mimba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Serikali: Wanafunzi waliopata mimba kuendelea na Masomo katika mfumo rasmi

    Waziri wa Elimu Prof. Ndalichako amesema Wanafunzi wa Shule za Msingi/Sekondari watakaokatisha masomo kwa sababu mbalimbali ikiwemo utoro, mimba na changamoto za kifamilia watapewa nafasi ya kurejea Shuleni katika mfumo rasmi “leo leo natoa waraka zege halilali" ====== Waziri wa Elimu, Prof...
  2. chaz beezz

    JamiiForums Tanzania Inaniuma sana, katoa mimba yangu kisa mama yake hanipendi

    Ni mda Kama wa miaka mitatu Sasa inaenda niko na uyu binti kwenye mahusiano tulipendana Sana nakufikia kuweka malengo ya kuwa mume na mke hapo baadae. Mwezi uliopita aligundulika anaujauzito wangu wa mwezi mmoja tulikaa tukakubaliana tuulee uo ujauzito basi mambo yakapita nikaanza kupambana...
  3. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa nchi ya Urusi imepitisha siku maalumu ya kupeana mimba?

    Katika hotuba yake ya Hali ya Taifa hilo ya mwaka 2006, Rais wa Urusi Vladimir Putin alitaja janga la idadi ya watu kuwa ni tatizo la dharura zaidi linaloikabili Urusi na akatangaza jitihada za kuongeza kiwango cha idadi ya watu na kuongeza uzazi kwa Urusi, ikiwa ni pamoja na kutoa motisha ya...
  4. U

    JamiiForums Tanzania Simanjiro: Auawa Kikatili kwa kukatwa katwa na mapanga kwa kumpa ujauzito Mke wa mtu

    Simanjiro Manyara Mke wa mtu ni sumu walisema wahenga sote tujihadhari Mkazi wa Simanjiro Mkoani Manyara ambaye ni Daktari wa Mifugo ameuawa kwa kukatwa mapanga baada ya mchepuko wake ambaye ni mke wa mtu kukiri Ujauzito alionao sio wa mumewe bali wa mchepuko huyo Ndugu wa mume aliyeibiwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Chanjo za COVID-19 hazisababishi mimba kuharibika

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinahimiza wajawazito wote, wanaofikiria kuwa wajawazito na wale wanaonyonyesha kupata chanjo ili kujikinga na #COVID19. Utafiti umegundua kiwango cha kuharibika kwa mimba baada ya chanjo ya #COVID19 ni sawa na kiwango cha kuharibika kwa mimba...
  6. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Watu maarufu waliopata vifungua mimba 2021

    Ni matamanio na furaha ya kila mwanandoa kubarikiwa na watoto wenye afya, baada ya safari ndefu ya ujauzitoMwaka wa 2021, tumeona na kushuhudia baadhi ya watu mashuhuri ambao wamebarikiwa na vifungua mimba wao. Hii hapa baadhi ya orodha ya watu waliobarikiwa na watoto wa kwanza mwaka wa 2021...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Hivi mimba ya miezi miwili tu inaweza kumfanya mtu akawa na hasira na kiburi?

    Habari wapendwa? Nina mtu wangu ana mimba ya miezi miwili tu but amebadilika sana, kawa na hasira za ghafla na kiburi hatari. So nauliza,kwa umri wa hiyo mimba ni sahihi kwa yeye kuwa hivyo au analeta maigizo tu?
  8. SubTopic

    JamiiForums Tanzania Swali: Je, Mwanamke wa Kizungu huwa anakula Udongo pindi anapopata Ujauzito?

    Hili suala la baadhi ya Wanawake wa Kiafrika kupenda kula Udongo kipindi cha Ujauzito ni kitu cha kawaida kabisa. Vipi kuhusu wazungu, je nao hula udongo kipindi cha ujauzito? Mwenye majibu anisaidie hapo.
  9. Jerlamarel

    JamiiForums Tanzania Inasemekana MalkiaKaren ana mimba ya Diamond Platnumz

    Msanii MalkiaKaren ambaye ni mtoto wa mtangazaji nguli hapa Tanzania, Gadner G Habash ana ujauzito mkubwa tuu ambao hata ukisikia kajifungua kesho wala usishangae. Mwenye mzigo inasemekana ni mnyama bin laden simba. Wadau wa kufukunyua hebu mje hapa, tupeni undani wa hii tetesi.
  10. Dr Lizzy

    JamiiForums Tanzania Hakunaga mimba ya bahati mbaya

    Kiukweli the so called "mimba za bahati mbaya" ni janga.... Ndio sababu kuu ya mabinti kutoa mimba hovyo, wanaume & wanawake kulazimishwa/lazimika ku-commit kwa watu ambao hawakua na nia nao, watoto wa mtaani, single family households kuongezeka na mengine mengi. Sadly mara nyingi kama sio...
  11. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini

    Mimba za utotoni kikwazo kwa mabinti wengi vijijini Habari wanajamvi, Naomba kuwasilisha kwenu andiko hili kuhusiana na changamoto ya mimba za utotoni. UTANGULIZI Tunapozungumzia mimba za utotoni tunamaanisha ni ile hali ya kuwa na ujauzito kwa binti yeyote ambae hajatimiza umri wa miaka 18...
  12. raiswenu

    JamiiForums Tanzania Utafanyaje ukigundua mimba yako ilitaka kutolewa ili usizaliwe?

    Umeshakuwa mtu mzima sasa unajitambua, harakati za maisha zinaendelea kama kawaida, mara unakuja kugundua kuwa wewe ni abortion survivor, mama yako alitaka kuitoa mimba yako. Na wahusika ni baadhi ya ndugu unao ishi nao. How will you react? Iko hivi nakumbuka nilikuwa kwenye...
  13. MissRaya

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli p2 inazuia mimba?

    Habari za mda huu, naamini ni wazima wa afya na kama yupo anaeumwa Mungu atampa nafuu. Niende kwenye point, iko ivi nilisex na mme wangu siku 2 baada ya KUMALIZA hedhi, yaani zile siku ambazo ni salama ila alimwagia ndani😥 Ikabidi nitumie p2 mapema kabla ya masaa 24 kuisha. Yote ni kuhofia...
  14. M

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mateso na manyanyaso wanayopata wajawazito mahospitalini mwanzo hadi mwisho wa mimba

    Inashauriwa kuwa mara tu mwanamke apatapo mimba [ujauzito] aanze kuhudhuria kliniki kwa ajili ya kupatiwa vipimo, ushauri pamoja na kujua maendeleo ya mimba [ujauzito] wake kwa kuendelea kuhudhuria kliniki katika siku alizopangiwa hadi siku atakayo zaa [jifungua]. Binafsi ninaona kuwa utaratibu...
  15. T

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini?

    Mabadiliko ya mzunguko wa hedhi husababishwa na nini. Je, ni kweli husababishwa kutokushika mimba? Naomba tiba yake
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mexico: Mahakama Kuu yasema ni kosa kumshtaki au kumzuia Mwanamke kutoa Mimba

    Mahakama Kuu ya Mexico imeamua kuwa uhalifu wa utoaji mimba ni kinyume cha Katiba, kwa kura ya pamoja Jumanne, uamuzi ambao utawawezesha wanawake wa Mexico kote nchini kutoa mimba bila kizuizi. vigezo vya mahakama na Katiba, kumshtaki mwanamke anayetoa mimba katika kesi zilizoidhinishwa na...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Anadai ana mimba yangu, kutoa hataki, kulipa kodi hataki, kuhama hataki

    Nina kajinyumba kangu kadogo kakushikia kiwanja Goba kunguru, kana vyumba viwili vya kulala, sebule, chumba kimoja kina choo na bafu ndani na pia kina choo cha wageni jirani na sebuleni. Yaliyonikuta najuta kuzaliwa jamani, natamani nilie, kilio hakitoki, natatamani niende kwa Mwamposa nikanywe...
  18. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Pakacha la Mimba, Masomo na Maisha nimbebeshe nani?

    Nilipopata akili nilisimuliwa kuwa wazazi wangu walifariki nikiwa mdogo sana. Baba alitangulia na baadae Mama. Walezi wangu wakawa babu na bibi ambao ni wakulima kijijini Manda. Siku moja, nikiwa darasa la tatu walipita wageni nyumbani ambao walikuja kwa shughuli zao pale kijijini. Walisikia...
  19. L

    JamiiForums Tanzania SoC01 Unaweza kutoa mimba bila kujua mtoto unayemtoa na kumdhulumu uhai wake angekuja kuwa kama muokozi wa taifa

    Willis Austine Chimano, Bien Aime Baraza, Delvin Savara Mudigi na Polycarp Otieno ni wanamuziki kutoka nchini Kenya wanaounda kundi la Sauti Sol. Katika moja ya wimbo wao bora unaowavutia wasikilizaji wengi zaidi ni ule wa NEREA wa mwaka 2015 ambao waliwashirikisha Amos na Josh. Ndani ya wimbo...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kushika mimba?

    Habarini, Kuna mwanamke alikuwa anatumia uzazi wa mpango(vjiti), kakitoa mwezi wa 6, mwezi wa 7 tarehe 21-24 brdi,nikalala nae tar 28, mwezi huu, pia kaanza brid tar 11-14,nimelala nae Leo tar 21. Je, kuna uwezekano wa kushika mimba? Na kama ndio nitegemee jinsia gani ya mtoto?
Back
Top Bottom