Mjadala: Msemaji 'Huyu' Huwa anaenda maliwato kushangilia?

kinje ketile

JF-Expert Member
Dec 12, 2015
4,297
8,294
Inaelezwa kuwa Ushabiki Wa hizi Klabu kubwa nchini ni Kama ngozi au Kabila la Mtu.Huwezi kubadili Kabila lako au asili Ya Ngozi Ya Mwili. Sasa Msemaji wetu inaelezwa Wakati Timu Ya Zanaco inaiadhibu timu Yake alionekana 'eti akicheka ndani ya Barakoa.

Pia Matukio Yanayoendelea kuitokea timu yake kama la Kutolewa Mapema Michuano Ya CAF 'eti' yanamkosha sana, huwa anazuga kuelekea Maliwato ambapo lengo ni kusherehekea na kushangilia Kilichotokea pasi kuonekana.

Tujadiliane hili lina Ukweli kiasi gani..Linawezekana? Wadau embu tutiririke..
 
Unaona hapa alikuwa anataka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF hadi Engineer Hersi akamuondoa hapo. Huyu ana agenda mbaya sana na Yanga kilichompeleka hapo ni kutangaza bidhaa za swahiba wake Ghalib tu na si kingine
FB_IMG_1631647099990.jpg
 
Unaona hapa alikuwa anataka Yanga isiingize timu uwanjani ili wapate adhabu kali toka CAF hadi Engineer Hersi akamuondoa hapo. Huyu ana agenda mbaya sana na Yanga kilichompeleka hapo ni kutangaza bidhaa za swahiba wake Ghalib tu na si kingineView attachment 1947048View attachment 1947049
Msemaji Mzoefu Kama yeye hakuona Kushawishi kugoma Ingeleta maafa zaidi Kwa timu yake hiyo mpya Kuliko faida? Ama ana Ajenda yake !
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom