Tanzania: Ndairagije ataja kikosi cha wachezaji 27 kwa ajili ya michezo ya kufuzu AFCON 2021

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
1,813
4,545
Kocha mkuu wa Taifa Stars Ettiene Ndairagije ametaja majina ya wachezaji 27 kutoka katika vilabu mbalimbali vya ndani na nje ya Tanzania. Taifa Stars inataraji kukabiliana na Equatorial Guinea pamoja na Libya katika kutafuta tiketi ya kufuzu michuano ya AFCON 2021.

Wachezaji walioitwa ni;

:
TAIFA.jpg
 
Mbona Gadiel na Mohamed Hussein kila wakati anashindwa kuchagua mmoja akatafute mwingine kutoka timu nyingine
 
Back
Top Bottom