EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,083
Kumezuka tatizo kubwa la wanawake wa kitanzania kujiuza kwenye mitandao ya kijamii.
Pamoja na kwamba wanawake wamepewa ubongo lakini ni wachache sana wenye uwezo wa kuutumia. Wengi wao kuanzia asububi mpaka jioni wanatumia ubongo wao kuwaza HIPS, na Nywele.
Siku zinazidi kwenda wakisubiria kuolewa alafu hawaolewi sasa wanajifia maskini kwa kusubilia wanunuliwe simu, wapewe pesa za bure, na kujengewa nyumba. Ni aibu sana kwa Tanzania
Ni tatizo kubwa sana, hili na linatokana na malezi mabovu ya watoto wa kike kumzoeza kutegemea wanaume badala ya kujitegemea mwenyewe. Hiyo inamfanya mwanamke ajione hawezi kufanya chochote cha kuzalisha pesa zaidi ya kuolewa na mwanamme ili amtunze asipo olewa ndio hivyo anaanza kufanya biashara ya kujiuza.
Lea mtoto wako wakike mfundishe kufanya kazi mbalimbali kwaajili ya maisha yake ya baadaye.
Mwanamke akitumia akili zake vizuri ndio mwenye uwezo wa kuibadirisha jamii. Asilimia kubwa ya wasomi Tanzania wasomeshwa na wanawake.
Wale mnaojiuza acheni biashara haramu ya kujiuza, kukaa uchi, kuchuna, pesa. Tafuteni pesa kihalali wanawake wakiamua, akili zao zinauwezo mkubwa mnoo.