johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,874
Waziri wa michezo Dkt. Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo.
Chanzo: Channel ten!
Chanzo: Channel ten!
Kwanini bwashee?Makwenyembe ameamua kumtumikia shetani
Mchezo gani mwingine ambao unafatiliaga hapa Tanzania mkuuRaisi amesema michezo hajasema soka waziri usituchanganye hapa
Wacha tuendelee kujionea maajabu ya utawala unaotaka watu wake waishi Kama mashetani .Makwenyembe ameamua kumtumikia shetani
Kwakuwa mkuu wa nchi alisha sema kwamba anafikiria kufungua michezo, basi waziri aseme tu kwamba Ameagizwa wafungue mchezo wa sokaWaziri wa michezo Dr Mwakyembe amesema wamefungulia mchezo wa soka kwanza ili ligi zikamilike ila michezo mingine itasubiri kidogo.
Source Channel ten!
Makwenyembe ameamua kumtumikia shetani
Kama unasubiri ligi ianze ili mabanda umiza muonyeshe mpira hiyo imekula kwenu. Mikusanyiko hairuhisiwi maana ni ngumu kuthibiti idadi ya watu vibandaniWataje basi na tarehe ya kuanza ligi kuu ili wadau wenye kumbi wajipange ki-corona! Pia utaratibu wa timu zote kucheza bila mashabiki hauna tija, mfano ukienda kule viwanja vya mikoani utaona uwanja una capacity ya kubeba mashabiki zaid ya 60,000 lakini wanaoingia hata 6,000 hawafiki! Sasa hawa nao muwazuie wa nini? Si kiasi tu cha kuweka utaratibu wa kuwapanga wakae katika namna ya mtawanyiko?....Kwa hili la mashabiki tusiige tu wenzet wa Ulaya bali tujiangalie katika utamaduni wetu, kiukweli wapenzi wa soka hasa mikoani bado ni wachache!