mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Azizi Mussa

    JamiiForums Tanzania Utafiti kuhusu mitandao ya kijamii na demokrasia

    Salama wakuu, Wakuu wana JF, Tunafanya utafiti kuhusu Mchango wa mitandao ya kijamii kwenye demokrasia Tanzania. Lengo la utafiti huu ni kutafuta taarifa zitakazojibu maswali mbalimbali kuhusu uhusiano wa mitandao ya kijamii na demokrasia. Maswali yanayohitaji kupatiwa majibu ni pamoja na...
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii ilivyoshika uhai wa vyama vya siasa

    Ni dhahiri siasa za majukwaani kwa miaka minne iliyopita zilikuwa na changamoto kubwa lakini mitandao ya kijamii imeonekana msaada mkubwa katika kukuza uhai wa vyama vya siasa au mwanasiasa mmojammoja. Zimekuwapo juhudi za kuwashawishi watumiaji wa mitandao ili kupata wafuasi miongoni mwao, na...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Askofu Cheyo aonya matumizi ya mitandao ya kijamii

    Askofu wa Kanisa la Moravian Tanzania Jimbo la Kusini Magharibi, Alinikisa Cheyo ameonya wale wote wanaotumia mitandao ya kijamii kuandika mambo machafu na kutukana wengine kuwa wanahatarisha amani ya nchi. Askofu Cheyo amesema hayo, Jumatano Desemba 25,2019 wakati akitoa salamu za Krismasi...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Kanuni za kuikuza biashara ndogo ili iwe biashara kubwa

    Kila kitu kinachoanza kwa hatua ndogo kinatakiwa kukua katika ukubwa, hivyo unapoonzisha biashara ndogo basi fahamu namna ambavyo biashara hiyo itakuwa kubwa. Zifutazo ndizo kanuni za kuikuza biashara ndogo ili biashara kubwa Jitahidi pia kujua washindani wako wanafanya nini haswa wale ambao...
  5. Tulimumu

    JamiiForums Tanzania DC wa Kisarawe apunguze show kwenye mitandao ya kijamii afanye kazi

    Ni kweli huyu DC wa Kisarawe ametokea kwenye urembo na fasheni. Sasa tatizo lililopo amesahau kuwa sasa amechange status. Yeye kazi anayofanya sasa hivi ni kupiga picha katika mitindo mbalimbali na kupost kwenye mitandao halafu watu waanze kucomment. Yaani ni DC anayeongoza kwa kupost picha...
  6. ZING SOKONI

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

    Wakuu habari zenu, leo kidogo tuzungumzie kuhusu hili la mitandao ya kijamii. Siku hizi maisha yamegeuka sana, ni ngumu sana kudeal na stress na msongo wa mawazo hasa pale unapokuwa unapitia kipindi kigumu katika maisha. ~Umeachana na mpenzi wako uliyempenda sana, kesho unamuona facebook...
  7. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Njia 6 za kutengeneza pesa kwenye biashara kupitia mitandao ya kijamii

    Inawezekana kabisa siku ambayo ulifungua akaunti yako ya Facebook, Instagram au hata WhatsApp ulikuwa na lengo na kuchati na washikaji, ndugu na watu wengine wengi. Hukufikiria kuhusu kutengeneza pesa, ulichokiona ni kwamba utakapokuwa na uhitaji wa kuwasiliana na washikaji, basi uwasiliane nao...
Back
Top Bottom