Kama Kanali analia mimi ni nani?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,362
12,706
Kauli hii ya Rais iliharakisha nami kulia. Imeharakisha niuone haraka upande wa pili wa Rais JPM, na imeharakisha watu kumuona vingine Rais wao.

RIP BWM, mbele yako nyumba yetu, siku zetu sio nyingi.

Misiba inatupatia formula ya kuishi hapa duniani, maana wote iko siku tutakufa.

Maswali ni je,
1. Unataka watu wakukumbuke kwa yapi?
2. Unataka watu wengi walie siku ukifa?
3. Unataka ukifa watu wengi wahudhurie msiba wako
4. Wanaokutegemea ungependa waendelee na maisha yao kivipi bila wewe?, umewaachaje?
5.Mali na vitu vyako vitumiweje na nani?
 
Watu wanaolia msibani wana yao moyoni..sio Kila msiba utakugusa moyo..
 
Jitu limejiunga siku nyingi ila linaandika ujinga. Mada yako inalenga nini hasa, kuliliwa kwenye msiba?
Ina maana kuwa watoto wanaweza kulia kwakuwa baba yao analia hata kama hawakutaka kulia. Lakini yako masharti na majukumu ya kutimiza kama utataka watoto pia walizwe na tukio husika.
 
Kauli hii ya Rais iliharakisha nami kulia. Imeharakisha niuone haraka upande wa pili wa Rais JPM, na imeharakisha watu kumuona vingine Rais wao.

RIP BWM, mbele yako nyumba yetu, siku zetu sio nyingi.

Misiba inatupatia formula ya kuishi hapa duniani, maana wote iko siku tutakufa.

Maswali ni je,
1. Unataka watu wakukumbuke kwa yapi?
2. Unataka watu wengi walie siku ukifa?
3. Unataka ukifa watu wengi wahudhurie msiba wako
4. Wanaokutegemea ungependa waendelee na maisha yao kivipi bila wewe?, umewaachaje?
5.Mali na vitu vyako vitumiweje na nani?
Futuhiii ndio ni Futuhi.
 
Halafu mnapaswa mjue pia JPM & JMK ni watani wabobezi, hivyo alivyomtania kanali kuwa kalia wasiomjua JPM waliingizwa king 😂😂

Hao jamaa baada ya msiba walienda kupata mvinyo sasa kilio kipo wapi hapo😒
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom