mjadala

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    JamiiForums Tanzania TCRA yadai Clubhouse ilipotea kwasababu ya Kiufundi, sasa ipo hewani

    Siku moja tangu utokee mkwamo wa upatikanaji wa mtandao wa Clubhouse nchini, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema haikuufungia bali kulikuwa na changamoto za kiufundi, lakini umesharejea. Mtandao huo ambao watu huutumia kuwasiliana kwa sauti, kufanya mikutano na mijadala mbalimbali...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe yuko wapi mjadala wa kitaifa wa Mfumko wa Bei na majibu ya Mwigulu?

    Zitto Kabwe ni moja ya wanasiasa wachambuzi wazuri wa Uchumi, kwenye hoja inayotikisa taifa kwa sasa ni Mfumko wa Bei za bidhaa na ugumu wa maisha hadi watu kushindia kukoroga uji kwa mujibu Dk Bashiru kwa kushindwa kununua unga wa ugali. Jambo la kusikitisha mjadala huu mpana unaogusa masilahi...
  3. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Hoja za Tundu Lissu zazua mjadala Bungeni. Ni hoja ya mfumuko wa bei na njaa

    Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise Pascal waliwaza nini na kwanini Walifikiria hivyo ndivyo kwenye siasa za Tanzania na amsha amsha...
  4. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini kifanyike kuzuia utakatishaji pesa za madawa ya kulevya na ufisadi kwenye taasisi holela za kidini?

    (Kisheria sadaka hailipiwi kodi, jina la mtoaji sadaka na kiwango cha sadaka ni siri), [Toa sadaka, kwa kidogo au hata KIKUBWA] , mwenye umaarufu zaidi na watu wengi zaidi ndie anaweza kutakatisha pesa nyingi zaidi bila kuibua maswali mengi. ========================== Utakatishaji pesa ni nini...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa mjadala wa utekelezaji wa mradi wa uimarishaji ya miliki ya ardhi(land tenure improvement program)

    MKUTANO WA MJADALA WA UTEKELEZAJI WA MRADI WA UHIMALISHAJI YA MILIKI YA ARDHI (LAND TENURE IMPROVEMENT PROGRAM) Tumefungua mkutano wa mjadala wa Utekelezaji wa Mradi wa uhimalishaji Salama ya Miliki za Ardhi yaani Land Tenure Improvement Program. Mradi huu unakwenda kupima, na kutambua Vipande...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro wa KKKT Kijitonyama apewa likizo ya siku 60 na kutakiwa kuripoti Makao Makuu

    Picha: Mchungaji Eliona Kimaro Semina iliyokuwa imeanza katika usharika wa KKKT Kijitonyama ikiongozwa na Rev Dr. Eliona Kimaro imelazimika kusimama kufuatia barua aliyopewa ya likizo ya siku 60 na kupelekea kushindwa kuendelea na semina hiyo. Mchungaji Kimaro amesema anatumia fursa hiyo...
  7. Mystery

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana EATV kwa kuanzisha kipindi bora kabisa cha mjadala wa wazi

    Kimeanzishwa kipindi kipya Cha mjadala katika Televisheni ya EATV, ambacho Kwa mara ya kwanza kilirushwa Jana Jumanne, tarehe 10/02/2023 chenye mada iitwayo Je Siasa safi zinawezekana nchini Tanzania? Wageni waalikwa katika kipindi hicho walikuwa, mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema, John Heche na...
  8. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere liliuza mafuta ya taa pekee au mafuta ya taa na Coca Cola?

    UBISHI MKUBWA: DUKA LA MAFUTA YA TAA LA MAMA MARIA LILIUZA MAFUTA YA TAA AU MAFUTA YA TAA NA COCA-COLA? Pamekuwa na ubishi mkubwa kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere katika moja ya mitandao ya kijamii kuhusu duka la mafuta ya taa la Mama Maria Nyerere. Ubishi uko katika bidhaa...
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Roadmap2023 Kwa Vijana: Wapuuze Wanawake yaani Usiwazingatie!

    ROADMAP2023 KWA VIJANA: WAPUUZE WANAWAKE YAANI USIWAZINGATIE! Anaandika Robert Heriel Kuhani. Hili ndio andiko ninalofungulia nalo Mwaka 2023. Ni Mahususi Kwa Vijana walio Chini ya miaka 40. Hii ndio Roadmap yenu Vijana. Pitieni humohumo. Mkitoka mtajijua wenyewe. Ninapenda kuwausia Vijana...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huenda leo ndiyo ukawa mwisho wa Mjadala wa Feitoto kwani anarejea rasmi Yanga SC

    Mama kapigiwa sana Simu (siyo za Vitisho) na Watu anaowaheshimu na wenye Nyadhifa zao na wale waliowahi kuwa nazo nchini (wenye Mapenzi mema) na Yanga SC ili amsihi Mwanae abadili Maamuzi na hatimaye Nguvu ya Mama kwa Mtoto imefanya Kazi. Kuanzia leo Feitoto ataomba Radhi kwa Uongozi wa Yanga...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mjadala wa nani zaidi kati ya Messi na CR7 wafungwa rasmi kibabe: Inahitaji mtu awe na kinasaba cha ubishi kuendeleza mjadala huo!

    Mechi ya jana ya fainali kati ya Argentina na Ufaransa pamoja na kutoa jibu ni nani atakayetwaa kombe la dunia mwaka huu, ilitoa jibu pia ni nani zaidi kati ya Messi na Christiano Ronaldo. Nikiri kwamba mimi ni timu CR7 lakini nimenyoosha mikono!! Messi ni zaidi ya kuwa zaidi! Wenye vinasaba...
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Faini ya Tsh. Bilioni 1 dhidi ya Mgodi wa Williamson Diamond yazua mjadala kwa wadau wa Madini

    Inawezekana kabisa Baraza la Kitaifa la Usimamizi wa Mazingira (Nemc) lina sababu za msingi sana za kuipiga faini ya Tsh. Bilioni 1 (kama dola 434,782.6 kampuni ya Williamson Diamond Limited (WDL), lakini wanamazingira wameonesha wasiwasi kuhusu uamuzi huo. Clay Mwaifwani, mratibu wa mradi...
  13. IamBrianLeeSnr

    JamiiForums Tanzania Prof. Mkenda: Tuko tayari kwa mjadala wa kitaifa kuhusu Mapendekezo ya Sera ya Elimu na Mitaala

    Mapitio ya Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 na Mitaala ya Elimu Msingi yamekamilika na yanasubiri mchakato wa ndani ya Serikali ili kupata ridhaa ya rasimu zilizoandaliwa kupelekwa kwa wadau kwa mjadala wa kitaifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Profesa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme vs Mjadala wa Bashiru haumsaidii mnyonge

    Habari kuna mijadala mingi inaendelea ambayo haina faida kwa mwananchi Mnyonge hasa kuhusu Bashiru, Tuna tatizo kubwa sana la umeme,Kimara siku ya pili tuko gizani kira kitu kimelala,wahusika wafuate walau zamu ya mgao wa kimyakimya.hayo ya Bashiru sizani kama yanatusaidia.
  15. Lusungo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tufufulie mjadala wa EPA

    Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA. Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au kutoridhia zaidi sana naona tuliongozwa na ushabiki kuliko facts. Ni vizuri sasa tufanye review ya...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Dkt. Bashiru kweli kajilipua au lengo ni kufunika mjadala wa mgao wa umeme unaendelea nchini?

    Mgao wa umeme ni tatizo kubwa na linalogusa karibu kila mtu hivyo kisiasa ni jambo la hatari sana kwa CCM. Sasa kuibuka kwa Dr. Bashiru na matamshi yake yanayoonekana kumlenga Bi. Mkubwa kipindi hiki cha mgao, lengo ni kuhamisha attention ya watu kutoka kwenye mgao wa umeme waanze kujadili...
  17. balimar

    JamiiForums Tanzania Mjadala Kama wa Kitaalamu lakini hauna Utaalamu

    Ukisikiliza hoja hapa unaweza ukachoka mwenyewe Yaan hoja hapa ni "wastani" na uhalali wale wa kutumika kwenye data zote (generalisation) Maana yake uchukue wastani wa JUMLA iliyogawanya kwa idadi ya items kadhaa halafu huo wastani unautaja kwa kila item inahitaji akili za kihisabati tu...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Hakuna tena mjadala kwamba Jon Jones ndie baba lao wa kupigana ufc, Wengine umaarufu unawabeba

    Achana na kina usman, mac gregor au kina Israel adesanya alietembezewa kichapo na Alex kwa mara ya tatu mfululizo. Hili jamaa la kuitwa Jon Jones ni habari nyingine kabisa, kapoteza pambano moja tu ambalo alimtembezea sana kipigo mpinzani na kumpiga kipepsi side cut cha pua ndio akawa...
  19. Mayor Quimby

    JamiiForums Tanzania Five chapter za social science PHD thesis huu mjadala kweli

    Yaani mtu uliesoma mpaka A level haya masomo ya biashara yasitaka hesabu au social science ukafunzwa jinsi ya kufanya research mtu mwenye Phd ya hizo fields anakutisha kweli. Kiwango cha elimu ya watanzania kitakuwa duni kweli. Surely if you know how to do research tayght from A level provided...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Mjadala: Forex na betting kipi kigumu?

    Wakuu, Nawakaribisha kujadili hili. Kati ya forex trading na betting kipi kirahisi au kipi waweza sema unaweza jivunia. Binafsi kutabiri outcome ktk forex ni rahisi kuliko kwa betting. Risk ya betting ni 100pecnt ya mtaji wako or stake, ila forex unaweza limit kiasi kadhaa. Betting ina...
Back
Top Bottom