Lijualikali: Mimi ndio nimeitoa CHADEMA mbali na kuifanya ijulikane Kilombero, watu walikuwa hawaijui

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,874
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.

Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.

Maendeleo hayana vyama!
 
Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
IMG_20200524_125954.jpg
 
Based on my intellectual capacity and my vast knowledge, tactically and tentatively, right from the beginning of times especially in the light of Ecclesiastes evolution I have come to a concrete, definite and profound conclusion that I actually have nothing to say as I am deeply hurt with this man.

Mkulima wa mahindi
 
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.

Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hii tumsaidieje? Mbona Amalia lia
 
Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Suti na perfume kajifunzia cdm,imempa pesa magari nyumba mke mashamba sema hulka yetu waswahili kutokuwa na shukrani,bila cdm asingeweza kuvipata.Angekuwa kijiweni anaendesha bodaboda
 
U
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.

Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.

Maendeleo hayana vyama!
Ye amevuna ngapi cdm
 
Huyu masikini mtamtumia sana kwa vile kaamua kujinyea mwenyewe , hebu muangalie hapa alivyo , huyu ndio wa kuitoa mbali Chadema ?
View attachment 1458858
Umenifanya nichefuke roho na kupata hasira, siku zote masikini ndio mwenye dhambi kwa sababu uongo ni yeye,uchawi ni yeye,roho mbaya ni yeye,chuki ni yeye, Uroho ni yeye na visasi ni vyake,
 
😂😂😂😂😂😂😂

Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.

Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.

Maendeleo hayana vyama!
 
Snitch,
Kashindwa kulinda hata siri ndogo aliyonayo chakushangaza anaweza pewa nafasi muhimu ndani ya nchi.

Lissu (another snitch of Tz).
We have so many snitches in our country.
 
Mbunge wa Kilombero kupitia Chadema na sasa ameomba kuhamia CCM mh Lijualikali amesema wanaomsimanga mitandaoni na kudai Chadema imemtoa mbali hawajui wasemalo.

Lijualikali amedai yeye ndio ameibeba Chadema Kilombero kwa sababu ilikuwa haijulikani hivyo wanapaswa kumuheshimu na kumshukuru.
Lijualikali amesema alikuwa anatumia fedha zake binafsi kuitangaza Chadema lakini leo shukrani ya punda imekuwa mateke.

Maendeleo hayana vyama!
Basi sawa, pongezi nyingi kwake kwa kubeba CDM.Atulie basi kulinda hiyo heshima yake ya kubeba chana. Hata nape naye aliwahi kusema aliitoa CCM shimoni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom