Mimi napingana na BOT uchumi wetu haupo vizuri

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,285
2,000
Mh Rais na viongoz wote wa Taifa hili mimi napingana na Prof Luoga eti uchumi wetu upo on Track na eti tuna hazina kubwa ya USD. Mimi nakataa nakataa kwa elimu hii hii mlionipa nawaambia no na mh Rais nakuomba usikubali majibu marahisi kwenye majibu magumu.

Kwanza nilazima tukumbuke Bop ya taifa hili ni mbaya why tuna import more than export na kipindi hiki ndio kipo juu sana sana hivyo tusidanganyane na kama mnataka tu danganya basi wekeni figure za bop wazi tuchaguwe mbivu na mbichi. Kwa yule haelewi bop nikipimo cha nchi ina safirisha nje kiasi gani na kuingiza bidhaa kiasi gani. Ikiwa taifa lima ingiza zaid bidhaa bop yake inakuwa mbaya kwasababu unatumia usd nje na hauwingizi USD..

Sababu ya pili ambayo mimi naona kama red indicator ya currency yetu nikuwa any currency umadhubuti wake au uwimara unapimwa kwa kipimo cha demand & supply. Yani uhitaji mkubwa fedha fulani either tzs or USD inapimwaktk d&s. Sasa ukiangalia kwa sasa kwa kipindi cha mwezi tu Usd amekuwa strong dhidi ya tzs. Yani kutoka dola kuuzwa 2228 leo imefika 2338 kwenye mabank ya biashara. Hii inamanisha nini? Kuna uhitaji mkubwa sana wa USD ktk mabank na kwa kuwa serikali hazina yake sio strong inabidi kurudi kwenye mabank kuchukua Usd jambo ambalo linafanya bei ya usd kuwa juu. Ikumbukwe kuwa BOT ndio anapanga margin ya kuuza na kununua dola akiwa na nakishi kubwa anakuwa na uwezo wakupanga margine ndogo kama hana nilazima akubaliane na soko kwa kupandisha margin au asipofanya hivyo ndio hali inaweza kuwa mbaya kama Zimbabwe.

Jambo la tatu mfumuko wa bei jaman tusifunge macho kuna mfumuko mkubwa wa bei ya bidhaa muhimu kama mahindi,maharage,sukari n nk hii ni picha mbaya.

Nne mabadiliko madogo kwenye noti zetu kuanzia elfu kumi mpaka 1000. Kwa mtu mwenye macho ya rohoni ukiangalia ile noti mpya na hii ya sasa utagunduwa jambo la siri kubwa sana. We call Government secret plan behind currency. Siwezi kuongea wala kuwafumbua macho ila tujiongeze kujuwa kesho kinafuwata nini?

Prof Luoga mm naona hatuwa mnazichukua bado haziwezi kuinasuwa nchi hapa tulipo na kwa uwelewa wangu mdogo nakiona kitisho ktk uchumi wetu kwa siku za mbele. Naona siri mnapanga kwenye kunusuru uchumi zitafichuka ktk uhalisia na kuwa uchungu kwetu sote.
Tarehe 21.05.2020 Mh Rais kwa kinywa chake kasema kuna hatuwa nyingine wanachukua kwenye issue ya covd19 kunusuru uchumi ila hawatangazi" mwisho wakunukuu. Namimi nilisema hizo hatuwa wanazifanya kwa siri zitakapo kuja kwenye uhalisia itakuwa uchungu kwetu sote.

Mimi nawaza jambo moja nilazima watu wenye akili ya uchumi mfanye restructure ya all mega projects then kwa ile miradi haija anza iwe stop temporary.

Tunaweza kuwa na advantage ifi donar country watatupa misaada mikubwa kuongeza nakishi ya fx reserve bot. Ila kuna dalili watatubania.

Jambo lingine rudisheni iman ya wafanya biashara kiukweli tukubali au tusikubali Tra imeuwa bihashara nyingi nakufanya watu kutotumia bank nilazima mlegeze masharti na kuwafanya watu wafanye biashara dhuluma kubambikwa madeni kumeuwa biashara
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
9,356
2,000
Wewe ni wakala wa mabeberu. Uchumi wetu uko vizuri sana. Uchumi wetu unakuwa kwa 7% na kila kitu kipo shwari
 
Castr

JF-Expert Member
Apr 5, 2014
17,536
2,000
Kwahiyo sisi kama Taifa tunaelekea wapi?

Msinielewe vibaya namaanisha Taifa Stars.
 
Stan Mashamba

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,087
2,000
Uchumi wetu upo imara sana tuache story za vijiweni

Nakisi iliyopo ni kubwa sana tumeweka rekod
Toa takwimu za mauzo na manunuzi ya bidhaa na huduma nje ya nchi kwa mwaka wa fedha 2019/20. La sivyo ni vigumu kukubali au kukataa. Wa Tz. tunatakiwa kutoa hoja kwa takwimu na siyo ukereketwa!
 
Smart911

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
41,876
2,000
Ukweli unajulikana... Mambo yote yanaendeshwa na maagizo kutoka juu...

Ukisema kile kilichopo kweli, kesho huna kazi...Cc: mahondaw
 
JET SALLI

JF-Expert Member
Dec 1, 2014
1,088
1,500
Ni vizuri sana unaposema uchumi hauko vizuri ujitahidi kuweka ushahidi wenye mashiko ili watu waweze kuelewa zaidi kuliko kufanya ushabiki usio na tija
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,285
2,000
Mh Rais na viongoz wote wa Taifa hili mimi napingana na Prof Luoga eti uchumi wetu upo on Track na eti tuna hazina kubwa ya USD. Mimi nakataa nakataa kwa elimu hii hii mlionipa nawaambia no na mh Rais nakuomba usikubali majibu marahisi kwenye majibu magumu.

Kwanza nilazima tukumbuke Bop ya taifa hili ni mbaya why tuna import more than export na kipindi hiki ndio kipo juu sana sana hivyo tusidanganyane na kama mnataka tu danganya basi wekeni figure za bop wazi tuchaguwe mbivu na mbichi. Kwa yule haelewi bop nikipimo cha nchi ina safirisha nje kiasi gani na kuingiza bidhaa kiasi gani. Ikiwa taifa lima ingiza zaid bidhaa bop yake inakuwa mbaya kwasababu unatumia usd nje na hauwingizi USD..

Sababu ya pili ambayo mimi naona kama red indicator ya currency yetu nikuwa any currency umadhubuti wake au uwimara unapimwa kwa kipimo cha demand & supply. Yani uhitaji mkubwa fedha fulani either tzs or USD inapimwaktk d&s. Sasa ukiangalia kwa sasa kwa kipindi cha mwezi tu Usd amekuwa strong dhidi ya tzs. Yani kutoka dola kuuzwa 2228 leo imefika 2338 kwenye mabank ya biashara. Hii inamanisha nini? Kuna uhitaji mkubwa sana wa USD ktk mabank na kwa kuwa serikali hazina yake sio strong inabidi kurudi kwenye mabank kuchukua Usd jambo ambalo linafanya bei ya usd kuwa juu. Ikumbukwe kuwa BOT ndio anapanga margin ya kuuza na kununua dola akiwa na nakishi kubwa anakuwa na uwezo wakupanga margine ndogo kama hana nilazima akubaliane na soko kwa kupandisha margin au asipofanya hivyo ndio hali inaweza kuwa mbaya kama Zimbabwe.

Jambo la tatu mfumuko wa bei jaman tusifunge macho kuna mfumuko mkubwa wa bei ya bidhaa muhimu kama mahindi,maharage,sukari n nk hii ni picha mbaya.

Nne mabadiliko madogo kwenye noti zetu kuanzia elfu kumi mpaka 1000. Kwa mtu mwenye macho ya rohoni ukiangalia ile noti mpya na hii ya sasa utagunduwa jambo la siri kubwa sana. We call Government secret plan behind currency. Siwezi kuongea wala kuwafumbua macho ila tujiongeze kujuwa kesho kinafuwata nini?

Prof Luoga mm naona hatuwa mnazichukua bado haziwezi kuinasuwa nchi hapa tulipo na kwa uwelewa wangu mdogo nakiona kitisho ktk uchumi wetu kwa siku za mbele. Naona siri mnapanga kwenye kunusuru uchumi zitafichuka ktk uhalisia na kuwa uchungu kwetu sote.

Mimi nawaza jambo moja nilazima watu wenye akili ya uchumi mfanye restructure ya all mega projects then kwa ile miradi haija anza iwe stop temporary.

Tunaweza kuwa na advantage ifi donar country watatupa misaada mikubwa kuongeza nakishi ya fx reserve bot. Ila kuna dalili watatubania.

Jambo lingine rudisheni iman ya wafanya biashara kiukweli tukubali au tusikubali Tra imeuwa bihashara nyingi nakufanya watu kutotumia bank nilazima mlegeze masharti na kuwafanya watu wafanye biashara dhuluma kubambikwa madeni kumeuwa biashara
Bad news today USD 2339
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,285
2,000
Ni vizuri sana unaposema uchumi hauko vizuri ujitahidi kuweka ushahidi wenye mashiko ili watu waweze kuelewa zaidi kuliko kufanya ushabiki usio na tija
Jet ulitaka ushahid gani kuliko huu nilio utowa? Leo USD imefika 2339 unafikiri nini hasa je unajuwa maana yake kama unajuwa huwez kurudia kuandika utakaa kimya. Ila hii ni read indicator
 
kakolo

JF-Expert Member
Jul 7, 2011
261
250
Mh Rais na viongoz wote wa Taifa hili mimi napingana na Prof Luoga eti uchumi wetu upo on Track na eti tuna hazina kubwa ya USD. Mimi nakataa nakataa kwa elimu hii hii mlionipa nawaambia no na mh Rais nakuomba usikubali majibu marahisi kwenye majibu magumu.

Kwanza nilazima tukumbuke Bop ya taifa hili ni mbaya why tuna import more than export na kipindi hiki ndio kipo juu sana sana hivyo tusidanganyane na kama mnataka tu danganya basi wekeni figure za bop wazi tuchaguwe mbivu na mbichi. Kwa yule haelewi bop nikipimo cha nchi ina safirisha nje kiasi gani na kuingiza bidhaa kiasi gani. Ikiwa taifa lima ingiza zaid bidhaa bop yake inakuwa mbaya kwasababu unatumia usd nje na hauwingizi USD..

Sababu ya pili ambayo mimi naona kama red indicator ya currency yetu nikuwa any currency umadhubuti wake au uwimara unapimwa kwa kipimo cha demand & supply. Yani uhitaji mkubwa fedha fulani either tzs or USD inapimwaktk d&s. Sasa ukiangalia kwa sasa kwa kipindi cha mwezi tu Usd amekuwa strong dhidi ya tzs. Yani kutoka dola kuuzwa 2228 leo imefika 2338 kwenye mabank ya biashara. Hii inamanisha nini? Kuna uhitaji mkubwa sana wa USD ktk mabank na kwa kuwa serikali hazina yake sio strong inabidi kurudi kwenye mabank kuchukua Usd jambo ambalo linafanya bei ya usd kuwa juu. Ikumbukwe kuwa BOT ndio anapanga margin ya kuuza na kununua dola akiwa na nakishi kubwa anakuwa na uwezo wakupanga margine ndogo kama hana nilazima akubaliane na soko kwa kupandisha margin au asipofanya hivyo ndio hali inaweza kuwa mbaya kama Zimbabwe.

Jambo la tatu mfumuko wa bei jaman tusifunge macho kuna mfumuko mkubwa wa bei ya bidhaa muhimu kama mahindi,maharage,sukari n nk hii ni picha mbaya.

Nne mabadiliko madogo kwenye noti zetu kuanzia elfu kumi mpaka 1000. Kwa mtu mwenye macho ya rohoni ukiangalia ile noti mpya na hii ya sasa utagunduwa jambo la siri kubwa sana. We call Government secret plan behind currency. Siwezi kuongea wala kuwafumbua macho ila tujiongeze kujuwa kesho kinafuwata nini?

Prof Luoga mm naona hatuwa mnazichukua bado haziwezi kuinasuwa nchi hapa tulipo na kwa uwelewa wangu mdogo nakiona kitisho ktk uchumi wetu kwa siku za mbele. Naona siri mnapanga kwenye kunusuru uchumi zitafichuka ktk uhalisia na kuwa uchungu kwetu sote.
Tarehe 21.05.2020 Mh Rais kwa kinywa chake kasema kuna hatuwa nyingine wanachukua kwenye issue ya covd19 kunusuru uchumi ila hawatangazi" mwisho wakunukuu. Namimi nilisema hizo hatuwa wanazifanya kwa siri zitakapo kuja kwenye uhalisia itakuwa uchungu kwetu sote.

Mimi nawaza jambo moja nilazima watu wenye akili ya uchumi mfanye restructure ya all mega projects then kwa ile miradi haija anza iwe stop temporary.

Tunaweza kuwa na advantage ifi donar country watatupa misaada mikubwa kuongeza nakishi ya fx reserve bot. Ila kuna dalili watatubania.

Jambo lingine rudisheni iman ya wafanya biashara kiukweli tukubali au tusikubali Tra imeuwa bihashara nyingi nakufanya watu kutotumia bank nilazima mlegeze masharti na kuwafanya watu wafanye biashara dhuluma kubambikwa madeni kumeuwa biashara
Irrelevant yaani unaandika hisia?
 
viking

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
1,744
2,000
, Nchi nyingi katika kipindi cha corona zimeshusha interest rate na kutoa pesa kwa ajili ya kuwasaidia wafanyabishara . BOT walichofanya ni kupunguza interest rate tu. bila kutoa fedha kwa wafanyabiashara, Huo uchumi unaokuwa kipindi hichi cha corora sijui sisi tupo dunia gani
 
Cherenganya

JF-Expert Member
Jan 21, 2018
2,052
2,000
Prof Luoga mm naona hatuwa mnazichukua bado haziwezi kuinasuwa nchi hapa tulipo na kwa uwelewa wangu mdogo nakiona kitisho ktk uchumi wetu kwa siku za mbele. Naona siri mnapanga kwenye kunusuru uchumi zitafichuka ktk uhalisia na kuwa uchungu kwetu sote.

************

Unapotaka kumkosoa Dr. Unatakiwa kuwa na qualifications kama zake, halikadhalika kwa Prof.

Umekiri mwenyewe kuwa na uelewa mdogo kisha unataka kutuaminisha kwamba bandiko lako lina mantiki.

Sio kila jambo unaweza kuchangia mengine unachutama yapitege eeh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom