Habari za mida hii wana jukwaa,
Mimi ni mgeni wenu, Baada ya kukaa muda mrefu kama mchunguliaji tu hapa jukwaani; leo nimechukua hatua moja zaidi na kuamua kujiunga na kuwa sehemu ya wanachama wa jukwaa hili adhimu lililosheheni elimu na maarifa mbalimbali.
Wasalam.
Habari member wenzangu wa JF,
Mimi ninamtafuta baba yangu ambaye hata kwa sura simfahamu ila kwa maelezo ya mama jina la baba ni STANLEY JACOB FIFI na ni mwenyeji wa IRINGA lakini alikuwa anafanya kazi Dar na huko ndiko walikokutana na mama.
Mama hajawa muwazi kwangu nahisi pengine...
Katika sekta ya utalii nchini ambayo Rais Magufuli amesema itarejesha huduma zote wiki ijayo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amebainisha kuwa tayari baadhi ya watalii wameshaanza kuingia nchini.
Ndugu habari zenu mie naitwa Ukuta wa dhahabu ni mgeni hapa katika jamii forums naomba kukaribishwa na wenyeji wa hapa jf pia kunipa ushirikiano na muongozo wa kutumia mtandao huu wa jamii asanten
Wanabodi,
Wenye access fuatilieni hii
Wanabodi, kiukweli huwa nasikiza Radio asubuhi mara chache sana, niwapo njiani kwenye gari, na station ninayosikilizaga sio EA Radio, lakini leo nimeamua kuisikiliza hii Redio Redio baada tuu ya kuona hili tangazo ili nimsikie huyu dada.
Watangazaji...
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.
Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru...
Habari wakuu wa kazi, iko hivi nimeanza mahusiano tangu nipo kidato cha tatu hadi hivi sasa nimemaliza chuo nipo kazini lakini wasichana wangu wote niliokuwa nao kwenye mahusiano wamekuwa ni watu wa kupandisha mashetani sijui hii imekaaje kila demu ninaye date nae lazima atakuwa na hii shida...
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.
Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa...
Habari zenu jamani,
Naombeni msaada mimi nawashwa kwenye makalio na nimefanya kama mashilingi ni mwezi wa 6 sasa nipo na hilo tatizo nmetumia dawa kibao za ngozi za kupaka na kunywa lakini hadi leo hamna nafuu naombeni mnisaidie.
Nina mpenzi tumependana vya kutosha yeye ni single mother na mimi nina ndoa na watoto. Alinishauri niishi naye nikazugazuga alivyoona hivyo akaniomba kuwa anataka mtoto na mimi. Nifanyage japo na mimi nimempenda Kiana tatizo ndoa yangu
Mh Rais na viongoz wote wa Taifa hili mimi napingana na Prof Luoga eti uchumi wetu upo on Track na eti tuna hazina kubwa ya USD. Mimi nakataa nakataa kwa elimu hii hii mlionipa nawaambia no na mh Rais nakuomba usikubali majibu marahisi kwenye majibu magumu.
Kwanza nilazima tukumbuke Bop ya...
Hapa naandika kwa majonzi kwa kusikia jinsi Watanzania wenzetu wanavyougua Corona na wengine kupoteza maisha. Poleni nyote.
Kinachoumiza zaidi ni namna baadhi yetu tunavyoteteana hata kunapokuwa na uzembe kwenye hatua zinazochukuliwa kutulinda na Corona.
Kuna wanaosema Nahodha wetu ni shujaa...
Jamaa kwake ana mtoto wa kike wa rafiki yake ile kisasa wanaitana 'family friend'.
Mtoto huyu yupo Form 4. Aliletwa kwa jamaa ili aweze kusoma kwa sababu Kwa jamaa kidogo mazingira ni rafiki sana, na ni karibu sana na shule. Shule zetu hizi za kata.
Binti akawa haraki kufuata utaratibu wa...
Kwa kweli Huyu Trump tokea aingie madarakani amekuwa tishio kwenye mradi unafadhiliwa na Marekani katika Taasisi ninayofanyia kazi kwa Sasa, na Mara kadhaa ametishia kusitisha mradi huo ingawa tumekuwa tukiponea chupuchupu Tena kwa kudra za Mwenyezi Mungu.
Mimi Ni miongoni mwa watu...
Habari zenu wanajamvi,
Nikiwa nipo mapumzikoni huku kanda ya ziwa nikijificha na hii hatari ya corona huko mjini, sasa kuna kadogo hapa kapo form 2, kakaniuliza "Brother wewe si ulisoma Sayansi Advance" Nikakajibu Yes. Akaendelea, Basi ngoja nikuletee maswalai ambayo nimemuuliza mwalimu wangu...
habari zenu wakuu,
kwa wale wote wanaotaka LOGO kwa ajili ya makampuni, NGO's na mashirika mbal mbali, ukitaka LOGO ya 3D au 2D zote tunadesign kwa 50,000 tu unapata brand logo yako nzuri na yakuvutia...
pia ukiitaji POSTERS zenye kuvutia wasomaji tunadesign kwa 20,000 tu...na pia ukiitaji...
Habari zenu waungwana. Poleni sana na mapambano dhidi ya COVID-19.
Baada ya kuzichakata sana nyuchi za hawa dada zetu wazuri wiki iliyopita nimepatwa na jambo ambalo baharia mimi sina uzoefu nalo. Kwa kifupi nimepagawa vikali hadi jana nikasimama mbele ya kioo na kujiangalia juu mpaka chini...
Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.
Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.
Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering )...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.