mitandao ya kijamii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa Magufuli umemwingia Polepole. Mnaomwandama mjipange, ana nguvu isiyo ya kawaida

    Kauli ya kusema hana shida na ubunge wao na hagombei ubunge ni kauli ya kizalendo na tungekuwa na Wabunge wa CCM 75% Kama Polepole wangeinyoosha serikali ya CCM mtu mmoja tu kawatoa jasho. Kwa hiyo wabunge wa CCM badilikeni acheni kulamba nyayo za watawala simamieni ukweli kama Polepole.
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Australia: Sheria itakayoiwajibisha mitandao ya kijamii kwa watumiaji wasiojulikana kutungwa

    Serikali ya Australia imepanga kutunga sheria itakayolazimu mitandao ya kijamii kuonesha utambulisho wa watumiaji wasiotumia majina halisi watakaochapisha maudhui yenye kuudhi, au kulazimu mitandao hiyo kulipa faini kama fidia kwa madhara yatakayotokana na maudhui hayo ikiwa watashindwa kutoa...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA huruma za kisiasa kupitia mitandao ya kijamii haziwezi kusaidia Mbowe na wenzake kushinda kesi, kesi ni ushahidi

    Ni cardinal rule kuwa anayetoa shutuma lazima athibitishe. Jamhuri ya Tanzania imetoa shutuma kuwa Mbowe na wenzake walipanga njama ili kutekeleza ugaidi. Hili jukumu la kuthibitisha waachiwe Jamhuri ili kuthibisha. Madai kuwa kuna njama za kuwakandamiza watuhumiwa hazina mashiko maana suala...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Arusha: Rais Samia ataka mitandao ya kijamii kutoa elimu usalama barabarani

    Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kutumia mitandao ya kijamii kutoa elimu ya usalama barabarani na kushirikiana na vyuo vya usafirishaji kufanya tafiti ili kusaidia kupata suluhu ya kukomesha ajali barabarani. Arusha. Rais Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mitandao: Nimeokota handbag yenye pesa kabla vibaka hawajaiwahi na kumrudishia aliyeidondosha kupitia Instagram

    MUHIMU: Tahadhari inabidi zichukuliwe, Wema wako unaweza kuku gharimu! kabla hujachukua uamuzi wa kumrejeshea mtu vitu vyake ni lazima upate taarifa zake (ni mzima?, kapata tukio lipi?, nk) lasivyo unaweza kuingia mtegoni au kuhusishwa na kesi.. kama huna taarifa ni bora utafute njia ya...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Shaka atamba CCM kuongoza kwa wingi wa wafuasi mitandaoni

    Kwa mujibu wa tovuti ya ukusanyaji wa takwimu za mitandao ya kijamii (Statista Aprili, 2019) watu milioni 23 wanatumia intaneti hapa nchini, sawa na takribani asilimia 42 ya Watanzania milioni 55. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinaongoza kwa idadi kubwa zaidi wafuasi kwenye mitandao yote ya...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ni suala la muda tu

    Unahisi kuna lugha ngapi duniani? 6,500-7,117. Tena hizi ni zile zinazojulikana na zikiwa kwenye hatari ya kupungua. Vipi kuhusu zile ambazo hazijulikani? Wewe je unajua na kuzungumza lugha ngapi mbali na Kiswahili, Kiingereza na lugha ya kabila yako (Kilugha)? (Washiriki wa mafunzo ya...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Neno moja kwa wagunduzi wa Internet & mitandao ya kijamii

    Wakuu salaam, Ukiperuzi mitandao ya kijamii, ukaona vile watu wanaenjoy maisha, huwezi amini kama wanapitia magumu katika maisha yao halisi. Neno langu kwao wagunduzi hawa Mungu awasamehe dhambi zao na awaandalie pepo ya kipekee maana wametutengenezea staara ya magumu yetu. Karibu nawe uwape...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Serikali mtambue maoni ya wananchi yapo kidigitali kwenye mitandao ya kijamii sasa

    Zamani kabla mitandao ya kijamii maoni ya wananchi yalikuwa hayana tofauti na kilio cha samaki kwenye maji. kwa yale mnayokumbuka hata ukitoa maoni yako kuhusu lolote basi kufanyiwa kazi asilimia ndogo sana. serikali kubali kupokea maoni kupitia mitandao ya kijamii sehemu zote na sio kuzuia...
  10. Chura

    JamiiForums Tanzania Mitandao ya Twitter na YouTube haipatikani Tanzania bila VPN | Septemba 07, 2021

    Katika hali ya kushtusha Leo 7/9/2021 majira ya kuanzia saa 5 na nusu, mitandao maarufu ya kijamii Twitter na YouTube haipatikani bila VPN. Mtumiaji atalazimika kuwasha VPN ili kuendelea kufurahia kutumia mitandao hiyo. Mitandao hiyo siku za karibuni imekuwa ikitumika kama platform ya chama...
  11. Opportunity Cost

    JamiiForums Tanzania Ushauri, Serikali itumie Tozo ya Mitandao ya Kijamii kwa ajili ya kupanga miji na kupima Ardhi

    Habari zenu. Nimesikia Waziri wa fedha anapanga kutafuta namna ya kupata tozo kwenye mitandao ya kijamii. Kama hili likiwezekana natoa ushauri kwa serikali kutumia fedha hizo kuunda wakala wa Ardhi na mipango miji. Kazi hii imekuwa inafanywa na Halmashauri lakini zimeshindwa kupima viwanja...
  12. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Rais Edgar Lungu awaaga Wazambia wakati Hakainde Hichilema akienda kuapishwa kuwa Rais wa 7 wa Zambia, leo Agosti 24 2021

    Ikiwa leo ndiyo siku anayoapishwa Hakainde Hichilema kuwa Rais wa 7 wa Zambia, Edgar Lungu kupitia mitandao ya kijamii (hii imetoka ukurasa wake wa Instagram) amewaaga wananchi wa Zambia na kumtakia kila la kheri Bw. Hichilema. Chini ni tafsiri ya andiko lake katika lugha ya Kiswahili...
  13. AMRANI NURUDINI SAMWAJA

    JamiiForums Tanzania SoC01 Upataji fursa, ajira kwa haraka kwa matumizi mazuri ya mitandao ya kijamii

    Namna nzuri ya kuitumia mitandao ya kijamii kupambana na soko la ajira pia kufumania fursa mbalimbali kutokana na uhitaji wako. Vijana waliohitimu vyuo vikuu wanalalamika hakuna ajira hii makala itasaidia vijana ambao bado wako vyuo na waliomaliza pia wakulima, wafanya biashara nk. Kwa...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wazambia nao wafungiwa Mitandao ya Kijamii na Serikali baada ya Uchaguzi Mkuu

    Imekuwa ni kawaida sasa kwa nchi nyingi za kiafrika kuwanyima watu wake uwezo wa kupata habari kupitia mitandao ya kijamii kama vile Whatsapp, Facebook, TWITTER n.k hasa baada ya kipindi cha uchaguzi mkuu, Tukio hili limewakumba jana wananchi wa Zambia baada ya kujikuta mabando yao hayana. ---...
  15. A

    JamiiForums Tanzania Njia 7 rahisi za kulinda afya yako ya akili unapotumia mitandao ya kijamii

    Je, huwa unajisikia kuchoka? Wivu? Kama vile haufai au maisha yako sio bora kama ya wale unaowaangalia kwenye mitandao ya kijamii? Hauko peke yako. Hayo ni madhara machache kati ya mengi ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwenye afya ya akili. Mitandao ya kijamii tunaipenda, inatusaidia kupoteza...
  16. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mitandao ya kijamii kichocheo kipya cha Demokrasia

    Kwenye dunia ambayo demokrasia imeshuka sana katika asilimia 70 ya nchi 167 zilizofanyiwa utafiti duniani, kwa mujibu wa The Economist Intelligence’s Unit Democracy Index 2020 tangu kushuka huko kuanze kuonekana mwaka 2006, tunategemea sana mitandao ya kijamii kuhuisha demokrasia kwa sababu ni...
  17. BENEDICT ISEME

    JamiiForums Tanzania SoC01 Jinsi ya kuanza kujiajiri kwa kutumia internet na mitandao ya kijamii

    Internet ni mfumo wa dunia wa kielektroniki unaounganisha kompyuta na vifaa vyengine vya kielektroniki vinavyokubali mfumo huo. Mitandao ya kijamii ni teknolojia inayohusisha kompyuta ambayo hurahisisha kugawana na kusambaza mawazo na taarifa mbalimbali katika kujenga mtandao na jamii halisi...
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utafiti wangu kuhusu "profile pictures" za watumiaji wa mitandao ya kijamii

    Nilifanya kautafiti kadogo juu ya Profile picture na picha wanazoweka watu kwenye Account zao za mitandao ya kijamii. Nikabaini mambo yafuatayo: 1. 90% ya walioweka picha Nusu/Passport size (kuanzia kiunoni mpaka kichwani) ni Wafupi. Pia hawana maumbo ya kuvutia. Hii ipo kwa pande zote...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Utafiti usio rasmi kuhusu mitandao ya kijamii na watumiaji wake

    UTAFITI USIORASMI; KUHUSU MITANDAO YA KIJAMII NA WATUMIAJI WAKE TANZANIA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Leo nitaleta kautafiti kadogo nililokafanya ambako sio rasmi. Mitandao ya kijamii Kwa hapa Nchini ambayo ni Maarufu ni Facebook, Instagram, WhatsApp, Jamii forum, Twitter's, Tiktok, ambayo hii...
  20. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Ongezeko la Watumiaji wa Mitandao ya Kijamii Tanzania ni fursa kibiashara

    Mitandao ya kijamii imekuwa nyenzo muhimu ya biashara katika karne ya 21 hasa kutokana na urahisi wa kufanya biashara na kuongezeka kwa fursa ukilinganisha na biashara nje ya mitandao. Zaidi ya nusu ya watu bilioni 7.8 duniani wanatumia mtandao wa intaneti, ambapo kwa jicho la kibiashara, hiyo...
Back
Top Bottom