mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. E

    Wanawake kujiuza kwenye mitandao ya kijamii

    Kumezuka tatizo kubwa la wanawake wa kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii. Pamoja na kwamba wanawake wamepewa ubongo lakini ni wachache sana wenye uwezo wa kuutumia. Wengi wao kuanzia asububi mpaka jioni wanatumia ubongo wao kuwaza HIPS, na Nywele. Siku zinazidi kwenda wakisubiria...
  2. Sam Gidori

    Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (3)

    Mambo 10 ya kuzingatia unapoandaa chapisho la tangazo la kibiashara mtandaoni Mitandao ya kijamii imebadilika kutoka kuwa majukwaa ambayo watu hukutana kufahamiana na kujadili masuala mbalimbali ya kijamii, hadi kuwa majukwaa ya kibiashara ambayo unaweza kukutana na wateja wako, kuwafahamisha...
  3. Sam Gidori

    Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (2)

    Upi mtandao sahihi zaidi wa kijamii unaoweza kuutumia kutangaza biashara yako mtandaoni? Tangu kuvumbuliwa kwa mtandao wa intaneti miaka 60 iliyopita, mapinduzi ya teknolojia yamerahisisha mawasiliano kwa kiasi kikubwa. Moja ya mabadiliko hayo ni uwezo wa kuwafikia watu wengi kwa muda mfupi...
  4. Sam Gidori

    Mambo ya msingi unayopaswa kuyafahamu kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kibiashara (1)

    Kwanini Unahitaji Mitandao ya Kijamii katika biashara yako? Mitandao ya Kijamii imekuwa kiungo muhimu katika miaka ya hivi karibuni tofauti na ilivyokuwa siku za nyuma, hasa katika ulimwengu wa biashara ya mtandaoni ambao umewawezesha wafanyabiashara kuwafikia mamilioni ya wateja kwa urahisi...
  5. Youth Worker Tanzania

    Nini husababisha watu waeleze mambo yanayohusu maisha yao kwenye mitandao ya kijamii?

    Wakuu kuna hili suala la baadhi yetu ambao tunasumbuliwa na mambo tofauti kimaisha. Kwenye majukwaa ni rahisi kukuta mtu ameamua kuanika kinagaubaga yale anayofanya chumbani na mwenzi wake, au namna alivyonyanyaswa na mwenzake na mfano wa hayo. Au hata wakati mwingine changamoto anazopitia...
  6. matunduizi

    Natafuta platform ya watu hawa kwenye mitandao ya kijamii ili nichangamane nao mwakani

    1: Watu ambao Faida za Biashara zao ni kuanzia Bilioni 1, au wenye mpango na malengo kama hayo kwa Baadae hata kama Leo hana uhakika hata wa mlo mmoja. 2: Watu wanye mpango wa kuwa 'Vegans' ( no animal products) au hawali dead foods. 3: Watu ambao wanampango wa Kwenda Mbinguni na wako serious...
  7. J

    GE2020 RC Chalamila: Mitandao ya kijamii kutoweka hewani hakuhusiani na uchaguzi, huwa inatokea wakati wowote

    RC Chalamila amesema kutoweka hewani kwa mitandao ya kijamii kusihusishwe na uchaguzi kwani ni kawaida mitandao hiyo kusumbua bila kujali matukio. Maendeleo hayana vyama!
  8. I

    GE2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

    Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana. Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store). Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download...
  9. M

    GE2020 Mitandao ya kijamii Tanzania yawa restricted. YouTube, WhatsApp, Twitter, JamiiForums na Telegram zimeguswa - Oktoba 27, 2020

    Najaribu kuingia YouTube lakini inagoma, kama nusu saa iliyopita nilikuwa naipata. Kuna yeyote anapata tatizo kama langu? Natumia Mtandao wa Tigo PIA SOMA = >...
  10. G Sam

    GE2020 Kampeni za CCM: Picha iliyozua gumzo kwenye mitandao ya kijamii leo

    Hii picha imezua gumzo kwenye mitandao ya kijamii huku wengi wakihoji juu ya uwepo wa glasi moja tu ya maji. Wengine wanapiga dua, Polepole yuko busy na simu
  11. J

    Dondoo za Usalama unapotumia Mitandao ya Kijamii

    Ndugu mwanaJamiiForums kila unachoweka mtandaoni ni uamuzi na uhuru wako lakini maamuzi ya watu wengine wafanye nini taarifa uliyoiweka hilo haliko kwenye mikono na uamuzi wako Chukua muda wako na ujifunze kuhusu dondoo za usalama uwapo kwenye mitandao ya kijamii. Pitia na urekebishe mipangilio...
  12. Cannabis

    Kwa yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii, kama ukurasa huu ni wa Serikali basi ni aibu

    Wakuu, huku tukiwa tunaendelea na shamra shamra za Uchaguzi mkuu. Kuna ukurasa unaojiita Mawaziri & Manaibu Tz. Dhumuni ya ukurasa huo ni kuonesha taarifa na habari mbali mbali za manaibu waziri wote Tanzania. Ukurasa huu umejiunga na mtandao wa Twitter mwaka 2018 na umekuwa ukituhabarisha...
  13. U

    Lugha ya kiswahili na mitandao ya kijamii

    Nina hoja naleta kwenu tuijadili. Je, mitandao ya kijamii inasaidia kuboresha lugha yetu ya Kiswahili maana watumiaji ni wengi na vile vile wafuatiliaji wa hiyo mitandao ni wengi. Mifano hai ni katika siku za karibuni kumeibuka maneno mapya toka mitandao ambayo hapo kwenye matumizi ya...
  14. demigod

    Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
  15. M

    GE2020 Kwenye mitandao ya kijamii na mtaani, Membe hakubaliki

    Napenda kuwajulisha wapinzani wa kweli kuwa nimefanya utafiti wangu usio rasmi. Nimejaribu kupita Facebook, tweeter, Instagram na humu JF na kwenye vyombo vya usafiri nakugundua kwamba wananchi wengi walio upande wa upinzani hawakubaliani na ujio wa Membe. Hoja yao ya msingi ni kwamba Membe...
  16. Miss Zomboko

    Mgonjwa wa 1 wa Corona apanga kuishtaki Serikali akidai fidia kwa picha yake kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii

    Osma Shariff, mtu wa kwanza kuthibitika kuwa na maambukizi ya virusi vya corona (covid-19) nchini Kenya katika Kaunti ya Isiolo, amepanga kuiburuza Mahakamani Serikali ya Kaunti hiyo akiidai fidia ya Sh.25 milioni za Kenya. Shariff mwenye umri wa miaka 62, amesema kuwa alipata matatizo makubwa...
  17. Analogia Malenga

    Marekani yatarajia kuzuia mitandao ya kijamii ya China ikiwemo TikTok

    Mike Pompeo amesema Marekani inaangalia kuzuia matumizi ya Apps za wachina. Alisema wanachukulia swala hilo kwa uzito sana Wataalamu wa kidiplomasia wa nchi Marekani wamesema, watu wajue kuwa wanapopakua apps hizo wajue kuwa taarifa zao binafsi zitaenda kwa serikali za China Msemaji wa TikTok...
  18. mkiluvya

    Trump asaini sheria inayolenga Kuibana Mitandao Ya Kijamii Ikiwemo Twitter, Facebook na Youtube

    Rais Donald Trump wa Marekani jana Alhamisi alisaini Amri ya Utendaji (Executive Order on Preventing Online Censorship) inayolenga kuongeza uwezo wa serikali kusimamia na kuibana mitandao ya kijamii. Amri hiyo inalenga kampuni zilizopewa ulinzi wa kisheria kupitia kifungu cha 230 cha Sheria ya...
  19. Analogia Malenga

    Marekani: Trump atishia kufunga mitandao ya kijamii nchini Marekani

    Donald Trump anatarajia leo Alhamisi kutia saini kwenye agizo linalolenga mitandao ya kijamii, maafisa wa Ikulu ya White House wamesema, saa chahe baada ya rais huyo kutishia kudhibiti au kufunga makampuni ya mitandao yote ya kijamii, akiyatuhumu kujaribu kuzuia uhuru wa kujieleza. Wawakilishi...
  20. youzam

    Namna ya kubadili wafuasi (followers) wako kwenye mitandao ya kijamii kuwa wateja

    Mitandao ya kijamii ni muhimu sana katika kukuza biashara mbalimbali. Kuna njia nyingi za kufanya promosheni ya bidhaa au huduma zako, na miongoni mwa hizo ni matangazo ya kulipia. Lakini unaweza pia kupata wateja wengi kama ukitambua ni namna gani ubadili wafuasi (followers) wako kuwa wateja...
Back
Top Bottom