Ni mimba au wasiwasi wangu tu?

Brigit86

Member
Feb 26, 2018
47
59
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo?

Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa 😢


View attachment 1717493
 
heee, we vipi..! badala ya kufurahia kuepukana na huo usumbufu wa kutokwa damu kila mwezi na kupata hasara ya kununua pedi, we unalilia hiyo hali...!!
wenzako wanaigombania hiyo bahati uliyoipata wewe.
 
Uses

Alphaclav Duo Forte Tablet is used for the treatment, control, prevention, & improvement of the following diseases, conditions and symptoms
Google ingekua inaweza kutibu, ingekua bata sana.

Mtu mwenye gonorrhea huwezi mpa hiyo dawa ikamtibu akapona.

Na wala haitibu Typhoid, labda tu used for prevention.

Angalia Standard treatment guidelines, ndio utajua dawa sahihi ni ipi.
 
Asante, je hizi zitakua Ndio chanzo ??? Na ni dawa za nini?
Typhoid inaweza kusababisha hiyo hali ya kumiss menstrual period.

Ni kama mwanamke anapokosa chakula cha kutosha, mwili unaamua usizalishe yai la kike kwani mwili hauna uwezo wa kutunza Mimba kwa wakati huo.

The same na ukiwa na ugonjwa wa typhoid mwili unakua dhaifu kiasi cha kuacha kuzalisha yai la kike au kuchelewa tu kukamilika kwa yai la kike na mwisho period kuchelewa.

For confirmation: Pima ujauzito kujilidhisha
 
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa View attachment 1717493

Kwanini ukimbilie kuhisi mimba? Siku za karibun uliburudika? Ushaur wangu pima mimba ili utoe hiyo hofu na hepuka ku Google sana utajiongezea stress. La mwisho, tumia kinga na iwe funzo kwa wengine pia.
 
Nna wasi wasi sijapata siku zangu nimechelewa wiki ya pili sasa mpaka naanza kuhisi nna mimba lakini pia nahisi ni hizi dawa je inawezekana ni chanzo? Nlijiskia kuumwa nlipoenda kupima nkaambiwa mma typhoid laja nlipoanza hii dozi ni siku ambazo mzunguko wangu unaanza. Mwenye kufahamu a nijulishe mana sina amani, huwa napata dalili zote za P lakini wapi haianzi na imechelewa wiki ya pili sasa 😢View attachment 1717493
Acha kuuza mechi.
 
Back
Top Bottom