku kadhaa mitandao ya jamii imegubikwa na hoja ya utata wa akiba ya Taifa (6,253B). Hoja kubwa si kiasi si thamani ya kiasi bali neno Bilioni katika dollar ya kimarekani badala ya Milioni. Kiasi ni kikubwa kikilinganishwa na Milioni za mikopo, watu wanahoji kwanini kukopa ikiwa pesa...
MUZIKI SIO HARAMU; INATEGEMEA NA UIMBAJI WAKE
Anaandika Robert Heriel.
Ipo kasumba Kwa baadhi ya watu wenye Elimu ndogo ya Kidini na kiroho isemayo muziki mi haramu. Dhana hii ni potofu na upotofu wake unatokana na ufinyu wa elimu zote mbili yaani elimu Dunia na elimu Akhera.
Muziki sio...
Zoom Saturday
Watch Tanzania inakualika kushiriki Mkutano wa Zoom utakaofanyika Disemba 18, 2021 (Jumamosi) kuanzia saa 10 kamili hadi 12:30 jioni.
Mada: Mjadala wa Kitaifa juu ya ukuaji wa Sekta ya Madini na mchango wake katika maendeleo ya Wananchi
Muda ukifika utaweza kujiunga na kushiriki...
MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV
"Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius Nyerere,alikuwa na uthubutu,Mimi mbele yangu nimeona akikataa hela za wenye hela zao akiwaambia sina...
KUELEKEA MWAKA 2030 KATIBA UWE NI MJADALA WA KITAIFA.
Ni mara chache sisi WanaCCM kujitokeza kuandika haya hadharani hasa Kwa kuwa misingi ya Chama chetu ni kusemana ndani. Lakini nineona hili leo niliseme hadharani ili kumuunga Mhe Rais kuendelea kulijenga Taifa.
Ninatambua Makada wengi...
Nimealikwa na Star ⭐️ TV nimekubali kwa sharti moja kwamba Mjadala ujikite katika kujenga na kuweka mbele Maslahi Mapana ya Nchi yetu!
NB: Ukitaka kujua NB ya leo fuatilia Star ⭐️ TV saa 3:30 Usiku na tutakuwa hewani pia! Mjuze na mwingine! https://t.co/HOoJjoCh4K
Baadhi ya Wachangiaji ndani ya JamiiForums wamezua Mjadala kuhusu 'Homeworks' nyingi wanazopewa Watoto toka Shuleni hasa kipindi cha likizo
Ikiwa wewe ni Mzazi, Mlezi au Mwalimu ungana nasi katika Mjadala huu utakaofanyika leo Desemba 2, 2021 kupitia Clubhouse.
Kushiriki mjadala huu bonyeza...
Taarifa binafsi ni taarifa yoyote inayokutambulisha, iwe inahusiana na Maisha yako binafsi, Kitaaluma, au ya umma (Mfano: Majina, Namba za Simu, Anwani n.k)
Ni mara ngapi umeshakutana na taarifa za Watu wengine katika Mazingira ambayo hukupaswa kukutana nazo? Kama ni mara nyingi, basi huenda...
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi.
Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna...
Utoaji wa Chanjo ya #COVID19 umekuwa ukihamasishwa kona zote za Dunia huku baadhi ya Nchi zikichukua hatua za kuweka Vikwazo kwa Watu ambao hawajapata Chanjo kurudi Maofisini, kusafiri au kushiriki shughuli za kijamii
Wasiochanja wana sababu mbalimbali ambazo zinawapelekea kusitasita katika...
Mjadala wa leo katika Club House ya Jamiiforums unahoji "Nini kifanyikeili nchi ipate tija stahiki kutokana na misaada inayopata kutoka nchi za nje.
Kujiunga na mjadala huu tafadhali gusa link hii hapa chini
https://www.clubhouse.com/join/jamiiforums/LYWyFrn2/PQDz7y5w
Mjadala umeanza...
Ungana nasi leo 29, Octoba 2021, Saa 12 Jioni usikilize na kuchangia kwenye mjadala unaohusu Usonji/ kupitia Clubhouse ya Jamii Forims.
Kama una maswali, maoni au mapendekezo kuhusu Usonji unaweza kuyaweka hapa kwenye jukwaa na yatawasilishwa au unaweza kuja kuuliza mojamoja kwenye mjadala na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.