Kesho ndio uzinduzi wa kipindi Cha michezo wasafi media

Hziyech22

JF-Expert Member
Jun 8, 2019
13,576
18,894
Kesho kuanzia saa 12 asubuhi wasafi media chini ya CEO wao diamond platnumz wanatarajiwa kufanya tukio kubwa la kulouch kipindi kipya Cha michezo pamoja na mambo mengine Kama suprise kwa mashabiki wao na mgeni rasmi atakuwa waziri wa sanaa na michezo Harrison mwakiembe.ukiachana kuuzulia kwa mwakiembe lakini pia kitakuwa na macelebrities mbalimbali pamoja na wadau wa media,sanaa na michezo.Tukio Zima litarushwa live wasafi fm na wasafi tv pamoja na YouTube.
 
Mkuu si uandike tu Kiswahili,sasa hapo pia kuna suprise gani wakati umetuambia atakuwepo Mwakie?au maana ya surprise nayo huijui-kulouch ndio nini si undike tu kuzindua basi
 
Mnahangaika Sana ila bongo kipindi cha michezo bora ni sports extra na itabaki hivyo
 
Back
Top Bottom