michezo

  1. Pastory Kimaryo

    JamiiForums Tanzania Michezo ya kubahatisha kama biko na tatu mzuka mmiliki wao ni nani na inafanyaje kazi?

    Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa. Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa inaendeshwaje kwa maana ya kuchagua namba na mambo mengine.
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uzinduzi wa Kampeni za CUF: Prof. Lipumba asema akishinda Urais atakuwa Rais wa 1 Tanzania kupewa tuzo ya Mo Ibrahim

    Mgombea Urais kupitia CUF, Prof. Ibrahim Lipumba amezindua kampeni za chama hicho Mkoani Mtwara ambapo ameahidi kuboresha Huduma za Afya kwa wajawazito na watoto, kuimarisha Uchumi wa Baharini (Uvuvi), Elimu bora na kuimarisha Soko la Nafaka na Mazao mbalimbali Prof. Lipumba amesema...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Natabiri mapema tu hapa kuwa Kipindi cha Michezo cha Wasafi FM Sports Arena cha Jumatatu 7 Septemba 2020 Mada Kuu itakuwa Kigangwala na Mo Dewji pekee

    Na hivi Watangazaji wake Waandamizi akina Maulid Kitenge na Yusuph Mkule bila kuwasahau na 'Wanafiki' wao wakubwa Kiutangazaji akina George Job na Musa Kawambwa kwa pamoja wote wakiwa Mashabiki wa Yanga SC hiyo itakuwa Siku yao ya 'Kuichokonoa' na 'Kuichamba' mpaka 'Kuichafua' Simba SC hasa...
  4. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Simba yamtangaza Barbara Gonzalez kuwa Mtendaji Mkuu wa Club

    Klabu ya wekundu wa msimbazi Simba imemchagua Barbara Gonzalez Kuwa Afisa mtendaji Mkuu wa klabu hiyo. Barbara amechaguliwa na bodi ya wakurugenzi ya Simba,anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Senzo aliyetimkia kwa wapinzani wao Yanga. WHO IS BARBARA GONZALEZ? Barbara Gonzalez is the head of...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Migahawa/sehemu zenye michezo ya watoto (amusement parks)

    Naomba kufahamishwa sehemu ambazo watoto wanaweza kwenda kucheza michezo mbalimbali, nazifahamu chache kama Fun City na Kunduchi Wet 'n Wild. Ukiondoa hizo kuna zozote nyingine ambazo zinafanya kazi kwa kipindi hiki ambacho watoto wengine wako likizo fupi. Natanguliza shukrani
  6. P

    JamiiForums Tanzania Aston Villa Yateua Mkurungezi Mpya wa Michezo

    Baada ya kumfuta kazi Mkurungezi wa Michezo wa zamani Jesus Garcia Pitarch.... kutokana na kutofanya vizuri katika ligi.... na kushindwa kusajiri wachezaji wa wiwango bora....Timu ya Aston Villa imemteua Jahan Lange....mwenye umri miaka 40...kuwa Mkurungezi Mpya wa Michezo....Bwana Lange anatoka...
  7. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Baada ya kampuni ya michezo ya kubahatisha ya Betika kunipatia pesa zangu nilizokuwa nikilalamikia kutopewa, sasa kwa hiari yangu ninafuta malalamiko

    Wakuu heshima kwenu, ni dhahiri sasa kampuni ya michezo ya kubahatisha betika ilikuwa na tatizo LA kiufundi na wala si matapeli kama nilivyokuwa nikiwafikiria. Hii ni baada ya kufanikiwa kutoa kiasi kikubwa cha pesa nilichoshinda baada ya kutabiri kwa ufasaha matokeo ya michezo ya Mpira wa...
  8. ommytk

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona watoto wa siku hizi hawachezi michezo tuliyocheza zamani kama kombolela?

    Wadau hili ni kuwa michezo tuliyocheza zamani imepitwa na wakati au kama vile ukuti, kombolela, rede, kibaba na kimama, magari ya udongo, kuendesha matairi au kufunga kamba na kuendesha kama basi unapakia abiria. Hii michezo sioni kwa watoto wetu wa sasa. Je, imepitwa na wakati?
  9. Mzukulu

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji wa Michezo Clouds FM Kipindi cha Sports Extra, Prisca Kishamba Wewe 24/7 anayekutumia Meseji Kipindini ni Mfungo Patrick wa Zimbabwe pekee?

    Yaani sasa mpaka Wasikilizaji wako huwa tunabeti kwamba ni lazima tu ukiwa katika Zamu ya Kipindi cha Michezo cha Sports Extra cha Clouds FM basi mwishoni ukiwa unasoma Meseji za Wasikilizaji wako ni lazima tu utamsoma Mfungo Patrick kutoka Harare Zimbabwe. Ina maana huyu Mfungo Patrick ndiyo...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wachambuzi wetu wa michezo wanakwama wapi

    Kwa wale mnaofatilia mipira ya nje namaanisha ligi za Ulaya au michuano ya kimataifa, kila baada ya mechi kunakuwa na uchambuzi wa timu na wachezaji binafsi kupewa makisi kutokana na uchezaji wao na wapi walikosea. Cha ajabu huku kwetu hakuna uchambuzi wa kitaalamu zaidi ya kusifia mchezaji...
  11. Mkogoti

    JamiiForums Tanzania Michezo: Serikali imezuia Mashabiki wa JKT Tanzania fc kuingia uwanjani kwa mechi zote zilizosalia kweye uwanja wa Jamhuri

  12. DullyJr

    JamiiForums Tanzania Sports Arena ya Wasafi FM ni moja ya kipindi cha hovyo cha michezo Bongo

    Labda niweke wazi kuwa sina chuki hata chembe na hiki kituo cha redio na wala sina utimu mimi....ila ukweli lazima usemwe ili ikiwezekana mabadiliko yafanyike. Awali kipindi hiki kilipoanzishwa niliahidi kuwa mdau mkubwa wa kipindi hiki cha michezo lakini kadri siku zinavyozidi kwenda nilianza...
  13. MIMI BABA YENU

    JamiiForums Tanzania Aliyozungumza Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbas

    Katika miaka hii mitano ya Serikali ya Awamu ya Tano kazi kubwa imefanyika. Sisi kama Serikali tumetimiza wajibu wetu, tunaiona nchi yetu inaendelea kupata maendeleo kwa kasi Serikali hii imehamasisha sana watu kulipa kodi na sio kulipa kodi tu bali waione thamani ya kodi wanazolipa...
  14. RAKI BIG

    JamiiForums Tanzania Kilichojiri barani Ulaya kwenye michezo

    Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City Leroy Sane Bayern Munich wanataka kumsajili winga wa Manchester City, raia wa Ujerumani Leroy Sane , 24,na Kai Havertz, 20, kutoka Bayer Leverkusen kama sehemu ya ''enzi mpya'' katika klabu, amesema Makamu Mwenyekiti. (Bayern1 via Evening...
  15. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu Zanzibar kufunguliwa Juni Mosi, Michezo kuanzia tarehe 5 Juni, 2020

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar inaungana na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhakikisha kuwa kuanzia tarehe 01 juni, 2020 vyuo vyote vya elimu ya juu vitafunguliwa na kuendelea na programau zao kama kawaida kwa upande wa Zanzibar. Hayo yameelezwe na Makamo wa pili wa Rais...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Rais Shein: Katazo la Shule kufungwa na michezo Zanzibar liko palepale hali ikiwa nzuri mtaambiwa na michezo na shule zitafunguliwa

    Rais wa Zanzibar Dr Shein amesema katazo la michezo nchini mwao liko pale pale na kwamba hali ya mapambano ya Corona ikiwa nzuri wananchi wataambiwa na michezo na shule zitafunguliwa. Dr Shein amesema Zanzibar ina mipango yake na haiwezi kuiga nchi zingine ila watajitahidi ili wawe wanaenda kwa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwakyembe: Tumefungulia soka pekee michezo mingine itasubiri baadaye

    Waziri wa michezo Dkt. Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo. Chanzo: Channel ten!
  18. safuher

    JamiiForums Tanzania Kwako Mbwana Mshindo mtangazaji wa habari za michezo pale Channel ten

    Ndugu Mbwana Mshindo salamu zipate, popote pale ulipo najua pengine upo humu unasoma hii ujumbe. Wewe ni mtangazaji mzuri mno, hukosei kosei, maneno yanatoka safi kabisa na una flow vizuri hongera sana. Ila unapokosea katika kutangaza pale jambo likaenda mrama usipanick na kuloose confidence...
  19. M

    JamiiForums Tanzania TCRA na TRA, mchezo wa Vodacom mnada poa si sahihi kwa uchumi wa nchi

    Kuna mnada umeanzishwa na Vodacom Tanzania kwa wateja wake ambapo ili kushiriki inabidi utoe kiasi cha Tshs. 500 kama kiingilio. Kisha wanaweka dau la kupata rice cooker kwa kima cha chini lakini ukijumlisha hizo 500/- wanazotoa ni hela nyingi sana . Hii ni kama bahati nasibu lakini voda...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania UEFA yakanusha kutaka kuahirisha michezo kwa mwaka 1

    Chama cha soka Ulaya (UEFA) kimepinga madai kuwa kuna pendekezo kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO) kuwa linawataka waahirishe michuano yote ya kimataifa hadi mwishoni mwa mwaka 2021 kwa sababu ya corona. UEFA inaamini hiyo sio sahihi kwa maana hiyo mpira utakuwa hauchezeki. Awali UEFA...
Back
Top Bottom