Nionavyo mimi: Miaka kumi ya Rais Magufuli umasikini utaongezeka sana

TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,138
2,000
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.

Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.

Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.

Sera ya awamu ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.

Wazabun wa serikali wengi wanalipwa mwaka huu tangu mwaka 2015 watu wamedai mpaka wengine umauti umewakuta, hakuna asie juwa ukifanya biashara na serikal unapata faida na pia in create job ila makampuni mengi kwa sasa yameondolew na hayajalipwa pesa zao biashara zimekufa kama uwamini nenda Brela uwauliz Rtn za makampuni mengi kama kwa miaka mitano wameziona? Wengi wamedai mpaka nakampuni wamezifunga.

Biashara ka clearance agency ndio kama imekufa maana serikali imeanzisha chombo , jiulize hizi agency zinaenda wapi? Maelfu Maelfu ajira zimepotea hii sio Afya ni umasikini ktk taifa.

Mifuko ya hifadhi nikweli ilikuwa hoi ila siomifuko yote mfuko kama ppf kabla yakuwa pssf ilikuwa vizuri sana lakini leo unaambiwa wastaafu wanahaha. Kupata mafao yao hivi mtu anafuwatilia mafao yake 2yrs kweli huu niumasikini naukikuwaji wa sheria za kazi. Jambo lakushangaza wanasiasa watalipwa mafao yao haraka wakati mnyonge akihangaikia mafao mpaka anakufa kwa presha.

Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.

Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.

Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikini na wananchi watazidi kuwa masikin zaidi kiasi watu watashindwa kununua chupi hasa vijiji, sio kukosa chup ila pia nguo ita kuwa shida why mmebana sana mkasahau pia magendo hupung ukali wa maisha yes taifa hili bado ni changa na yale tunayafanya ktk sera hizi za utawala wa awamo ya Tano kama hatuto angalia vizuri basi hili taifa linarudi pale alipo tuacha Hayati baba wa Taifa.
 
Noti bandia

JF-Expert Member
May 3, 2020
247
500
Watu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu.

Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Hata viwanja ilifikia hatuna kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha?

Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
 
mng'ato

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
24,410
2,000
BADO NAULIZA HIVI ILE MAHAKAMA YA MAFISADI HAIJAANZA KAZI RASMI?
Fisadi mkuu alisharudi kwny chama chake cha zamani na Mwenyekiti wa Chama akampokea huku akamsifia akisema huyu mzee wa watu ni mstaarabu sana sana na hata wkt wa Kampeni hakuwahi kunitukana.
So for the mean time hakuna wa kumshitaki kwny mahakama ile..
 
Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
50,354
2,000
Watu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu. Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Ht viwanja ilifikia hatua kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha. Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
Awamu hii ndio pesa imechotwa kuliko awamu zote, ndio maana wanatumia nguvu nyingi kufunika
 
Missile of the Nation

JF-Expert Member
May 24, 2018
5,931
2,000
Mleta mada umeweka mada ya msingi sana
Approach za Magufuli ni kuweka MAVITU na si kunyanyua hali za WATU
Ndiyo maana yuko tayari kuumiza watu ili mavituvitu yake yaonekane

mfano kubomoa nyumba za watu wakati kuna stop order ya mahakama ili ajenge barabara njia nane

Kuacha Korona isambae ilimradi tu akusanye kodi akajenge mamiradi yake

Kuingilia biashara ya Korosho ili serikali yake ipate mihela mingi kupitia mgongo wa wakulima ili akajenge mavituvitu yake
 
Noti bandia

JF-Expert Member
May 3, 2020
247
500
BADO NAULIZA HIVI ILE MAHAKAMA YA MAFISADI HAIJAANZA KAZI RASMI?
Nyie chadema mnaongozwa na viongozi vilaza sana ndio tatzo. Mahakama ya mafisadi ya nn wakati mafisadi mlishawasafisha jukwaani. Haiwezekani mumtaje mtu ni fisadi kwa zaidi ya miaka kumi alafu kakatwa kwenye chama cha ccm eti nyie mnamuokota na kumsafisha tena na kumpa nafasi ya kugombea uongozi😂😂😂bure kabisa nyie. Inamaana hamna hata mikakati ya kuandaa viongozi wenu
 
TumainiEl

JF-Expert Member
Jan 13, 2010
4,138
2,000
Watu tuliishi kwenye maisha yasiyokuwa na uhalisia. Mkwere aliwalambisha asali sahv haipo mnalialia tu. Hebu fikiria watu walivyokuwa wanajichotea pesa za serekali na kufanya maisha yaonekane mepesi kwa watu sahivi mirija ya kijinga imebanwa mnalialia mtandaoni. Ht viwanja ilifikia hatua kwasababu watu wanajiokotea pesa kiholela wananunua hata viwanja mia moja kwa bei kubwa Sasa hapo mnyonge angewezaje hayo maisha. Sasa hv ht heka moja unaipata kwa milioni tatu ndani ya manispaa
Sikia nikweli uyasemayo ila angalia kwa mapana hathari ya kiuchumi kwa wale sio mafisadi pili lipo kundiktk utawala wake wanakula nchi nani asie juwa? Sasa kama mafisad wapo wapelekwe mahakama ya mafisadi ambayo kwa miaka mitano Sina uhakika imefanya kazi.
 
denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
1,144
2,000
- Wastaafu hawalipwi mafao yao.

- Wafanyakazi hawaongezwi mishahara/kupandishwa madaraja.

- Uwepo wa miradi mingi mikubwa inayotafuna pesa za walipakodi mfano. SGR, Stiglers, Bombardier.

- Wengi kufunga biashara zao kwasababu wateja hawana pesa mifukoni.

- Wengi kupoteza ajira kwa sababu ya janga la Corona, na serikali kushindwa kutoa stimulus package.

- Pesa nyingi za walipa kodi kupotea bila kutolewa maelezo yoyote ya maana mfano. 1.5 trillion. Hizi kama zingetumika vizuri zingesaidia kukuza uchumi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eliphaz the Temanite

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
3,015
2,000
Nimekaa nakutafakari sana pamoja na kuchambuwa sera na mikakati ya serikali y awamu ya tano ninachokiona huko mbeleni hali ya watanzani kwenye kipato itakuwa mbaya sana jambo pia litasababisha ukosekanaji wa ajira.

Mkuu wa Taifa aka buludoza la mafisadi ataenda pia kuubuludoza uchumi kwakuwa sera zake haziangalii taifa lina hazina kiasi gani na maamuz yake yame elemea zaid kwenye ujenzi wa mager projects jambo ambalo ktk uchumi lina faida za muda mrefu wakati nyuma ukiwaacha watu na umasikini mkubwa na kukosa kaz ktk sector nyingine.

Unapojenga miundo mbinu mikubwa unatengeneza ajira zaid kwa kada fulan kwa wananchi wa sehem fulan. Huwez jenga daraja mwanza ukawafaidisha wana shinyanga lazima ajira zitaenda mwanza zaid kwa mafundi na Eng while wachumi na dk wakiwa hawana ajira au wamechukuliwakidogo.

Sera ya awamo ya Tano itayasinyaisha mabank nakupunguza watu ktk sector hii na sote ni mashahidi vile bank zimefungwa na kuunganishwa while watu wakiachishwakazi ktk kipindi cha kuanzia 2015-2020. Huitaji tochi au mwanga wa juwa kuona Kule tunaelekea na kile kinaenda tokea. Mbaya nikuwa data imekuwa kitu hadim na hili linakuwa msumari wa moto kwenye kidonda.

Ukienda kariakoo utashangaa kuwa Zile biashara tulikuwa kwenye process kuzi rasimisha tupatekodi wengi wamebadilisha mbinu mtu anaona bora aweke mzigo barabarani alipe kitambulisho cha machinga kuliko awe na mlango hili limesababisha kariakoo kuwa soko la wa chuuzi Wala sio soko la kimataifa hii inamanisha nn kwa wachumi? Hii sio ishara nzuri kwa uchumi inamanisha Dalili mbaya kuwa una watu wengi wasiofanya biashara maeneo rasmi. Jambo ni hatari pata picha ya kariakoo 2014 na picha ya 2020.

Idadi ya walio malizachuo na waliopo mtaani inatisha Sina huwakika ikiwa hata theluthi yao wameajiriwa na ukweli ni kwamba hamna ajira tunajenga miundo mbinu hivyo tuna idadi kubwa vijana wasio ajiriwa jambo ni hatari Kule tuendapo.

Mfumo wa Tra ktk sheria ya kodi Tax administration act 2015 from sec 67 and sec68 ni msumari wa moto na kaburi la wafanyabiashara wengi ambao wamejikuta wakiamka masikini. Taifa litakuwa masikin kama sera hizi hazito angaliwa upya
We have moved from easy money.... To hard earned money by working..... There is no longo longo as it used to be..... So suck it!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom