mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Nimsaidie atoe mimba au nikaushe

    Ipo hivi nilikuwa penzini na demu fulani hivi lkn mwaka Jana katikati tuliachana kimyakimya baada ya kustukia mauzauza kwenye simu yake so kila mtu akajua mambo yake lkn tuliendelea kuwa friends na Salam fupifupi Kanzia mwezi Novembea mwaka Jana akawa anazidisha mawasiliano na kuomba turudie...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za Utotoni: Ushauri kwa vyombo mbalimbali vya Serikali

    Vipeleleze shutuma za rushwa kuhusiana na kesi za ndoa za utotoni, kama ushahidi utapatikana iwaadhibu maafisa wa utekelezaji wa Sheria wanaohusika. Serikali ipanue Mahakama za Watoto, kama ilivyowekwa kwenye Sheria ya Mtoto, kwenye maeneo ya Vijijini na Mjini ili kuongeza upatikanaji wa...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Binti alimaliza form 4 mwaka 2018 na kapewa mimba mwaka huu na kudai anasubiri kuendelea shule, je ni kosa

    Wanasheria hebu tusaidiane hapa. Mfano binti alipata divisheni 3 mwaka 2018 na akawa mtaani sasa kapata mimba, yeye anasema bado ni mwanafunzi anasubiri kwenda form 5. Je, hii ni kesi ya kumpa mimba mwanafunzi?
  4. F

    JamiiForums Tanzania Kuna haja gani ya kujenga sekondari mpya zaidi ya 1000 ilihali za Sasa hazina nyumba za walimu, maabara na mabweni huku wasichana wakipigwa mimba?

    Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara ikipata shule moja ktk hizo 26. Hapo naipongeza serikali kwa hilo la shule 26. Shule nyingne zaidi...
  5. Omuzaile

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anaweza kupata mimba huku akiwa anatumia vizuizi vya mimba?

    Habari za humu wana jukwaa, naomba kuuliza, hivi mwanamke anaweza kupata mimba na huku akiwa anatumia uzazi wa mpango(kuweka plastic ndani ya uke)?
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ijue hatari ya matumizi holela ya vidonge vya kuzuia mimba

    Ujana ni maji ya moto. Ni msemo maarufu ukiwalenga vijana wakiwamo wasichana ambao ujana wao unawasukuma kujiunguza kwa ‘maji ya moto’. Hata hivyo kwa muktadha wa habari hii, maji haya ni kitendo wanachokifanya wasichana hao kutumia njia mbalimbali hata zisizo salama ili kuzuia mimba. Miongoni...
  7. Limbweni

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wakipeana mimba Sheria inasemaje?

    Kama kichwa cha habari kinavyouliza Je, Wanafunzi kwa Wanafunzi Wakipeana Mimba je kwa upande wa Sheria upoje Maana kuna Mwanafunzi wa Darasa la Tano kapewa Mimba na Mwanafunzi wa Form Four huko Wilaya ya Ulanga halafu hakuna kilichojiri.
  8. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Swali: Mimba iliyoingia terehe 4-18 inaweza kuonesha dalili zozote?

    Swali dogo tu, Eti mimba iliyoingia terehe 4 mwezi mpaka terehe 18 mwezi huu inaweza kuonesha dalili zozote kama kichefuchefu au kutapika? Je, ujauzito unaweza kupimwa wakati huu? Kuna dogo ameniuliza haya maswali sasa hivi, msaidieni. Natanguliza shukrani.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Bima ya NSSF haihudumii mimba ya miezi sita kushuka chini?

    BIMA YA NSSF HAIHUDUMII MIMBA YA MIEZI SITA KUSHUKA CHINI. Habari zenu ndugu zangu! Kuna ukweli au milolongo tu ya hpa na pale, nilimpeleka mke wangu hospital ya DAR GROUP pale tazara kwa matibabu ya tumbo yaliyodumu kwa siku mbili akiwa kwenye hali ya ujauzito, lakini cha kushangaza...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni sio changamoto pekee kwa Watoto wa kike

    Mbali na suala la mimba za utotoni imebainika pia kwamba changamoto nyingine wanazokumbana nazo watoto wa kike ni pamoja na ukosefu wa taulo pindi wanapokuwa katika siku zao. Baadhi ya Familia, Koo na Makabila kuendeleza mila ya kutoa kipaumbele kwa Mtoto wa kiume kwenye fursa za maendeleo...
  11. Ommossani

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kuhusu hili la mimba

    Wapendwa habar za jumapili, Ninapata changamoto naombeni ushauri kwa wanaojua vyema. Mke wangu amejifungua mara mbili, zote kwa kisu, kwa sasa ananyonyesha mtoto wa mwaka mmoja ila tumejichanganya ana ujauzito wa mwezi mmoja na hatukua tayari kwa swala hilo kwa sasa coz bado wato ni wadogo na...
  12. Hisha Sorel

    JamiiForums Tanzania "Baba" Diamond awe fundisho tosha kwa wanaume mnaosumbua wanawake wakipata mimba: msikimbie mimba, wala msizingue kama wazazi

    Nashangaa sana ninapoona wanaume wanamtetea yule mzee! Kwani angekuwa karibu na mwanae (hata kama ni wa kumlea) angeweza kusukumwa na mkeo (mama diamond)? mi sidhani. Hivi angechukulia majukumu yake serious kama mzazi na kujitolea kwa asilimia 100% Diamond kweli angemsahahu? I doubt it...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Je, mwanamke anamjua mwanaume halisi aliyempa mimba?

    Hivi karibuni nimepokea Taarifa nzuri kwa kila mwanamme... Kuna binti mmoja nili do naye takribani wiki 2/3 tatu zilizopita. Hivi karibuni baada ya kuona mabadiliko ya kimwili akaenda kupima ujauzito na kukuta ana ujauzito wa wiki 2/3. Baada ya kugundua hivyo, moja kwa moja alinifata na kunipa...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mitaa na kazi zake kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Ibara ya 145.-(1) inaeleza kuwa :- Kutakuwa na vyombo vya Serikali za Mitaa katika kila mkoa, wilaya, mji na kijiji, katika Jamhuri ya Muungano, ambavyo vitakuwa vya aina na majina yatakayowekwa na sheria iliyotungwa na Bunge au na Baraza la Wawakilishi. (2) Bunge au Baraza la...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mabweni shule za kata yanaweza kuzuia mimba kwa wanafunzi

    Kwa miaka ya hivi karibuni, tatizo la mimba kwa wanafunzi katika shule nyingi za sekondari za kata, na hasa zile zilizopo maeneno hya vijijini, limekuwa moja ya maadui wakubwa wa elimu na maendeleo ya watoto wa kike. Aidha, takwimu za Utafiti wa Idadi ya Watu na Afya Tanzania wa Mwaka 2015-16...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Argentina yapitisha muswada wa kuhalalisha utoaji wa mimba

    Baraza la seneti la Argentina, limepitisha mswada wa sheria wa kihistoria unaohalalisha uavyaji mimba katika taifa ambalo Kanisa Katoliki limekuwa na ushawishi mkubwa kwa muda mrefu. Argentina imekuwa miongoni mwa kundi dogo la nchi za Amerika Kusini kuchukua hatua hiyo. Muswada huo...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Athari za Kisaikolojia kwa Wasichana wanaobeba mimba katika umri mdogo

    Mimba za utotoni zinaathiri mwenendo na tabia za Msichana ambapo asipopata matibabu ya kisaikolojia uwezekano wa kufanya ukatili akiwa mtu mzima ni mkubwa Mimba ina madhara mengi zaidi, Msichana anaweza kumkataa, kumkimbia #Mtoto. Lakini anapokuwa na huyo mtoto uchungu unazidi kwahiyo anaweza...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Wale wenye waume waliowatia mimba binti zao wa kazi mje tushauriane

    Idadi yao yawezafikia watatu, ingawa mmoja alikanusha. Ila wawili nina uhakika maana alikubali na kuomba msamaha. Tuna miaka zaidi ya kumi ndoani. Kazi yangu ni ya kusafiri sana. Saikolojia yangu imeathirika ikiwemo kutojiamini na pia pressure.
  19. mwanamwana

    JamiiForums Tanzania Kumbe Harmonize joka la kibisa! Mkewe aanika wazi kuwa hana uwezo wa kumpa mwanamke mimba

    ''Kukubali mtoto ambaye unajua kuwa siyo wako kisa huna uwezo wa kutunga mimba, Huo ni ''USHAMBA'' Msanii Harmonize kutoka Konde Gang siku ya jana alimtambulisha mwanaye wa kike ambaye anadai kumficha kwa takriban miezi 19. Harmonize amedai kuficha mtoto huyo ili kulinda mahusiano yake na...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Mimba za utotoni: Visababishi na miiko ya wahenga

    Swala la mimba za utotoni limekuwa ni jambo lenye utata kwenye jamii nyingi ndani nanje ya Afrika. Utafiti wa shirika la afya duniani (WHO) unaonyesha kwamba wasichana milioni 16 wenye umri kati ya miaka 15 hadi 19, na wasichana milioni 1 wenye umri wa chini ya miaka 15 huwa wahanga wa mimba za...
Back
Top Bottom