Natafuta kazi au kibarua cha muda mimi ni fundi sanifu umeme (Electrical Technician)

C

charlesfundi

Member
36
95
Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.

Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.

Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering ), tafadhali ndugu zangu kama kuna wahandisi, au watu kwenye projects binafsi na wanataka usaidizi au wanawiwa kunisaidia nitafurahi, natanguliza shukurani..
 
GIRITA

GIRITA

JF-Expert Member
1,900
2,000
Nenda tanesco(ofisi iliyokaribu nawe) huwa wanaajiri vibarua hadi LA 7b.
 
C

charlesfundi

Member
36
95
Nenda tanesco(ofisi iliyokaribu nawe) huwa wanaajiri vibarua hadi LA 7b.
[/QUOasante mkuu ila saizi mfumo wa kazi na hata vibarua umebadilika sanaa nabaada ya kula kitu kuhamishiwa utumishi mambo yamekua magumu ila nitajaribu mkuu shukrani
 
keisangora

keisangora

JF-Expert Member
969
1,000
Kama una fani hiyo. Huwezi ukanishauri kuhusu ngombe Wa Maziwa.nahitaji niwe na kijiwe cha ufugaji tarime na hapo Mza.itapata angalau hata Milioni kama utanisimamia kazi Yangu vizuri mkuu. Ni wape nipate mbegu nzuri ya kutoa angalau Lita 30 kwa Siku.pia banda la ngombe likaaje. Banda la kuhifadhia chakula chao. Pia na ile MASHINE ya kukatia nyasi na kuzifunga mkuu.kikubwa ni mbegu nzuri na matunzo yake
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
1,850
2,000
Habari wana jamvi nimatumaini yangu nyote mu wazima.

Mimi nikijana umri miaka 25 natafuta kazi au kibarua cha muda katika kada ya umeme au nje ya umeme naweza kufanya kazi sehemu yoyote lakini kwa sasa niko Dar es salaam.

Nina ordinary diploma katika umeme (OD in electrical engineering ), tafadhali ndugu zangu kama kuna wahandisi, au watu kwenye projects binafsi na wanataka usaidizi au wanawiwa kunisaidia nitafurahi, natanguliza shukurani..
Nenda Tanesco ofisi iliyo karibu nawe ukaombe ukawe hata S.T.E ila hiko cheti chako cha DIP wasikione maana hawaruhusiwi Technician kuwa S.T.E maana ni level kubwa kwa Tanesco.Kila la kheri mkuu
 
C

charlesfundi

Member
36
95
Kama una fani hiyo. Huwezi ukanishauri kuhusu ngombe Wa Maziwa.nahitaji niwe na kijiwe cha ufugaji tarime na hapo Mza.itapata angalau hata Milioni kama utanisimamia kazi Yangu vizuri mkuu. Ni wape nipate mbegu nzuri ya kutoa angalau Lita 30 kwa Siku.pia banda la ngombe likaaje. Banda la kuhifadhia chakula chao. Pia na ile MASHINE ya kukatia nyasi na kuzifunga mkuu.kikubwa ni mbegu nzuri na matunzo yake
Kwanza kabisa Mura amang'ana maana naimani sote tutakua kabila moja dhaa kuhusu mambo ya mifugo na kilimo sina ujuaji kabisa sema kuna mkuu ida mmoja was idara ya mifugo yuko sehemu ayo ndo mambo yake labda nicheki number take nikupe anaweza kukushauri Mura.
 
C

charlesfundi

Member
36
95
Nenda Tanesco ofisi iliyo karibu nawe ukaombe ukawe hata S.T.E ila hiko cheti chako cha DIP wasikione maana hawaruhusiwi Technician kuwa S.T.E maana ni level kubwa kwa Tanesco.Kila la kheri mkuu
Sawa mkuu sema sasa ivi kidogo mambo yame badilika baada ya kula kitu kuhamishiwa utumishi ata hizi nafasi za STE zimekua ngumu sana ila nitajaribu shukurani sana
 
M

Mpombote

JF-Expert Member
1,850
2,000
Sawa mkuu sema sasa ivi kidogo mambo yame badilika baada ya kula kitu kuhamishiwa utumishi ata hizi nafasi za STE zimekua ngumu sana ila nitajaribu shukurani sana
Nafahamu nilichokushauri we nenda mzee S.T.E haihusiani na UTUMISHI kila la kheri.
 
fungi6

fungi6

JF-Expert Member
248
250
ujawaza kujiajiri mkuu ivi? why uajiriwe akati level uliyo ni cream????
 
Jiwe Jr

Jiwe Jr

JF-Expert Member
499
1,000
Nenda Tanesco ofisi iliyo karibu nawe ukaombe ukawe hata S.T.E ila hiko cheti chako cha DIP wasikione maana hawaruhusiwi Technician kuwa S.T.E maana ni level kubwa kwa Tanesco.Kila la kheri mkuu
Mkuu wanachua wenye level gani s.t.e mkuu na mm nina saka kaziii ni electrician

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Forum statistics

Threads
1,424,986

Messages
35,078,036

Members
538,184
Top Bottom