mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. daktarii

    JamiiForums Tanzania Ng'ombe wangu hawashiki mimba

    Habari ! Ngombe wangu wana tatizo. Kwanza walikua wanamimba wote wawili, then zlivyofika miezi minne - mitano zikatoka wote. Baada ya hapo wamekua wakiingia joto lakini kila nikiwapandisha hawashiki mimba wote na ndama wao wameshakua wakubwa wanakaribia mwaka, still ng'ombe bado wanakamuliwa...
  2. The Conscious

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tuwe tunaanzisha mahusiano na wanawake tunaowapenda ili tukiwapa mimba tusiwakimbie

    Habari wanandugu wa JF, Sorry kama nitashindwa kuhusianisha heading na content Lengo langu kwenye huu uzi ni kuwa kumekuwa na wanawake wengi ambao wametelekezewa watoto au mimba hii hutokana na sisi wanaume kuhitaji sex tu. Ila matokeo ya hiyo sex tunayajua ila huwa hatuyataki unakuta mwanaume...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tumechoka sasa! Hawa wanawake wanaosingizia watu mimba pia nao washtakiwe

    Habari wadau, Nimepokea kwa masikiriko taarifa za diwani wa chadema pale Hai kuachiwa huru baada ya kubambikiwa kesi amebaka na amempa mimba msichana sasa toto limezaliwa DNA sio zake jamaa kashinda kesi kilaini kabisa; sasa najiuliza upande wa pili wa shiling kwanini wanawake watumike kisiasa...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Kutoka kwa mimba: Fahamu sababu na Dalili zake

    Kutoka kwa mimba changa ni nini? Miscarriage au kutoka kwa mimba changa ni kupoteza ujauzito kabla haujafikia wiki ya 20. Jina la kitaalamu kwa upotevu huu wa ujamzito mchanga ni “Spontaneous abortion” ikimaanisha “upotevu mimba wa ghafla”. Zaidi ya asilimia 80 ya upotevu mimba changa hutokea...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Askofu Nkwande: Bungeni sio mahali pa kufanya mambo ya mzaha au kuongelea utoaji mimba na mapenzi ya jinsia moja

    Askofu mkuu wa Jimbo Kuu la Mwanza, Renatus Nkwande amesema bungeni ni mahali patakatifu na si pa kwenda kufanya mzaha na kuzungumza kuhusu uzazi wa mpango, utoaji mimba au mapenzi ya jinsia moja. Ameeleza hayo Ijumaa Machi 26, 2021 katika ibada ya mazishi ya Rais wa Awamu ya Tano wa Tanzania...
  6. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Zambia walipojaribu safari ya Mars na mwezini, na mwanaanga wao alipoishia kupata mimba (1960s)

    Haikuwa tu Amerika na Umoja wa Kisovyeti katika mbio za kuufika Mwezi na Anga za mbali katika miaka ya 1960. Kifungu cha habari katika jarida la Time 1964 kilichoelezea kuhusu uhuru wa Zambia kilijumuisha habari nyingine kuhusu mtu mmoja ambaye hakufurahi sana juu ya sherehe hizo za uhuru...
  7. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanafungwa na kuteseka magerezani kwa kubambikiwa mimba na wanafunzi. Je, ushahidi wa mhanga unatosha kumtia hatiani mtuhumiwa?

    Wanabodi hili suala ni changamoto kubwa sana katika jamii. Utakuta binti anaanza mapenzi bado mdogo, tena yupo primary school au secondary school. Wazazi wanajua nini kinaendelea. Maana binti kama analiwa huwa hajifichi. Mara ghafla anapata mimba. Ili kuondoa aibu wazazi wanajifanya kwenda...
  8. kavulata

    JamiiForums Tanzania Vituo vya Television na Radio vinachangia mimba za utotoni nchini

    Haingii akilini kusikia eti chombo cha habari kama Radio (hasa za FM) na television (hasa za vijana) vinaendesha kampeni ya kuzuia ngono na mimba kwa vijana wakati huohuo vinahamasisha vijana kufanya kijiingiza kwenye mapenzi. Imefahamika kuwa watoto wengi huwa hawasikilizi na kuangalia Radio...
  9. Brigit86

    JamiiForums Tanzania Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

    Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza tumboni!

    Habari wakuu Mke wangu ana mimba ya miezi mitatu na wiki mbili ila mtoto anacheza! Je, hili sio tatizo?
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimsaidie atoe mimba au nikaushe

    Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends na Salam fupifupi Kanzia mwezi Novembea mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za Utotoni: Ushauri kwa vyombo mbalimbali vya Serikali

    Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika. Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
  13. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Binti alimaliza form 4 mwaka 2018 na kapewa mimba mwaka huu na kudai anasubiri kuendelea shule, je ni kosa

    Wanasheria hebu tusaidiane hapa. Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5. Je, hii ni kesi ya kumpa mimba mwanafunzi?
  14. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kujenga sekondari mpya zaidi ya 1000 ilihali za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba?

    Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26. Shule nyingne zaidi...
  15. Omuzaile

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anaweza kupata mimba huku akiwa anatumia vizuizi vya mimba?

    Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
  16. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ijue hatari ya matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

    Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’. Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba. Miongoni...
  17. Limbweni

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
  18. MSAGA SUMU

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Swali: Mimba iliyoingia terehe 4-18 inaweza kuonesha dalili zozote?

    Swali dogo tu, Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu? Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi, msaidieni. Natanguliza shukrani.
  19. M

    JamiiForums Tanzania Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

    Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
Back
Top Bottom