michezo

  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania FIFA kujenga uwanja wa michezo kwa kila nchi mwanachama barani Afrika. Je unapendekeza mkoa/bei gani?

    Katika kukuza michezo barani Afrika,Rais wa FIFA ameanzisha kampeni ya kuhakikisha kwamba kila nchi mwanachama wa wake wa bara la Afrika inajengewa uwanja mpya wa kisasa ambao utakuwa mali ya shirikisho Kwa mujibu wa Rais wa TFF yeye amependekeza uwanja kujengwa mkoani yaani nje ya Dar na...
  2. jogijo

    JamiiForums Tanzania Ni kweli hii style ya kungonoka huwa inawaumiza wadada?

    Habari zenu wakuu, naomba niende kwenye mada yetu: Nina mpenzi wangu ambae kila tukiwa faragha michezo yote tutacheza na kwa style zote, lakini kuna hii style moja naona napataga wakati mgumu sana. Style yenyewe ni hii inaitwa doggy style. Swali langu: Je ni kweli kwa maumbile ya wadada hii...
  3. kabila01

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Habari na Michezo hamtutendei haki watu wa mikoani Mechi za Kitaifa

    Mara nyingi mechi kubwa kama hizi utakuta ni channel moja tu inayorusha live zingine uki-tune unakutana na story zingine na kama huna king'amuz chao mpaka uende bat au vibanda umiza. Wito wangu: Ili kukuza uzalendo kwa timu yetu ya taifa hasa kwa sisi wananchi wa mikoani ingependeza kama Chanel...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Tanzania: Ndairagije ataja kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2021

    Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021. Wachezaji walioitwa ni; :
  5. cheusimangala_

    JamiiForums Tanzania Michezo ni chachu ya muungano wa Tanzania

    APRILI 26 mwaka huu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inaadhimisha miaka 54 ya Muungano, tangu kuungana kwa iliyokuwa Jamhuri ya watu wa Zanzibar na ile ya Tanganyika, na kupata jina moja la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Muungano huo ulisimamiwa vyema chini ya viongozi wawili marehemu mzee...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

    Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo. Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na...
  7. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo asubuhi redioni

    Serikali ipige marufuku vipindi vya michezo redioni asubuhi. Haiwezekani asubuhi muda wa kazi ndio watu waaanza kuchambua michezo toka saa 2 asubuhi hadi saa 5, watu watafanya kazi saa ngapi? Muda wa kufanya shughuli za uzalishaji ndio watu wanasikilizisha watu vipindi visivyo na kichwa wala...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Kesho ndio uzinduzi wa kipindi Cha michezo wasafi media

    Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki wao na mgeni rasmi atakuwa waziri wa sanaa na michezo Harrison mwakiembe.ukiachana kuuzulia kwa...
  9. MBWAMBO NICHOLAUS JR

    JamiiForums Tanzania Kikosi cha Tanzania kitakachoumana na Kenya kufuzu CHAN

    Nini maoni yako
  10. Black Book

    JamiiForums Tanzania Unamfahamu yeyote aliyewahi kushinda michezo ya bahati nasibu?

    Wakuu... Karibu kila siku nasikia kila week kuna watu wanashinda million 10 mpaka 50 lakini binafsi sijawahi kuona ndugu, jamaa, rafiki au mtu yoyote wa karibu ninayemjua kashinda hata laki moja. Binafsi sijui hawa wanaoshinda hii michezo ni watu wa wapi mliowahi kushinda au kushuhudia mtu...
Back
Top Bottom