UTV: Mjadala miaka 60 ya uhuru wa Tanzania

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,860
MJADALA MIAKA 60 YA UHURU WA TANZANIA,UTV

"Namuona Rais John Magufuli kama Mwalimu Julius Nyerere wa pili,kwa nini nasema hivi kwa sababu alikuwa na kila kitu alichokuwa nacho Mwalimu Julius Nyerere,alikuwa na uthubutu,Mimi mbele yangu nimeona akikataa hela za wenye hela zao akiwaambia sina shida na hela zenu,alikuwa Jasiri,Moyo wake wote aliuweka kuwatumikia Watanzania"-Dkt Slaa@Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.

"Rais John Magufuli alikuwa mwanafunzi mzuri wa waasisi wa bara letu la Afrika,aliishi matarajio wa waasisi wetu,alijua maslahi ya Mwafrika na Mtanzania,Rais Magufuli ametuachia Legacy"- Dkt Bana@Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.

"Rais John Pombe Magufuli alibeba matarajio na mategemeo yale tuliyoyategemea na tuliyoyatarajia baada ya Tanzania kupata Uhuru,kwa nini tulipigania kupata uhuru? watu walikuwa wamechoka kama tulivyoona kwenye Uchaguzi wa Mwaka 2015 ambapo Chadema walikuja na slogan ya Movement for Change na CCM nao wakaja na slogan yao Magufuli For Change"- Mh Shibuda@Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.
 
"Ninukuu alichokisema Mzee Mwinyi,kwa miaka thelathini sisi watatu tulichoshindwa kukifanya,Rais John Magufuli alikifanya kwa miaka yake mitano"-Dkt Slaa@ Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.
 
Unamzungumzia magufuli huyu huyu laanatullah aliyeua mamia ya watanzania kwa chuki za kisiasa au kuna mwingine mkuu?
 
Hao wazee waliofaidika na rushwa za Magufuli ndio wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa?! Wanadhani sisi hatujui upikaji wa data wa Magufuli, na deni alilotuachia, achia siasa za kikatili alizoendesha hapa nchini? Wanaamini sisi tunasubiri hao wazee watueleze ukweli kuhusu nchi hii?
 
"Ninukuu alichokisema Mzee Mwinyi,kwa miaka thelathini sisi watatu tulichoshindwa kukifanya,Rais John Magufuli alikifanya kwa miaka yake mitano"-Dkt Slaa@ Miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania.
Yaani maisha ya miaka 1977 mpaka 1990 ndiyo ambayo mnataka tuishi,, yaani hamuangalii alama za nyakati,, tupo kwenye kizazi cha ubepari nyie mnatupeleka ujamaa
 
Back
Top Bottom