mimi

  1. Asemavyo

    JamiiForums Tanzania Amenifungia nguo na kuweka kwenye begi eti nimpishe kwake japo kodi nalipa mimi

    Mkuu Naomba unisaidie kuomba ushauri huko Ni week sasa nimempisha lakin anaomba msamaha nirudi Ishu yenyewe iko hivi, mwaka huu nilimpata Dada mmoja nesi tukapendana nilikuta amepanga nyumba, nami kwakuwa nilikuwa kwenye shughuli za kikazi maeneo yale nilikuwa nimefikia nyumba ya wagen kabla...
  2. CONTROLA

    JamiiForums Tanzania Mshamba mimi sijawahi kwenda Club/disco, washamba wenzangu tukutane hapa!

    Kusema ukweli tangu nazaliwa sijui kitu inaitwa club au disco naskiaga tu hii kitu ila binafsi sijawahi kabisa kwenda disco nikajua kupoje au huwa kunakuaje,ninachokumbuka nikiwa shule moro kuna Shule yetu ilikua ni ya boys tupu (st fransis) ila pembeni ya shule yetu mtaa huo huo kuna shule...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari. Natafuta kazi

    Mimi ni mwalimu wa Biology na Chemistry ngazi ya Diploma ya elimu ya sekondari kutoka Chuo cha Ualimu Klerruu-Iringa. Pia nina ujuzi wa ICT in education. Ni mwalimu ujuzi na uzoefu wa kutosha. Natafuta kazi ya kufundisha masomo tajwa hapo juu na ICT. Kwa anayetamani nifanye nae kazi ili...
Back
Top Bottom