Mjadala wa Katiba Mpya ni ajenda ya Wanaotaka Madaraka, umekosa ushawishi

Anna Nkya

Member
Oct 21, 2021
46
150
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi.

Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna mahali ambapo utakipeleka.

Pia, sehemu kubwa ya mambo wanayoweka mbele wanaposema wanataka Katiba mpya yanahusu wao kukamata nchi. Maslahi, uchu na kiu ya kisiasa vimetangulizwa kwenye hili.

Kwa ujumla mjadala wa Katiba mpya ni mjadalka wa wanasiasa, na watu wachache hasa kupitia Twitter. Wanaliendesha jambo hilo katika namna ya siasa kama kusaka madaraka tu. Wamejaa matusi, kejeli na kukosa ustaarabu.

Ndio maana unabaki mtandaoni tu, mtaani husikii kitu hizo labda kwa wanachama wachache wa Chadema

Kama alivyosema Rais Samia, suala la Katiba Mpya lapaswa kusubiri. UZURI LITASUBIRI MPAKA HAPO RAIS ATAKAPOONA LINAFAA
 
Earthmover

JF-Expert Member
Sep 28, 2012
18,722
2,000
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi...
Pole sana haumo kwenye UTEUZI
 
Sir curiosity

Senior Member
Oct 2, 2021
124
225
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi.

Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna mahali ambapo utakipeleka.

Pia, sehemu kubwa ya mambo wanayoweka mbele wanaposema wanataka Katiba mpya yanahusu wao kukamata nchi. Maslahi, uchu na kiu ya kisiasa vimetangulizwa kwenye hili.

Kwa ujumla mjadala wa Katiba mpya ni mjadalka wa wanasiasa, na watu wachache hasa kupitia Twitter. Wanaliendesha jambo hilo katika namna ya siasa kama kusaka madaraka tu. Wamejaa matusi, kejeli na kukosa ustaarabu.

Ndio maana unabaki mtandaoni tu, mtaani husikii kitu hizo labda kwa wanachama wachache wa Chadema

Kama alivyosema Rais Samia, suala la Katiba Mpya lapaswa kusubiri. UZURI LITASUBIRI MPAKA HAPO RAIS ATAKAPOONA LINAFAA
Ishu ya katiba MPYA... haina uhusiano wa moja kwa moja. na chadema Kusaka dola, bali ni harakati za kuleta chachu ya mabadiliko katka Taifa.
Msingi mkubwa wa kudai katba mpya ni hitaji la wananchi..,
 
MkoPoKa

JF-Expert Member
Oct 23, 2012
516
500
Walianza na kile walichokiita Kongamano la Katiba. Kongamano lilikuwa linatawaliwa na bendera za CHADEMA, na kuonesha kwamab ni movement ya CHAMA wala haina uhalali na mashiko mbele ya Watanzania wengi.

Halafu unakusanya watu, wanatoa maoni juu ya nini kiandikwe kwenye Katiba Mpya wakati huna mahali ambapo utakipeleka.

Pia, sehemu kubwa ya mambo wanayoweka mbele wanaposema wanataka Katiba mpya yanahusu wao kukamata nchi. Maslahi, uchu na kiu ya kisiasa vimetangulizwa kwenye hili.

Kwa ujumla mjadala wa Katiba mpya ni mjadalka wa wanasiasa, na watu wachache hasa kupitia Twitter. Wanaliendesha jambo hilo katika namna ya siasa kama kusaka madaraka tu. Wamejaa matusi, kejeli na kukosa ustaarabu.

Ndio maana unabaki mtandaoni tu, mtaani husikii kitu hizo labda kwa wanachama wachache wa Chadema

Kama alivyosema Rais Samia, suala la Katiba Mpya lapaswa kusubiri. UZURI LITASUBIRI MPAKA HAPO RAIS ATAKAPOONA LINAFAA
Hoja mfu sana hii. Real katiba inamahusiani na Madaraka!? Je uliyopo haina mahusiano na Kundi likilohodhi hayo Madaraka mnayohofia kuyapoteza kama takwa la katiba yenye haki ikisimikwa!?

Nimeishia Kukusoma na kukuacha uendelee na Ujinga uliopandikizwa kichwani mwako.

Wanao na kizazi chako kitakombolewa na walio chagua njia ya haki.
 
Godo

JF-Expert Member
Apr 11, 2017
489
1,000
Mpaka sasa mwananchi haoni shida iliyopo kwenye katiba iliyopo na faida ya katiba mpya na kinachoshangaza ni mchakato wa cdm pekee na wanatumia nguvu nyingi mpaka wananchi tunapata mashaka sababu kuna vitu vinatafutwa vikiwemo nafasi za uongozi kama ukuu wa mkoa na wilaya kwamba hao watu wapigiwe kura suala la msingi kama wananchi tumechagua Raisi kwa kura na yeye akapanga safu ya watu wa kumsaidia majukumu ya kutimiza ahadi zake na ni watanzania wenzetu kwani shida iko sapi,pili kwenye kudai katiba mpya kuna watu wanajikomba tu kwa cdm nawashangaa hao maaskofu akina Mwama na wanasiasa kama Kabwe na James ni dhahiri kwamba kwenye msafara wa mamba na ke.... nao wamo.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom